Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Anaharibu sana separation of church and state.

Nyerere alikuwa anaenda kanisani kila siku. Si kila Jumapili. Kila siku aliyokuwa Dar alikuwa anaanza na sala St. Peters.

Mkapa yeye alienda kanisani Jumapili alivyokuwa rais.

Sikuwahi kuwasikia hawa wakisimama mbele kanisani kutoa hotuba za kisiasa.

Walijua kitu kinaitwa "separation of church and state".

Huyu wa sasa akiambiwa na Waislamu kwamba nchi inaongozwa na Mfumokristo atakataa?
Tusiongee vitu bila kufanya utafiti wa kutosha. Katika kukua kwangu nilibahatika kuhudhuria baadhi ya ibada ambazo Nyerere aliingia kanisani. Acha Swala za asubuhi kama ilivyo kwa Waromani ambayo uwa ni ibada ya maombi zaidi. Naongelea ibada ya Jumapili.

Nakumbuka Nyerere akiwa Musoma alitoa mahubiri na ninakumbuka mahubiri yake yalikuwa juu ya Musa alivyotumwa na Mungu, Nyerere akiwa kiongozi wa serikali alitoa mahubiri hayo na kuongea juu ya viongozi wanatakiwa wawe kama Musa. Na aliongea mambo ya Taifa. Nilikuwepo japo nilikuwa mdogo, Nakumbuka na niko kama namuona akiongea. Picha hii uwa hainitoki.

Kuhusu Separation of State and Church, huu mfumo ni watu wanajiundia tu, Lakini dunia hii toka zamani, Kanisa na serikali uwezi vitenganisha. Nchi nyingi za Ulaya enzi na enzi imekuwa hivyo. Angalia Uingereza, Nchi za Scandinavia, na kwingineko bado kanisa linanguvu ndani ya mfumo wa serikali. Nilitembelea Sweden kanisa linapata ruzuku kutoka serikalini na pia katika uchaguzi kuna wawakilishi wa kanisa Bungeni. Ni sawa Ilivyo Uingereza.

Si Ulaya tu nenda hapo Ethiopia. Kanisa linapata ruzuku kutoka serikali. Na kunakonekisheni kubwa kati ya kanisa na serikali. Nenda nchi za kiislamu, zinaongozwa kwa mfumo wa dini. Ndo maana nikasema hii inayoongelewa seperation haipo rasmi. Nikiwa chuoni huko nje. Nilifundishwa kitu wanaita Politics and Religion. Hii kitu ukifanya kozi yake ndo utaelewa naongea nini.
 
Hovyo kabisa, ofisi ya rais imejaa watu wa ajabu sana, wangekuwa wanatimiza majukumu yao sawasawa basi rais asingekua anaongea mambo ya hovyo kama anayoyaongea sasa kuhusu corona
Tena kwa sasa ndo tutegemee kusikia vitu vya ajabu zaidi maana kwa corona hii hata hakutani tena na hao wasaidizi/washauri wake
 
Tusiongee vitu bila kufanya utafiti wa kutosha. Katika kukua kwangu nilibahatika kuhudhuria baadhi ya ibada ambazo Nyerere aliingia kanisani. Acha Swala za asubuhi kama ilivyo kwa Waromani ambayo uwa ni ibada ya maombi zaidi. Naongelea ibada ya Jumapili. Nakumbuka Nyerere akiwa Musoma alitoa mahubiri na ninakumbuka mahubiri yake yalikuwa juu ya Musa alivyotumwa na Mungu, Nyerere akiwa kiongozi wa serikali alitoa mahubiri hayo na kuongea juu ya viongozi wanatakiwa wawe kama Musa. Na aliongea mambo ya Taifa. Nilikuwepo japo nilikuwa mdogo, Nakumbuka na niko kama namuona akiongea. Picha hii uwa hainitoki.
Kuhusu Separation of State and Church, huu mfumo ni watu wanajiundia tu, Lakini dunia hii toka zamani, Kanisa na serikali uwezi vitenganisha. Nchi nyingi za Ulaya enzi na enzi imekuwa hivyo. Angalia Uingereza, Nchi za Scandinavia, na kwingineko bado kanisa linanguvu ndani ya mfumo wa serikali. Nilitembelea Sweden kanisa linapata ruzuku kutoka serikalini na pia katika uchaguzi kuna wawakilishi wa kanisa Bungeni. Ni sawa Ilivyo Uingereza. Si Ulaya tu nenda hapo Ethiopia. Kanisa linapata ruzuku kutoka serikali. Na kunakonekisheni kubwa kati ya kanisa na serikali. Nenda nchi za kiislamu, zinaongozwa kwa mfumo wa dini. Ndo maana nikasema hii inayoongelewa seperation haipo rasmi. Nikiwa chuoni huko nje. Nilifundishwa kitu wanaita Politics and Religion. Hii kitu ukifanya kozi yake ndo utaelewa naongea nini.
Nyerere aliongelea public policy matters kama rais kutoka kanisani? Au aliongelea mambo locally kama mzee wa kanisa wa hapo kijijini? Hiki limeandikwa wapi?

