Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

Hao ni majipu yalokuwa yakibebwa na wafanyakazi hewa. Umewarekodi?
 
Hayo unayazungumza mwenyewe udimezeshe watu maneno yako. Huyo tupe unafuu wa aliyepita kwa mchanganuo maana hayo ni maneno yako
Huyu jamaa ni mzushi!Kwanza ni ofisi gani ameyatoa hayo maneno!Na inavyoelekea yeye na ofisi anayofanya kazi wamejaa wambea na wapika majungu!Badala ya kufanya kazi wao wanamjadili muuza nyumba.
 
....

.....hii JF inahitaji uvumilivu kama umekunywa maji ya bendera meza hivyo hivyo !!!
 
Mtoa mada tumeshakugundua unafanya kazi kwenye ofisi ya wahasibu wa serikali...Your days are numbered.!
acha upumbavu wewe huna kazi?nani wa kumtisha eti my days are numbered.kwa kosa lipi sasa hapo?toa maoni yako,hulazimishwi kukubali yangu ama ya yule.
 
Watu wanajuta sana,maisha yamekuwa magumu..ndo maana yule jamaa wa arusha alimwita jina...wamemshitaki.Na yule wa Dar alipokuwa bar akasema anataka ajitolee 'alipuke' na jamaa na yeye kashitakiwa..sijui mpaka jamaa anamaliza ufalme wake kuna watu wangapi wata 'volunteer' 'kulipuka' na jamaa...ni shida
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa, bora hata li-Kikwete, linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani, mtu OC toka Novemba hazijaja, za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini, ni ofisi zote za umma na binafsi, ni kada zote, kuanzia mabosi mpaka wafagizi. Kauli za kujutia jutia tu. Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira, labda bajeti ijayo
hivi unajua hao wa maofisini hawafiki hata 1%. Na ni hao walizoea kupiga hela kwa wizi, ufisadi, rushwa na kutakatisha fedha za umma. Hivyo si ajabu unavyoona sasa wanalalamika baada ya kubanwa.
 
Matokeo ya kuishi kupiga Dili,Rushwa na Ufisadi kukosa nidhamu ya matumizi ya Pesa ndiyo Funzo.Acheni kuzoza HAPA KAZI TU NCHI IRUDI KWENYE RELI Mh.Raisi kaza Buti
 
Hihihi wananchi mnajuta yeye mwnyw jana katamka anajuta kuutaka urais kazi ngumu kwakuwa hakujiandaa kuongoza nchi
Tujulishe jinsi ya kujitayarisha kuongoza nchi. Kunzungusha mikono au kusema upo tayari kuongoza nchi? Nathani umeichukulia simple message aliyotowa rais.
 
Tujulishe jinsi ya kujitayarisha kuongoza nchi. Kunzungusha mikono au kusema upo tayari kuongoza nchi? Nathani umeichukulia simple message aliyotowa rais.
Siongelei siasa za kuzungusha mikono cjui mabadiliko nazungumzia taifa kwa ujumla kwan hata yeye anajua na ndio maana anasema kla siku watz tumuombee kwan urais ni kaz ngumu
 
nchi hii ilishakua ya udalalali...hatuwataki makanjanja mjini....watu wakalime ...kama ulikua makanjanja ndio wanaoipata fresh saiv...air tuliozoea Kula kwa jasho....jeshima yetu imerudiiiii...wadada wa kuhongwa vts mjini,madalalali,watu wa dili bandarini n.k...tukashike jembe...hapa kazi tu
 
Ma-Tanzania sisi ni mapumbav sana kuna majitu humu yalikuwa yakiambiwa kigwete ni dhaifu yanakuja juu, sasa hivi yamebadilika yanaimba wimbo ule ule yaliokuwa yanaupinga! In short tuache umate mate!! Najua hata Magufuli kuna mapumbavu yanayomfagilia sasa hivi yatakuja kumponda muda wake ukiisha! BANYAN'ING'WE!!

pumbavu mwenyewe....2020 chukua fomu kama unaona watanzania hawajui kuchagua labda wanaweza kumchagua kichaa kama wewe
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa, bora hata li-Kikwete, linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani, mtu OC toka Novemba hazijaja, za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini, ni ofisi zote za umma na binafsi, ni kada zote, kuanzia mabosi mpaka wafagizi. Kauli za kujutia jutia tu. Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira, labda bajeti ijayo
Hayo yote ni mafisadi pamoja na wewe unayewatungia maneno watumishi.
 
"
Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini, ni ofisi zote za umma na binafsi, ni kada zote, kuanzia mabosi mpaka wafagizi. Kauli za kujutia jutia tu. Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Jamani tuleteeni mada ambazo zina mashiko!!! Hizi ni propaganda ambazo hazina logic wala proof.
 
Back
Top Bottom