anachokifanya hakina faida yoyote kwa taifa..
kama ni tetemeko,hakuna anachokifanya kimshinde makamo wake..
kupokea tu ripoti !!
anajifanya anajiweza,
athari za tetemeko dogo tu zimemshinda na kuwa ombaomba kwa wafadhili,je lingekua tetemeko kubwa kama lile la Tehran 2003 lililouwa watu 31,000.
Tanzania si sahihi kuonesha tabia ya kujitenga kupitia kiongozi wa nchi..
Mataifa yanagojiweza kama China,Ufaransa marais wake wanahudhuria,iweje kiongozi wa Tanzania..
kila siku chenga mikutano ya kimataifa..