Una ushahidi wa kuuweka hapa? Tutahakikishaje hii habari ni ya kweli na hujakumbuka vibaya au kutunga?

Wewe unaona wanasiasa kutumia makanisa na misikiti kuhutubia mambo ya kisiasa na secular ambayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na dini ni sawa?

Naninkasemq Ulaya ndiyo standard?

Ethiopia ndiyo umeona nchi ya kupigia mfano katika nchi unazoweza kutaja kupigia mfano?

Yani katika nchi qmbazo unaweza kutajq kama mfano mzuri wa siasa, unataja Ethiopia yenye vuta na wakimbizi wasioishq wanaogundukiwa wamejazana kwenye makontena wanazamia kuja Tanzania?

Watu wanaozamia kuja Tanzania wewe ndio unataka kuwafanya wawe mfano wetu wa kuwaiga?
 
Mkuu ukweli ni kwamba, hadi sasa mask hazijaweza kuondolewa zote mtaani. Mfano mimi hapa nina box mbili za mask za kichina ambazo nilizinunua mwaka jana April, nilitumia chache tu kabla serikali haijahimiza matumizi ya mask za kushona wenyewe. Hivyo bado kama Rais ana wajibu wa kuwakumbusha watu kuhusu hilo. Sasa hivi serikali imeweka mazingira magumu ya uingizwaji wa hizo mask, na pia inafanya misako na ukaguzi wa kushtukiza kwenye outlets zote zinazofahamika kwa wakati huu. Na kingine imewapa nguvu MSD kufanya uzalishaji mkubwa ili kuziba pengo la imported masks.

Point ni hii. Kubali au kataa, Rais Magufuli anapiga siasa tu, hana fact wala tangible truth yoyote...

Na wewe unashangaza kidogo kwa kauli kama hii. Na mtu mwenye akili na ufahamu anaweza kushindwa kabisa kuelewa mnatetea nini...

Hebu fikiri kidogo, kwamba, hao wazungu "mlio na vita nao ya kiuchumi" ina maana kama wangetaka kuwaua, basi walikuwaga wanasubiri CORONA tu ili watuletee masks zenye sumu watuue?

Hili ndilo swali mnaotetea hiki kitu mnashindwa kulijibu kwa ufasaha, na ofcoz, halina majibu hata kama utapewa mwaka mzima kutafuta jibu....!

Hii ni kwa sababu karibu kila bidhaa na huduma tunazokula na kutumia zinatoka uzunguni...

Tusidanganyane...m
 
Nyerere aliongelea public policy matters kama rais kutoka kanisani? Au aliongelea mambo locally kama mzee wa kanisa wa hapo kijijini? Hiki limeandikwa wapi?

Una ushahidi wa kuuweka hapa? Tutahakikishaje hii habari ni ya kweli na hujakumbuka vibaya au kutunga?

Wewe unaona wanasiasa kutumia makanisa na misikiti kuhutubia mambo ya kisiasa na secular ambayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na dini ni sawa?

Naninkasemq Ulaya ndiyo standard?

Ethiopia ndiyo umeona nchi ya kupigia mfano katika nchi unazoweza kutaja kupigia mfano?

Yani katika nchi qmbazo unaweza kutajq kama mfano mzuri wa siasa, unataja Ethiopia yenye vuta na wakimbizi wasioishq wanaogundukiwa wamejazana kwenye makontena wanazamia kuja Tanzania?

Watu wanaozamia kuja Tanzania wewe ndio unataka kuwafanya wawe mfano wetu wa kuwaiga?
Muulize Mhe. Butiku kama unashida ya kupata ushahidi. Pia nitajie sheria yoyote inayozuia Rais kuongelea mambo ya sera au jamii ndani ya kanisa. Pia sijaongea kuwa Nyerere alikuwa mzee wa kanisa kijijini. Hilo umesema wewe. Na ibada hiyo haikufanyika Butiama, bali Musoma mjini. Nipatie ushahidi wa kitaalamu unaozuia Rais kuongea kanisani.

Nilichoongelea mimi ni mahusiano ya kanisa na siasa. Kasome kozi ya Pilitics and Religion utaelewa. Hata katiba yetu haijakataza Rais kuongea kanisani au sheria yoyote ile. Ingekuwa hivyo Rais asingekuwa anatumia Biblia au Kuruani kuapa mbele ya jumuia. Bunge lisingeanza kwa Sala. Uwezi tenganisha hivi vitu.

Hata siasa imeanza kwa mfumo wa kidini. Ndo maana ukisoma maandiko Neno la Mungu linasema Viongozi wa nchi (Kisiasa) uwekwa na MUNGU mwenyewe. Japo tunapiga kura lakini Mungu ni Mwamuzi. Karibu nchi zote duniani washauri wa watawala wengi ni viongozi wa dini.
 
Point ni hii. Kubali au kataa, Rais Magufuli anapiga siasa tu, hana fact wala tangible truth yoyote...

