Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

Angewaambia Watanzania kabla ya kupigwa kura kwamba sera za CCM haziwezi kutekelezwa bila safari za nje ya nchi nadhani wapiga kura wangempigia kura kijana wa elikopta.
 
Jk alikuwa Blazameni then, and he still is now....mlie tu, mpe wiki tu...safari nyingine hiyo
 
Sasa Huyu si Ndie Raisi Atakaye safiri kwa sana !!
Alafu wote watakao fuatia watasafiri sio sana..Tuta tunga sheria...
Na tekinologia nayo Itatu saidia......mmmh --Kupunguza safari...

Au sio....??
 
Unafahamu ni kitu muhimu sana kwa wawekezaji kujua ni viongozi wanamna gani ndio walioshikilia nchi, kwa sababu wawekezaji wanajua exactly what to do wale ni Global Players, lakini kitu kinachowaogopesha kuteremka Afirika ni vile Political situations za nchi nyingi hazipo stable, na leo hii raisi wa nchi anaweza kuibuka na kusema timukeni wote hivi na vile kama yule raisi wa venezuela alivyowatimua jamaa kule.
Sasa JK anavyokwenda kule na kuonyesha sura sura zake zile na tabasamu fulani inatoa insurance kubwa sana, kwa sababu watu wengi wanaamuaga madili kibao kwa kutumia feeling fulani akihisi hawa jamaa majasusijasusi hivi basi anaondoka, sasa JK kwenda kule nakuwaambia mimi ndio raisi, kwetu safi hakuna matatizo njooni inatia moyo sana!kwa sababu balozi hawezi kuguarantee chochote!
 
Pedro said:

Huyu Jk sasa hivi ananitia kichefuchefu, Tulimchagua afanye kazi sio kuzurula bila mpango. Amepewa list ya wala rushwa kwa nini hawashughulikii? Anasema anawapa muda wajirekebishe: What an idiot mtu anakuibia unasema usiniibie nitakuadhibu. Hatukumchagua awaonye wezi. Chukua hatua sasa au la CCM inakwenda na maji. Mwizi sio wa kumuonya?

Wewe utaona na hizi sifa anazotaka ambazo hazina msingi Burundi na Rwanda wataingizwa kwenye Jumuiya ingawa WTZ wengi hawawataki, mkutano wao wa kurubberstamp unakuja. Wawekezaji watakuja tu TZ maana nchi nyingi wamemaliza rasilimali zao na wanauana kila siku.
 
Katika Hotuba yake aliyoitoa kwa watanzania waishio Japan,Kikwete amedai kuwa anatembea nje kujitambulisha,na kuwaonyesha Viongozi wa nchi hizo kwamba yeye ndio "Mkapa" wa sasa,amedai kuwa bado atafanya ziara nyingi za nje ili apate baraka za huko,(atakwenda Uk na Scandinavia Jan'2007)na baadaye june 2007 ataanza rasmi kuhimili kwenye kazi za ndani ya nchi.Tembeleeni tanzatl.org kuna clip ya hotuba yake ya huko Tokyo.Nimepata wasiwasi JK kujiita Mkapa,sijui kama alikuwa anafurahisha baraza au alimaanisha kwa dhati similarities zake na Mkapa.Sidhani kama ni jambo zuri kujifananisha na huyo Rais mstaafu,kauli hiyo itazua maneno mengi.Mzee BWM sio mwadilifu kwa kiwango cha kufananishwa na JK.AU nae JK anatueleza kuwa yupo kama BWM.Naomba kutoa Hoja!!
 
Dr.Migiro amepotoka anapodai Raisi lazima afanye safari nyingi za kujitambulisha. Kuna mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania, hao wanapeleka nchini kwao, taarifa za mara kwa mara, kuhusu utendaji na mwelekeo wa nchi, tangu Kikwete aingie madarakani.

Mimi naamini tukiwa na mipango mizuri basi mabalozi wa nje watatutangaza vizuri huko kwao. Kipaumbele kiwe kuweka mazingira yanayowezesha wawekezaji kupata returns, na watanzania kufaidika na vitega uchumi toka nje.

Wawekezaji wanapaogopa Tanzania kutokana na shida ya maji na umeme. Majuzi Kikwete imebidi ajitetee akiwa ng'ambo kwamba matatizo ya umeme ati ni ya muda tu. Sasa habari za matatizo ya umeme zilifika vipi huko nje?

Pamoja na kutumia mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania, tutumie mabalozi wetu huko nje, na kituo chetu cha kukuza uwekezaji TIC.
 
