Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,539
- 14,280
Kweli tumepatwa, kama viongozi na raia akili zenyewe ndio hizi!!!Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Kweli tumepatwa, kama viongozi na raia akili zenyewe ndio hizi!!!Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
You are way above this!! Unamtukania mtu Child abuse, tena sexual abuse?!! Jaribu kutumia busara uliyotunukiwa na Muumba wako, japo kidogo.Wewe aidha ulikuwa sexually abused utotoni au ulilelewa kwa shida na bila mapenzi ya Wazazi, hii ni tabia ulioionyesha kwenye uandishi wako inaelezea hilo yaani watu waliopitia utoto mgumu!
Kweli tumepatwa, kama viongozi na raia akili zenyewe ndio hizi!!!
Ras simba alishasema huyu akazaliwe upya UingerezaKwani anafanya nin huko magogoni....huyu jamaa kama lugha tatizo amtafute ras simba miezi 6 anakuwa nondo
Kenya wametoa msaada = NDIYONimuunge mkono kwa lipi? Je katuma msaada wowote uko Kagera?
Kenya wametoa misaada
Uganda wametoa misaada
Je serikali yetu imetoa msaada gani?
Kenya wametoa msaada = NDIYO
Uganda wametoa msaada =NDIYO
Tanzania wametoa msaada =HAPANA
Yeyote ajaribu kuanzisha hiyo nickname...Atashughulikiwa bila hurumaSoon na yeye atapewa nickname sababu ya kutosafiri nje.
Na hiyo ndiyo itakkuwa opposite ya Vasco Da Gama.
Si mkawaambie hiyo fact badala ya kughairi kwenda !?Eti wanajadili ongezeko la wahamiaji. Uongo mtupu. Tatizo la wahamiaji kwa kiasi kikubwa linasababishwa na hao wenyewe. Kwenda kujadili huko ni kudanganyana tu na kupotezeana muda
Katika dunia hatakuwa Rais wa kwanza. Wengi waliishafanya hivyo, wengine wanafanya na wataendelea kufanya. Wacha awatumikie Watanzania.Sio kweli kabisa tetemeko linatumika kama sababu tuu