Na wewe unashangaza kidogo kwa kauli kama hii. Na mtu mwenye akili na ufahamu anaweza kushindwa kabisa kuelewa mnatetea nini...

Hebu fikiri kidogo, kwamba, hao wazungu "mlio na vita nao ya kiuchumi" ina maana kama wangetaka kuwaua, basi walikuwaga wanasubiri CORONA tu ili watuletee masks zenye sumu watuue?

Hili ndilo swali mnaotetea hiki kitu mnashindwa kulijibu kwa ufasaha, na ofcoz, halina majibu hata kama utapewa mwaka mzima kutafuta jibu....!

Hii ni kwa sababu karibu kila bidhaa na huduma tunazokula na kutumia zinatoka uzunguni...

Tusidanganyane...m
Kuanzia Dream liner, Bombadia, mpaka zile VX na Helicopter anazotumia Magufuli zimetengenezwa na mabeberu na zikisumbia tu ni mabeberu hao hao wanaitwa kuzirekebisha. Sijui ni kwanini Magufuli hazilitii mashaka na badala yake anapotosha watanzania kuhusu Barakoa na Chanjo?

Farao ana matatizo makubwa kichwani.
 
@britannica,

..labda anaamini kwa dhati kabisa kwamba "mabeberu" wanaweza kupandikiza covid-19 kwenye barakoa na kuzileta Tanzania ili watuuwe.
 
Tusiongee vitu bila kufanya utafiti wa kutosha. Katika kukua kwangu nilibahatika kuhudhuria baadhi ya ibada ambazo Nyerere aliingia kanisani. Acha Swala za asubuhi kama ilivyo kwa Waromani ambayo uwa ni ibada ya maombi zaidi. Naongelea ibada ya Jumapili. Nakumbuka Nyerere akiwa Musoma alitoa mahubiri na ninakumbuka mahubiri yake yalikuwa juu ya Musa alivyotumwa na Mungu, Nyerere akiwa kiongozi wa serikali alitoa mahubiri hayo na kuongea juu ya viongozi wanatakiwa wawe kama Musa. Na aliongea mambo ya Taifa. Nilikuwepo japo nilikuwa mdogo, Nakumbuka na niko kama namuona akiongea. Picha hii uwa hainitoki.
Kuhusu Separation of State and Church, huu mfumo ni watu wanajiundia tu, Lakini dunia hii toka zamani, Kanisa na serikali uwezi vitenganisha. Nchi nyingi za Ulaya enzi na enzi imekuwa hivyo. Angalia Uingereza, Nchi za Scandinavia, na kwingineko bado kanisa linanguvu ndani ya mfumo wa serikali. Nilitembelea Sweden kanisa linapata ruzuku kutoka serikalini na pia katika uchaguzi kuna wawakilishi wa kanisa Bungeni. Ni sawa Ilivyo Uingereza. Si Ulaya tu nenda hapo Ethiopia. Kanisa linapata ruzuku kutoka serikali. Na kunakonekisheni kubwa kati ya kanisa na serikali. Nenda nchi za kiislamu, zinaongozwa kwa mfumo wa dini. Ndo maana nikasema hii inayoongelewa seperation haipo rasmi. Nikiwa chuoni huko nje. Nilifundishwa kitu wanaita Politics and Religion. Hii kitu ukifanya kozi yake ndo utaelewa naongea nini.
Mimi niliwahi kukaa Butiama kwa shughuli maalum. Na Mwalimu aliwahi kutualika nyumbani kwake kwa chakula Mara kadhaa.

Jamani acheni kabisa kumlinganisha Mwalimu na Magufuli, Ni mbingu na jehanamu. Mwalimu hakuwahi kufanya kitu ili asifiwe. Akiwa Butiama alikuwa akienda shambani kulima kwa mkono toka asubuhi mpaka saa nane mchana, akiwa amechoka na jembe lake begani, na hakutaka kupigwa picha.

Kanisani, pale Butiama sikuwahi kumwona hata siku moja akihutubia, Ila waumini kuna benchi walikuwa hawakai, wanajua huwa anakaa Mwalimu. Mwisho wa ibada, nje ya kanisa alikuwa akisalimiana karibia na waumini wote wa pale kijijini, waliokuja kusali na kupiga nap stori.

Mimi nilikuwa nakaa kwenye nyumba ya Joseph Nyerere. Yule mzee, hakika kwa nafasi aliyokuwa nayo, na maisha aliyokuwa akiishi, nasema, hata mimi nisingeweza kuwa vile. Yule kweli alikuwa miongoni mwa maskini wa roho ambao Yesu aliwasemea - Heri maskini wa roho maana ufalme was mbingu Ni wao"
 
Wewe uelewa wako ni mdogo sana kama piriton. Spika yupo peke yake kwenye kiti chake,barakoa la nini?
Kwa hiyo ulitaka Spika asivae Barakoa mpaka mtu akimsogelea anachukua anavaa, akiondoka anavua anaweka. Wengine sijui huyu dikteta kawaroga?
 
Back
Top Bottom