Dear members of the business community,
The President of the United Republic of Tanzania H.E. Jakaya Mrisho Kikwete will make a 2nd Business visit to the United States of America, from 14th to 23rd September 2007, this being a follow-up of the 1st visit made in September last year.
Members of the business community have been asked to accompany the President in this trip.
In order to have a well coordinated visit, Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) is organizing a breakfast meeting on Friday 17th August 2007 to discuss private sector participation in this trip.
Interested members of the business community are invited to participate in the breakfast meeting to chart out modalities and effective participation of everyone in this delegation.
The meeting will start at 7:30 am and end exactly at 9:00 am.
The venue is Kilimanjaro Kempinski Hotel.
Kindly take note that information regarding the visit is available online at: www.tanzania. azaniaholdings. com/2007
We look forward to your timely attendance.
Yours sincerely,
Dr. Evans Rweikiza
Executive Director
Organized for TPSF by Azania Holdings Tanzania Limited
 
Kikwete need to learn somothing, American investors are not damn, they have brain and the will not invest in anything in Tanzania. What is ROI in any investment, where is the market, is your people well educated, what is the purchase power in your country? all this questions he need to answer, Tanzania need wababaishaji kama china and south africa.

He is illusion about oil and gas, big oil companies are worrying about political stability of this developing countries. So, oil investors it will be hard. hawa wafanya biashara i hope wanajilipia wenyewe nauli.

I hope Mr president will visit other cities like Dallas, Houston, and Missouri so we can nell him with questions about Madini and dubyas CCM wabunge.
 
I am a bit slow...can you help me understand unamaanisha nini kwa sentenso na maneno niliyo-underline?
 
Kwani hamfahamu kwamba bunge la bajeti karibu linamaliza vikao vyake?

Hiyo ina maana tayari fungu la safari limeshatengwa na muungwana na watu wake wote sasa ni safari kwa kwenda mbele. Hakuna kukaa ofisini!

Waambieni TBL waongoze uzalishaji watanzania tunywe tu, waambie pia TCC waongeze uzalishaji, watanzania tuvute sigara, kisha muaambie wenye viwanda vya magodoro nao waongeze uzalishaji ili baada ya kula, kunywa na kuvuta sigara, tulale....Maana yangu ni kwamba katika serikali ya awamu ya nne hakuna hata kimoja cha maana kinachoendelea zaidi ya usanii na ubabaishaji tu!
 
Jamaa sasa anaonekana kama ni limbukeni, i guess he is somekind of holiday or trip maniac. I would support him on this trip,if there were any tangible benefits on his first trip. Wajanja mlioko kijijini tunaomba mfuatilie ziara hiyo muone wanachofanya ni nini kaka sio shopping tu na kutalii. Najua lazima atasema anapitia Uingereza kuangalia Newcaste au kupitia somewhere mama anunue kitu.....
 
Anaenda kutumia zile bilion 6.2 zilizoonyeshwa kuwa nnii kwa jili ya kukarabati ikulu, sasa kazi kwelii kweli.

Haya bwana kama mlimchagua rais ambaye nni mtalii kazi kwenu.annaandamanna nna mwandishi gani-
 
Ndiyo Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya hiyo na Maisha bora kwa kila Mtanzania!!!!
 
je ataonana na watz katika hizo sehemu anazokwenda kwenye safari zake ? halafu mmesahau, mchezo wake wa kubeba watu 40-50 kwenye misafara yake ?
 
MogongoMugongo,
Aliyosema Mtanganyika ndio hali halisi na huwezi kuyaelewa haya kwani somo lake ni kubwa kuliko mada yote hii. Kifupi hakuna hata jibu moja hapo juu tunaloweza kujibu kuwa sii kweli Mtanganyika kaongeza chinvi, na ndio maana umeona wamarekani investors wakijijenga zaidi Asia ambako kuna kila kitu wakitakacho. Ikiwa ni swala la kuwekesha tu basi Mexico na south Amerika ni sehemu yenye kila kitu zaidi yetu na karibu zaidi na kwao.
Waamerika wanakuja Afrika kuchuma tu, any term kutoka kwetu haziwezi kukubalika kwao na wala haziwezi kuwaingia akilini. Tukiwa tumesimama ktk fungu la kwanza la nchi maskini duniani, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuja wekesha kwa maskini. Hivi kweli wewe hapo ulipo unaweza kwenda fungua mradi wako wa kileo huko Usafani ktk milima mpakani na Malawi?. Unategemea nini/nani atakuwa mteja wako na ndivyo hawa jamaa wanavyoitazama Tanzania. Watakao kuja ni wezi watupu ambao ktk money laundry zao wamegundua siri fulani inayotokana na Umafia, otherwise mjomba tusitegemee.
Mimi kwa mtazamo wangu Wachina walikuwa bora zaidi, tukiwambia waje wafungue baadhi viwanda vyao kwetu kidogo inawezekana kwa sababu hawa jamaa ni kama wayahudi, hawaachi hata senti tano imelala. hawa jamaa tayari wamekwisha jua soko la Africa na wanafahamu uwezo wa soko ktk Afrika nzima ukiondoa Tanzania tu na wapo tayari kuishi sehemu za shida.
Kwa hiyo ili ku supply Africa nzima na mali zao inawezekana, nitarudia kusema inawezekana wakawa interested zaidi kwa kufahamu kwamba mali ghafi nyingi zinatoka kwetu na itakuwa bora kwao kuweza kuwekesha mitambo yao ndani Afrika kama vile Marekani alivyopipigia mahesabu China na Asia. Na sababu kubwa ya kuwasema hawa ni kwamba Wachina wana good experience na Africa na wengi wamejazana kila kona ya Africa.
Mchina sasa hivi ni Economic heavyweight ambaye vita yake ya kiuchumi imekuja mkomoa Mwamerika ktk Ubepari aliouanzisha!.. yeye yupo league moja na Marekani kwa hiyo labda tujifunze toka kwao na kidogo wana unafuu ktk mikataba yao zaidi ya Marekani.
Kinachompeleka JK Marekani ni KUOMBA misaada mtakuja nambia hiyo biahsra tunayojaribu kuitangaza kwao ni upuuzi mtupu...nitakwambia kwa nini?

