Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo

wanaifaidi OC ni akina nani kama si wakuu wa idara , mtumisha wa kawaida ukimwambia OC anajua nin
 
Magufuli hana maarifa ya kutuletea mabadiliko ya maana.

Hao wanaomsema kwenye original post mimi siwaungi mkono kwa sababu wanaonekana walizoea njia za mkato. Lakini hata tusiopenda mkato hatumuelewi huyu rais.

Kwa hiyo anaonekana kutopendwa na wanaopenda mkato an wasiopenda.

Kuna watu wapo kati hapa wanampenda.

Kadiri siku zinavyoenda, kama hatajirekebisha, awa wa kati watazidi kupungua.

Magufuli ni kama askari kichaa anayeua mpaka askari wa jeshi lake mwenyewe.
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
Huna hoja we mtu wa Lowasa jipange upya kwa jpm mtasubiri sana siyo utani,magufuli anavyofanya kazi kwa sasa anapendwa na kila mtu isipokuwa nyie mafisadi.
 
Bajeti ijayo itakuwa balaa zaidi,OC zote zimefutwa,makatibu wakuu walikuwa wanaziomba waliambiwa watarekodiwa na kuchukuliwa hatua hataka sana
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
na wapuuzi tu hao nani kawambia kama kura yao zimemchaguwa Mr.Pombe. nyinyi mukipiga kura au misipige haileti tofauti yoyote Mr. Pombe kachaguliwa na Lubuva.
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
Ofisi zipi? Unaposema zinasemwa ofisi zote za umma na binafsi, wewe unakuwepo kote huko? Acha kupandikiza mawazo yako kwa watu. Hizi ndoto za mchana na cheap propaganda hazitawapeleka popote. Lowasa is already obsolete so dont even think of him in the future map of TZ.
 
Huna hoja we mtu wa Lowasa jipange upya kwa jpm mtasubiri sana siyo utani,magufuli anavyofanya kazi kwa sasa anapendwa na kila mtu isipokuwa nyie mafisadi.
Ma-Tanzania sisi ni mapumbav sana kuna majitu humu yalikuwa yakiambiwa kigwete ni dhaifu yanakuja juu, sasa hivi yamebadilika yanaimba wimbo ule ule yaliokuwa yanaupinga! In short tuache umate mate!! Najua hata Magufuli kuna mapumbavu yanayomfagilia sasa hivi yatakuja kumponda muda wake ukiisha! BANYAN'ING'WE!!
 
Inawezekana mleta mada hajafanya utafiti wowowte ila ameleta hisia zake, lakini hisia hizi zinaweza kuwa kiwakilishi cha uhalisia wa malalamiko ya wafanyakazi wengi Serikalini na washirika wao katika sekta binafsi na jamii za Kiraia.

[Null hypothesis] Kwa vyovyote vile kipindi cha uongozi butu cha Mwinyi, Mkapa na Kikiwete kilizalishia taifa la mediocre and incompetent personnel, mitandao ya rushwa na inept leadership. Hali hii iliathiri nyanja na sekta zote; Sekta Binafsi, Serikalini na hata Jamii ya Kiraia. Licha ya kuelimishwa kwa gharama kubwa, wafanyakazi serikalini na washirika wao katika sekta binafsi na Jamii ya Kiraia waliishi bila kujali umuhimu wa kutumia ujuzi na maarifa waliyopewa kwa gharama kubwa.

Utawala wa JPM unawataka wafanyakazi wa serikali na washirika wao katika sekta binafsi na Jamii ya Kiraia kuwa waadilifu, competitive na competent. Lakini wahusika wananshindwa, kwa kuwa hawakuzoea (mzoea vya kunyonga). Kwa hiyo, na kwa yovyote vile, inategemewa kuwa kada hii ya watumishi wa umma na washirika wao katika sekta tofauti, italalamikia sera na mwelekeo mpya wa sera za serikali ya JPM.

Hayo ndio MABADILIKO! huko ndiko taifa kuelekea KUJITEGEMEA. Lakini sera ya umma yoyote ikilalamikiwa na watu wa kada zote (longitudinally na latitudinally) ni kipimo cha kutosha kuwa sera husika imefanikiwa malengo yake, kwa maana imefikia na kugusa kila mtu bila kubagua.

