OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,092
- 114,643
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa, bora hata li-Kikwete, linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....
"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani, mtu OC toka Novemba hazijaja, za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".
Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini, ni ofisi zote za umma na binafsi, ni kada zote, kuanzia mabosi mpaka wafagizi. Kauli za kujutia jutia tu. Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.
Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira, labda bajeti ijayo