OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,237
- 103,897
Mzee una mambo ya ajabu sana weweUnajifanya unamchukia jpm ila hukosi kupost mambo yake .vilaza mnatabu sana hapa duniani
Acha kulazimisha!!Kamanda safi sana umeanza kupevuka
Kweli wewe utakuwa unaishi nchi na Dunia ya kisadikika.Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Yale ni malalamiko tu.Kweli wewe utakuwa unaishi nchi na Dunia ya kisadikika.
Mpaka Trump alitangaza hana imani na Tume ya uchaguzi wa Marekani
Hamjamsikia Trump akilalamika kuibiwa kura? Kiufupi nyie mlishashindwa ,wananchi wamewakataa kwenye kura Jipangeni na uchaguzi ujao!.Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.
Kule hawatumii mabegi meusi.
Punguza chuki weMzee mnafiki aliyetukuka , ushetani mkubwa sana, kanisani anaendaga kwa Lengo gani
Msomi wa PHD anashindwaje kuandika kingereza simple kama hicho!.Ambacho hata mtoto wa darasa la nne anaandika!.Magufuli ametumia nguvu nyingi kuandika kiingereza
Hio tweet sio yake, itakuwa kabudi kamuandikia