Katika mazingira ya kisiasa ya namna hii, na tofauti na tawala za Mwinyi, Mkapa na Kikwete, utawala wa Magufuli hautatembelea nyota ya Mwl. Nyerere kama watangulizi wake.
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowasa apite"...."Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".....Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo
nyumbu kukosa malisho anaweweseka. watu mliahidiwa udc wakati elimu kaputi..kisa unyumbu.
 
Wanaojutia ni wale wezi waliozoea visivyo vyao .shortcut
 
Wote tunataka mishahara iongezwe lakini huwa hatuangalii kuwa wafanyakazi tu wachache hivyo sio vizuri 50% ya makusanyo yote kwa mwezi tukachukua sisi.

Wananchi wengine wasio wafanyakazi wa serikali ndio wengi sana na wao wanachangia ktk pato la taifa, hivyo wanayo haki ya kunufaika na serikali yao.

Sina wasiwasi kwa JPM mishahara itaongezwa huko mbeleni tena vzr tu. Anachofanya ni kujenga msingi wa kufyatua pesa za kutulipa mishahara mizuri huko mbeleni. Ningeshangaa hio jana kama angeanza kwa kutuongeza mishahara badala ya kutueleza atapunguza vipi foleni za DSM zinazofanya mabilioni ya fedha kupotea kilasiku, atanisaidia vipi mke wangu kujifungua salama huku kijijini Nkasi ambapo Zahanati ipo umbali wa 80km.

Ahueni ya maisha hailetwi na ongezeko la mishahara...ahueni ya maisha ipo kwenye kuimarisha miundombinu ya barabara hospitali shule n.k ili wategemezi wetu wapunguze kutupiga mizinga na hatimaye mshahara mdogo uonekane mkubwa...thats what JPM is doing.
 
hakuna maskini atakaemchukia magu..wala asie mla rushwa hawezi kumchukia pia...wapo vinara wa rushwa na zarau ofini...wakiongozwa ma makalani wa mahakama hawa ni halali wamchukie rais...juzi nilimpa makavu live kalani mmoja pale mahakama kuu ya mwanza...mjinga sana yule kamaa...usiopotoa pesa hikumu yako haichapwi utazungushwa hadi ukome.....hao ndio wanamchukia magu coz katupa kiburi wanyonge...nampenda sana magu
 
Mi ninachotaka hawa jamaa waliokua wanalamba mishahara hewa,wakamatwe na kufungwa hata kama watarudisha fedha.Haiwezekani watu tunafanya kazi kuanzia saa 12am.tunalipwa posho badala ya mshahara.
 
W
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo[/QUOTE Watanzania kuongea sana nikawaida yao af ni starehe, huoni hata wana Simba au Yanga? Wanafunz na story za walimu wao. Kwamabadiliko yaliyopo lazima waongee, lakini sio kila wanachokiongea ni logic
 
Mbona wananchi masikini wanazidi kumuombea, tena wanataka akae miaka 30.. MAfisadi ndio wanaosononeka.. Waambie wabadilishe mtazamo, hii ni awamu ya Tano
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo

Wote hao wanaosema hivyo ni kundi la wabadhilifu. Nayo haikuwa na nidhamu, wizi kila kona mishahara hewa kila sehemu. Je tuwaachie wachache watuibie na kutumikia vijisenti ilimradi maisha yaende.
Kusema kweli mtu asiyeona juhudi hizi niwakuangalia kwa macho mawili.
 
"Hakuna kitu kwa huyu jamaa,bora hata li-Kikwete,linachekacheka lakini uhakika wa maisha unakuwepo"...."Bora mimi sikumchagua...nilitaka Lowassa apite"....

"Aah bora mimi nilibaki na mke wangu nyumbani,mtu OC toka Novemba hazijaja,za Maji zilikuja kulipa madeni ya wakandarasi".

Haya maneno yanazungumzwa sana maofisini,ni ofisi zote za umma na binafsi,ni kada zote,kuanzia mabosi mpaka wafagizi.Kauli za kujutia jutia tu.Yaani wakikutana wawili watatu hawawezi kuachana bila kuzungumzia hali ngumu ya sasa.

Wafanyakazi wenzangu nawatia moyo tuendelee kuvuta subira,labda bajeti ijayo

wanaisoma namba nadhani. afu wengi wao ndio walikuwa ma-soloist kwenye ule wimbo wetu wa chama!!

safi!
 
Back
Top Bottom