Siyo lazima.Kwani ni lazima afanye hivyo?
Ha ha ha. Sasa na wewe unakirudia?Siyo kiingereza changu ni kiingereza cha mkulu
Kwa hiyo?Siyo lazima.
Inawezekana ndo sababu iliyofanya asiende[emoji4][emoji4] nawaza tuHa ha ha. Sasa na wewe unakirudia?
Aendelee kukaa ikulu.Kwa hiyo?
Sio wote wanaokwenda huko wanajua au wanatumia Kiingereza. Ni akili zako za kitumwa ndio zinakufanya ufikirie hivyo.Inawezekana ndo sababu iliyofanya asiende[emoji4][emoji4] nawaza tu
Huo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
Sasa wewe unalalamika nini?Aendelee kukaa ikulu.
Nadhani kafanya vyema ili aokoe gharama kunawakilishi watakaonda.Kutokana na janga la tetemeko la ardhi, kwa mara nyingine Mheshimiwa Rais wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analazimika "kuvunja" safari ya kwenda kuhudhuria Mkutano wa 71 wa Umoja Mataifa ambao unaanza kesho tarehe 20.09.2016 hadi 30.09.2016
Kwa mujibu wa Ms. Mindi Kasiga aliyehojiwa na gazeti la The Citizen Mheshimiwa Rais amelazimika kutoenda kuhudhuria mkutano huo ili kushughulika na matokeo ya maafa ya tetemeko hilo lililochukua maisha ya Watanzania wenzetu takribani 19 huku wengine takribani 200 wakiachwa majeruhi.
NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili suala hilo.
Pamoja na hilo la Wakimbizi na Wahamiaji, pia kutakuwa na kikao muhimu sana ambacho kitachukua takribani 70% ya mkutano wote kutokana na umuhimu wake. Huu ni mdahalo unaolenga kuzungumzia malengo ya maendeleo endelevu na nafasi yetu katika kusukuma mabadiliko ya kufikia malengo hayo.
United Nations
View attachment 402894
View attachment 402895
Basi silalamiki tena nimefunga mdomo.Sasa wewe unalalamika nini?
Afadhali ufanye hivyo. Tena kwa miaka elfu moja ijayo.Basi silalamiki tena nimefunga mdomo.
Kitengo cha maafa cha serikali kimetoa pesa kiasi gani mkuu?Anabana matumizi na kusimamia misaada ya wahanga wa tetemeko
Watetezi wameshaingia tayariHuo mkutano una faida gani kwa Tanzania ? UNAIINGIZIA nchi pato la shilingi ngapi mwisho wa mkutano?
haaha eti imekaa kiuchocheziTeeeh Teeeh Teeeh post imekaa kiuchochez sana
Viongozi hawaendi UN kwa sababu ya faida, ni sharti kwa mwanachama kuhudhuria.