Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Amecheza mchezo wa kidiplomasia vizuri,naona hovi vikwanzo vilivyowekewa Tanzania na serikali ya Trump vinkwenda kuwa Temporary.
 
Ngoja ampongeze,

Uzuri Mike Pompeo kasema Wataachia madaraka baada ya muhula wa pili wa Trump kuisha.

Hizi nchi zilizojifanya kumpongeza Biden, na uzur hapa kwetu wameiba kura kama walivyomuibia Trump..

mbona Watakubali shoooo
 
View attachment 1623842

Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
... Kumbe mtandao wa Internet umefunguliwa au na Jiwe anatumia VPN ... ???
 
On behalf of my family I congratulate President-elect

@JoeBiden

and Vice President-elect

@KamalaHarris
 
Ngoja ampongeze,

Uzuri Mike Pompeo kasema Wataachia madaraka baada ya muhula wa pili wa Trump kuisha.

Hizi nchi zilizojifanya kumpongeza Biden, na uzur hapa kwetu wameiba kura kama walivyomuibia Trump..

mbona Watakubali shoooo
Hao akina Pompeo wasingemsapoti huyu Mr Mzungu kwenye uchaguzi wetu huu, basi Trump angeshinda uchaguzi US. Yamewarudia wenyewe!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Ni wastaarabu na sio wahuni kama wa chadema
 
Back
Top Bottom