made
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 890
- 585
hahahahaha......hatari,aisee wee umefikiri mbali zaidi.Hii "Tender" apewe JK.
hahahahaha......hatari,aisee wee umefikiri mbali zaidi.Hii "Tender" apewe JK.
Pole alitoa siku ya kwanza kabisaTetemeko lilitokea lini?na je tangu tetemeko limetokea ameshafika kagera kutoa pole?
Ni nyinyi kweli leo hii mnamlazimisha rais asafiri nje? Magufuli anawaumbua sasa. Si mlikuwa mnamlaumu Kikwete na kumuita Vasco Da Gama?Tetemeko lilitokea lini?na je tangu tetemeko limetokea ameshafika kagera kutoa pole?
Ondoa uoga longa tuMhhhh, lakini sasa mbona hata huko kwenye tetemeko kwenyewe hajahudhuria, nini faida ya kubaki hapa sasa? Natamani niseme yaliyo moyoni kwa dhati lakini Mil. 7 sina na sitaki kuitwa mchochezi ila kuna walakini hapa.
You can't give what you can't have[emoji28][emoji28][emoji28]Ni nyinyi kweli leo hii mnamlazimisha rais asafiri nje? Magufuli anawaumbua sasa. Si mlikuwa mnamlaumu Kikwete na kumuita Vasco Da Gama?
Jibu swali. Tangu tetemeko litokee rais amefika Kagera kuwatembelea majeruhi?Ni nyinyi kweli leo hii mnamlazimisha rais asafiri nje? Magufuli anawaumbua sasa. Si mlikuwa mnamlaumu Kikwete na kumuita Vasco Da Gama?
hivi UN tukienda watz dah, jamani, kama hakuna tatizo aende tu, kwasababu hata akisema anabana matumizi au kuna msiba wa bukoba hiyo aisee inazidi kumpunguzia heshima kidunia na sidhani kama ni sawa. kwanini rais wetu hataki kusafiri? hivi ni kwanini?Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016
Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.
NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.
Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.
United Nations
View attachment 402894
View attachment 402895
Hebu sahihisha hicho Kiingereza chako uchwara kwanza.You can't give what you can't have[emoji28][emoji28][emoji28]
aende asiende msiba wa bukoba upo palepale tu hakitabadilika kitu.Wewe aidha ulikuwa sexually abused utotoni au ulilelewa kwa shida na bila mapenzi ya Wazazi, hii ni tabia ulioionyesha kwenye uandishi wako inaelezea hilo yaani watu waliopitia utoto mgumu!
Kwani ni lazima afanye hivyo?Jibu swali. Tangu tetemeko litokee rais amefika Kagera kuwatembelea majeruhi?
Angeenda mngekuwa wa kwanza kulaumu kwanini anasafiri wakati huku nyumbani kuna tetemeko lililosababisha maafa makubwa. Kuongoza hii nchi ni kazi sana.
Siyo kiingereza changu ni kiingereza cha mkuluHebu sahihisha hicho Kiingereza chako uchwara kwanza.
Hata Zambia ni bora angeenda tuaende tu mkutanoni