YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?aende tu mkutanoni
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?aende tu mkutanoni
Alahu huja baada na majuto ni mjukuu ndivyo unavyotaka kusemaHapa ndo namkumbuka mwalimu wangu wa kiswahili ..Nga na Ngeli... Ningelijua!... Now Najuta
Elimu yako tafadhali?Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Ndilo hilo la msingi hivyo tunamuhitaji wetu now than ever ili kudesign njia rahisi ya kuweza kuyaleta hapo baadayeTetemeko la ardhi halijaletwa na serikali..
[HASHTAG]#jpm[/HASHTAG]
Aende na kugawa kabisa maana bila hivyo maduka ya watu yatajaaHongera Mheshimiwa Rais Manake Hii Nchi Ilivyojaa Majizi, Hicho Kibarua cha Kupokea Minoti Si Cha Kuachiwa Yeyote Yule... Watakwiba!!
Mshana msiba siku ngapi Africa?Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu
hahaa hapo ndo utakapowajua maana hawachelewi kutuambia mkutano wa UN una maana kuliko maisha ya ndugu zetu wahaya...hamna jambo analofanya raisi wakakosa negative reason
We Jamaa unafaham umuhim wa Nchi kua member wa UN kwel au Umeongea tuu yaishe ????[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Tuwe wakweli TumainiEl kwenye hili...kuna kitu sitakisema sasa tusubiri wakati utaamuaMshana msiba siku ngapi Africa?
je wahanga wameshapata maitaji?
utabir unasemaje
embu tumuunge mkono huyu mh mambo mengine hata shetani anatushangaa kwa hakika nasema