Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,761
102,110
98B11029-FD93-48DB-9B89-1372849BC4BF.jpeg


Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
 
Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.

Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.

Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale pale.
 
MAREKANI WANA JAMBO LAO! JOE BIDDEN IS THE 46th PRESIDENT OF UNITED STATES OF AMERICA.

Trump apinga 👇

In Pennsylvania our observers were not permitted to watch the vote counting-Donald Trump.(Pennsylvania mawakala wetu wa Republican walizuiliwa kuingia kuhesabu kura😀)

Illegal ballots are the one that has chosen Joe Bidden-Donald Trump(Kura haramu ndizo zilizomchagua Joe Bidden😀)

On Monday we will pursue our case in court to ensure the rightful winner is seated,(Jumatatu nitaenda Mahakamani😀)

#ItIsReallyDemocracy😀.
 
Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.

Kule hawatumii mabegi meusi.
Hamjamsikia Trump akilalamika kuibiwa kura? Kiufupi nyie mlishashindwa ,wananchi wamewakataa kwenye kura Jipangeni na uchaguzi ujao!.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom