Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

Simuelewi kabisa huyu jamaa

IFIKE MAHALI WATANZANIA TUACHE HUU UPAMBAVU PAMOJA NA UNAFIKI! Inafika mahali unashindwa kuelewa kama kuna watu wamepata ajira ya kutumia JF kwa kuwakilisha mawazo potofu ya vikundi fulani. Ni aibu KUBWA kwa sisi Watanzania ambao huu UJINGA NA UHUNI hatukuwa nao wala haukuwa katika malezi YETU kama watanzania.
Inakauwaje mtu anaanza kumuandama MHS Rais hapa JF na sababu za kijinga kama hizi? Hebu tujiulize haya:
1. Kwani ni lazima Mhs Rais aende kwenye ule mkutano? Jibu ni kuwa si lazima! Sasa wewe au nyie mnawashwa NINI? Tatizo deal zenu za kisanii zimekosa milango ndo maana mnatoa mawazo ya kijinga kama haya.
2. Mhs Rais tumemchagua sisi, na wala si nyie tu hicho kikundi cha KIJINGA. Koma kabisa kutumia JF kama sehemu ya kutoa mawazo HASI kwa watu ambao wamechaguliwa na asilimia kubwa ya watanzania na si nyie hicho kikundi kidogo.
3. Kumbuka kuwa hata mfanye NINI he is here to STAY na ataendelea kusafisha site ili nyumba itakayojengwa iwe imara kwa vizazi vingi vijavyo.
4. Kwa wale ambao wana itikadi zingine mbali na za Mhs Rais, tueleze mnataka kufanya NINI? Kulea UOZO ili deal na missions zenu ziendelee? Hizo ndizo agenda za kuleta maendeleo ENDELEVU? Au tueleze kama mngekuwa serikalini mngelifanya NINI kwanza? Fanya hata the so called political dev simulation tuone mngelifanya nini pamoja na predictions zenu? Acha kabisa mawazo ya kijinga jaribu kuongea vitu vyenye tija kwa watu wetu na taifa lao.
5. IKUMBUKWE nchi ilikuwa IMEOZA na MHS Rais anafanya vizuri. Na hata nyie mkiendeleza mbinu zenu za kutaka kumkatisha TAMAA na kutuchanganya sisi tulio mchagua basi MNAJIDANGANYA kabisa. Tuko na yeye na matundu yanukuja ingawa si leo lkn yatakuja.

Hongera Mhs Rais wetu kipenzi na usikatishwe tamaa na hiki kikundi kidogo cha kIHUNI tu. TOGETHER AHEAD. MUNGU ibariki Tanzania na watu wake.
 
Rasi Simba bado yupo kazi.....akimaliza course safari zitarejea....


Sasa mnategemea nikaongee in my country my many people use to die in rek 'lake'
 
Kwenye maisha hasa ya kisiasa lazima uwe very smart upstairs na usifanye kila kitu to the xtreme always soma mchezo ili uweze kuwaacha maadui zako kisiasa mdomo wazi halafu merits zote zije kwako!
Daima fanya uwezavyo kuficha uhalisia wako hapo adui atahangaika sana kukupata kwenye lolote
Wa kwanza alisafiri sana akatoa nafasi ya kujulikana hulka yake
Huyu hataki kabisa kusafiri anaanza kujianika
JK pamoja na kelele zote hakuwahi kujibu bali ndio kwanza alizidisha safari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu kama hasafiri asitoe sababu zozote! Hasafiri! Hasafiri full stop...Visingizio sio vizuri

Na yeye hajasema..ni wasemaji wa Mahiga 😉..

Mwacheni Ngosha bwana anasave matumizi na hiyo misafara isiyo na kichwa wala miguu! Unaweza kuta mzee kuangalia program hajaona cha kumkimbiza huko. In fact many Presidents nowadays send Prime Ministers and Foreign Ministers. Mkuu siku hizi deals zinafanyika kwenye capitals. People want to make deals..na anayehitaji dhahabu yako au gesi yako atakufuata popote ulipo. Si lazima uende New York.
 
Labda uelezwe umuhimu wa Mkutano wa UN, ndipo tupime faida na hasara, za yeye kwenda au kutokwenda.
Unataka kusema JPM hajui Umuhimu wa mkutano wa UN? Na wewe bhna acha hivyo. Jukwaa la kimataifa lina umuhimu mkubwa mno kwa mustakabali wa taifa ndio maana mataifa makubwa kama Israeli, Marekani, Uingereza na mengine ya ulimwengu wa kwanza yanakwenda.
 
Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016

Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.

NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.

Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.

United Nations

View attachment 402894

View attachment 402895

Wimbi la wakimbizi? Mbona jibu lake ni simple Sana, kwa ufupi nchi za ulaya ziachane na unafiki wa kuzalisha silaha na kuchochea migogoro ili hiyo biashara haramu ifanikiwe: eti wimbi la wakimbizi..! Wal Magu wetu Hana haja ya kuhudhuria huo upuuzi wa UN maana majibu na suluhisho la wakimbizi wanalo wao ni suala la kubadili mtizamo wao kwa nchi zenye migogoro.
 
Waandishi wazungu walikuwa wameshajipanga,wamepigwa chenga wajipange tena,haah haaah Shaka Ssali
 
Wewe aidha ulikuwa sexually abused utotoni au ulilelewa kwa shida na bila mapenzi ya Wazazi, hii ni tabia ulioionyesha kwenye uandishi wako inaelezea hilo yaani watu waliopitia utoto mgumu!
Your comment clearly depicts the level of your thinking capacity. Having failed to come up with a counter argument you resort to insults. But then again you have given me a hint of the fact that you are being molested to date that is why you keep assuming that everybody else goes through the same ordeal. Kuhusu wazazi, kwa vile tu mimba yako ilipatikana bar na wewe kuzaliwa guest haimaanishi wote tumepitia huko huko.
 
Mm naona hisani huanzia nyumbani na kwa mantiki hiyo tumwache JPM asafishe na kupanga nyumba yake kwanza kabla ya kwenda kutembelea majirani amabao haiyamkini nyumba zao walishazisafisha na kuzipanga vizuri.Akiendaenda pia kuna siku utasikia watu wakimkosoa kua alikua anaenda mno nje badala ya kushughuliki mambo ya nchini kwake.Hizo gharama ambazo angetumia na ujumbe wake zitaelekezwa kungine.Wakati ukifika kama atakavyoona inafaa ataenda tu.
 
Aendelee kutafuta sababu tu, kwaio ina mana hamna atakaeenda hata kumuwakilisha??
 
Wimbi la wakimbizi? Mbona jibu lake ni simple Sana, kwa ufupi nchi za ulaya ziachane na unafiki wa kuzalisha silaha na kuchochea migogoro ili hiyo biashara haramu ifanikiwe: eti wimbi la wakimbizi..! Wal Magu wetu Hana haja ya kuhudhuria huo upuuzi wa UN maana majibu na suluhisho la wakimbizi wanalo wao ni suala la kubadili mtizamo wao kwa nchi zenye migogoro.
Acha wee!! Magu hana haja ya kuhudhuria huo upuuzi wa masuala la ya wakimbizi!! Na tena kuna lingine la kipuuzi umelisahau kulitaja na tena ndiyo litachukua muda mrefu zaidi!! Wanataka kujadili upuuzi kuhusu malengo ya maendeleo endelevu!!
 
Kwa uongeaji wake bora asiende maana anaweza kutiwa pingu nje ya ukumbi au pale pale jukwaani.. Anaweza sema Obama,Cameron na Angel ndio wamesababisha wakamatwe Mara moja... Natania tu
 
Utasikia"....tutamkumbuka sana JK kwa kutuwakilisha vyema mikutano ya nje"
 
[HASHTAG]#TCRA[/HASHTAG]

[HASHTAG]#NAPE[/HASHTAG]

#Jay_One

Act...!!
 
Yupo sahihi sana. Hatuhitaji kujulikana international. Tunahitaji kujenga uchumi wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom