Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

Mishahara ipangwe upya kulingana na uzito wa kazi pamoja na kiwango cha elimu.Kamtu kana cheti eti kanalipwa nyumba,chakula,mafuta ya gari.Mwenye digrii anakula tembele.
 
na wapuuzi tu hao nani kawambia kama kura yao zimemchaguwa Mr.Pombe. nyinyi mukipiga kura au misipige haileti tofauti yoyote Mr. Pombe kachaguliwa na Lubuva.
kumbe,ni lubuva kamweka pale ikulu!
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
Kibano hicho... kibano !! hakuna jinsi....
 
Shida ya wabongo wanataka kuishi kwa wizi. OC kidogo wanalia.tujifunze kuishi kwa mshahara. This is our means. Hizo za kupiga panga sioza kwetu. JPM kaza buti
 
Lazima tulimie meno na atunyooshe...na hivi hakujua anagombea ili iweje, yeye alifuata mkumbo na kupata sasa tutanyooka maana anajifunza na kutengeneza vision yake sasa!
 
Hihihi wananchi mnajuta yeye mwnyw jana katamka anajuta kuutaka urais kazi ngumu kwakuwa hakujiandaa kuongoza nchi

mkuu kujiandaa kuongoza nchi kuna semina elekezi? au ndio yale mambo yetu ya kupiga....
 
  • Thanks
Reactions: tyc
na hapo bado hajamaliza mwaka, mbona mtatamani mhamie kenya.
 
Hao ndo wale waliokuwa wamezoea kuishi kwa kupiga deal,kila siku safari,seminars,workshop n.k.Kaja JPM mnalalama.Sisi wenzenu huku private sector tulishajizoelea kuishi kwa mishahara.Ni kweli kabisa mzunguko wa hela unapokuwa mdogo tunaathirika wote lakini tujifunze kuishi kwa mapato yetu halali.Nendeni tu hapo Ethiopia muone watu wanavyoishi.
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
Oc kwa ajili ya nini? Kulipana posho sio? Nyie ndo majizi nyie
 
Hapa ofisini kuna jamaa alianza kucalculate kiasi gani cha kodi alichopunguza JPM kitaingia kwenye salary yake, nikamkatisha kwa kumuambia kuwa hilo punguzo halimuhusu yeye, ni kwa watumishi wa kima cha chini tu ambao idadi yao ni ndogo tu nchini
 
Sasa ofisi za CHADEMA unategemea wataongea nini zaidi ya hayo?
 
Hao sio wafanyakazi ni wavizia dili tu kwenye maofisi ya serikali
Waliomba kazi serikalini kwa manufaa ya kupiga dili zao
 
Kauli Ya Jpm Mzuri Sana Anasema Asiyetaka Aache Hata Leo Mwisho Milioni 15 Tu
Nawashangaa hao wanaolalamika badala ya kuacha kazi wakaenda.huko kwenye mishahara minono
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
Mkuu labda ofisi za umma,huku kwetu mambo kama jusi.
Waliozoea vya kunyonga lazima wapate wakati mgumu.

Si ndo walikuwa wanaimba ccm ni ileile
leo upele umepata mkunaji,waliokuwa nje ya mfumo
nufaika na chama chako kwa sasa tunaringa.
 
Magufuli hana maarifa ya kutuletea mabadiliko ya maana.

Hao wanaomsema kwenye original post mimi siwaungi mkono kwa sababu wanaonekana walizoea njia za mkato. Lakini hata tusiopenda mkato hatumuelewi huyu rais.

Kwa hiyo anaonekana kutopendwa na wanaopenda mkato an wasiopenda.

Kuna watu wapo kati hapa wanampenda.

Kadiri siku zinavyoenda, kama hatajirekebisha, awa wa kati watazidi kupungua.

Magufuli ni kama askari kichaa anayeua mpaka askari wa jeshi lake mwenyewe.
Acha wafe ili wananchi tupone.
 
Mbona wananchi masikini wanazidi kumuombea, tena wanataka akae miaka 30.. MAfisadi ndio wanaosononeka.. Waambie wabadilishe mtazamo, hii ni awamu ya Tano
Ubarikiwe,nimefurahishwa na hiyo namba TANO ni ukamilifu wa vidole
vya mkono wa mtu,hapo akikamata amekamata.
hizo awamu nyingine zilikuwa na vidole pungufu.
Tumpe mda akamate kisawa sawa atatuvusha.
 
Back
Top Bottom