Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Kweli watanzania tumepatikana, mtakatifu YOHANA kwa wahanga wa tetemeko hataki kwenda, na mikutano ya kimataifa nayo hataki kwenda, nini hiki jamani!!!???

Ni sawa na mtu flani afuge mbwa na kila Siku haishi kumsifia wakati mbwa mwenyewe ni wa kubwekea ndani kwake tu, tena chumbani.

Ningelijua.....huja mwisho wa safari!!!!!
 
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Mkuu...
Sio lazima uone Tz ikipokea pesa zinazo onekana kwa macho yako.
Kwenda kwenye mkutano wa UN kuna faida nyingi ambazo ni kuitangaza Tz pamoja na mahusiano kwa ujumla
 
Aliyekuwa anaenda bila kukosa mahudhurio mlimuita Vasco Dagama. Anayebana matumizi....mnamponda humu. WaTanzania tunataka nini?

By the way UN New York.....ni kitu gani kipya anahitaji kwenda kufanya? maana maximum time ya kuongea kwa kila Kiongozi ni dakika tano! Na mara nyingi kumbi zinakuwa empty! wakubwa wameshaondoka.

WATANZANIA tuamke...Tanzania ya Magufuli ni ukurasa mwingine. You either adapt or perish!
Kwenye maisha hasa ya kisiasa lazima uwe very smart upstairs na usifanye kila kitu to the xtreme always soma mchezo ili uweze kuwaacha maadui zako kisiasa mdomo wazi halafu merits zote zije kwako!
Daima fanya uwezavyo kuficha uhalisia wako hapo adui atahangaika sana kukupata kwenye lolote
Wa kwanza alisafiri sana akatoa nafasi ya kujulikana hulka yake
Huyu hataki kabisa kusafiri anaanza kujianika
JK pamoja na kelele zote hakuwahi kujibu bali ndio kwanza alizidisha safari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu kama hasafiri asitoe sababu zozote! Hasafiri! Hasafiri full stop...Visingizio sio vizuri
 
HONGERA HN.RAIS,KAZI HII NI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE.../
AENDE WAZIRI NA WASAIDIZI 2 TU,KUIWAKILISHA TANZANIA.
 
Acha ujinga wewe kushabikia nonsenses, nzima wanaenda huko wewe unasema kupima faida. Dunia nzima wewe ndiye unaona hakuna faida.
Bado haujanielewa. Niko upande wako. Nimetumia lugha ya staha zaidi. Namaanisha Hiviiii, kuna mtu fulani hajui umuhimu wa Mkutano wa UN, inabidi JF tumfafanulie umuhimu wake kisha tumpe faida na hasara za kwenda au kutokwenda. Usipoelewa na hapa nitarudi tena.
 
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Sasa hilo "tetemeko" analosingizia mbona hajaenda kuwafariji wahanga na amejikita kuwazuia akina Lowassa wasiende kuwaona wahanga?
 
Back
Top Bottom