Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,858
Mshana msiba siku ngapi Africa?
je wahanga wameshapata maitaji?
utabir unasemaje
embu tumuunge mkono huyu mh mambo mengine hata shetani anatushangaa kwa hakika nasema
Nimuunge mkono kwa lipi? Je katuma msaada wowote uko Kagera?
Kenya wametoa misaada
Uganda wametoa misaada
Je serikali yetu imetoa msaada gani?