Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais wetu asiyejaribiwa anapaswa kujua kuwa kadiri anavyokwepa mikutano ndivyo anavyotafutwa na waandishi wa habari wa kimataifa, siku yoyote atakayojichanganya kwenye hiyo mikutano anatandikwa maswali mengi live.....siombi yatokee.🙂🙂🙂😀😀😀😱😱😱😱😱
Hahaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] we muache atazongwa na Wale wa CNN na NYT asa sjui maswal yote kama atakua na "MDA" wa kuyajib
 
Hii picha mie 'sijaielewa' kabisa! Ni pesa za misaada ya wahanga wa tetemeko anaowaambia "wasibweteke"?

jpm-png.402894
 
How times have changed.
The former president would make a foreign trip at the slightest excuse. The current president will avoid or cancel a planned trip at the slightest excuse.
 
Angeenda mngekuwa wa kwanza kulaumu kwanini anasafiri wakati huku nyumbani kuna tetemeko lililosababisha maafa makubwa. Kuongoza hii nchi ni kazi sana.
Kaka hizi ni siasa kwahiyo watu wanapoongea wanapata nafuu, ni vigumu mno kuwazuia watu wasiongee hasa kwenye siasa za vyama vingi na hii sio Tanzania tuu bali popote pale duniani
 
lugha ya kiingereza na kukosa exposure ya kimataifa ni tatizo Mkubwa
 
Ebo yaani 70% ya mkutano wote ni mdahalo!!! (debate) !!!! Tunarudi kule kule sekondary kwenye debates (midahalo)!!! Yaani Raisi mzima aende safari yote na gharama zote aende kuhudhuria mdahalo (debate)???
Hata watu wazima UN huwa wanafanya midahalo (debates) nilifikiri vitu hivyo ni kwa ajili ya watoto wa sekondari tu.Hata maraisi MWEEEE!!! Hivi Raisi anaweza shuka uwanja wa ndege wa nchi ya ke bila aibu akasema nilikuwa umoja wa mataifa kwenye mdahalo!!!! LOOOOO.Magufuli heri haendi yuko sahihi.
Response from United Nations Website:

Q1. What is the general debate?

The general debate is the annual meeting of Heads of State and Government at the beginning of the General Assembly session. It is usually the first debate of the session and — with the exception of the high-level meetings — the only one in which Heads of State and Government regularly participate.
 
Hivi mimi nikienda Ulaya na America illuminat wataacha kunipiga muhuri kweli?
 
Kaka hizi ni siasa kwahiyo watu wanapoongea wanapata nafuu, ni vigumu mno kuwazuia watu wasiongee hasa kwenye siasa za vyama vingi na hii sio Tanzania tuu bali popote pale duniani
Ndio maana nikajibu kama nilivyojibu.
 
UN hatuendi, AU hatuendi, SADC hatuendi .... Hivi ni mkutano gani wenye faida kwa Tanzania!!? Au ni mikutano ya CCM tu ndiyo yenye faida kwa Taifa hili? Wajuzi mtueleweshe!!
anaendaga kwenye sherehe..
alienda ya Museveni,Sheni na alitarajia kwenda ile ya Lungu ila akaahirisha akajifungia ikulu akiomboleza tetemeko..
 
Daaa, nawaza tuu, ukihamia eneo Fulani ili uendelee na maisha vizuri, muhimu kujuana na majirani, na pia iliimbwa Jirani ndo nduguyo Wa kwanza. Dunia sasa ni kijiji, kukutana na wenzako mnaolingana kiumri/kicheo/wadhifa ndo nguzo kuu za kujebga undugu. Ni kweli janga LA Bukoba limetokea na pole yao Ndugu zetu. Ila kiongozi wetu Kwa kinachoendelea kinaleta ukakasi. Ingekuwa kikao cha kwanza sawa, ila tujiulize ni vikao gani amehudhuria ukiachilia Kilichofanyika bongo. Hapana abadilike
 
Muoga,hajiamini,wasi wasi mwingi sana..mpaka leo haamini kama ni rais..au pengine anaamini akienda huko huku nyuma watu wanapiga dili
 
Back
Top Bottom