tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,195
- 27,807
Umeeleweka vyema mkuu. Mkutano wa UN ni muhimu kuliko hiki kisingizio uchwara cha "tetemeko"Bado haujanielewa. Niko upande wako. Nimetumia lugha ya staha zaidi. Namaanisha Hiviiii, kuna mtu fulani hajui umuhimu wa Mkutano wa UN, inabidi JF tumfafanulie umuhimu wake kisha tumpe faida ya hasara za kwenda au kutokwenda. Usipoelewa na hapa nitarudi tena.