katika dunia hii ya Utandawazi, ile fikra ya kuuza utamaduni wetu imepitwa na wakati!.. tanzania hadi leo tunatengeneza vitu vyetu wenyewe na kujaribu kuviuza nje hali kinachotakiwa ni sisi Watanzania kufahamu soko la mali tunayokusudia kutengeneza. Huwezi kutengeneza Khanga ukajaribu kuvisha kila Mmarekani ati ni utamaduni wetu laaa unatazama ni nguo gani zina soko Marekani na ndizo utakazo tengeneza kwa ajili ya soko nje! hata wenye viwanda China, India na kwingine kote wamejenga ofisi zao nje ili kuwa up to date kwa kila wanachokusudia kutengeneza, sisi wadanganyika bado tumeshikilia kutafuta soko la ngozi za Chatu.
kwa hiyo msafara wote ni kanya boya tu, hakuna biashara hapa. What can we sale in America ili kuweka uuwiano wa kibiashara kiasi kwamba tunaweza kuwaomba wao wanunue toka kwetu?..kama sii vinyago sioni biashara nyingine yeyote isipokuwa zile ambazo wanaweza kusimiliki wao kwa terms zao. Na hiyo pia ni mbinde kutokana na kila alilosema hapo juu Mtanganyika.
 
...unamwambia mmarekani aje kuinvest TZ huku huna umeme wala barabara,wasomi kanyaboya,rushwa kibao,burecracy kila kona,banking ni zero,zero infrastructure na matapeli wa kihindi na wala rushwa....labda atapata jamaa wawekezaji wa kuuza cellphone zao na matapeli wa Richmond lakini sio makampuni ya maana kutoka Wall street,ushauri wa bure kwa JK ni huna cha kuuza States zaidi ya mikataba fake ya gold tunayotapeliwa na ni bora ukae home upigane na rushwa na ujenge misingi ya maendeleo kama Elimu na infrastructure...halafu kibaya zaidi hata hao so called wafanyabiashara anaokuja nao ni wabababishaji tuu na hawana biashara yeyote ya maana mjini maana tunawajua na alikuja nao mwaka jana tuliwaona..matapeli na wezi watupu!
 
Wanabodi,
1. Je hizi ziara ni pesa kiasi gani za walipa kodi itatumika? Je hiyo entourage itahusisha jamaa zake kwenda kutembea? Tutaomba final list of nominated persons ambao watalipiwa na serikali! Who monitors how much JK spends ktk hizi ziara? Kama kuna watu wanamwita basi walipie- hizi pesa zijenge nyumba za waalimu kule Kisarawe! Nadhani Ziara hizi ziwe chache sana- aunganishe na Mkutano wa baraza la Usalama ili kupunguza gharama!

2. Nilikuwa naangalia Ziara ya Nguesso wa Congo US mwaka jana- ni hasara kubwa kwa Congo Brazaville. Hebu angalia hizi details hapa chini!

[edit] Personal spending
In January 2007, journalists published accounts showed Sassou Nguesso's personal spending habits. On one five-night stay in April 2006 in New York at the Waldorf Astoria, the suite occupied by Sassou-Nguesso recorded £12,000 of room service charges during a five-night stay, and a total cost of £73,000[2].

When Sassou Nguesso attended the United Nations General Assembly meeting in September 2006, almost £14,000 of room service at the Waldorf Astoria was added to his bill during another five-night stay. His entourage, including several members of his family, occupied 44 rooms which together ran up a bill of £130,000. The bills on September 19 included two bottles of Cristal champagne charged at £400. This was pointed out by the British newspaper The Sunday Times to be "comfortably more than the £106,000 that Britain gave the Republic of Congo in humanitarian aid in 2006."[3]

The spending was run up in the year that the World Bank, led by Paul Wolfowitz, delayed the debt relief deal known as the HIPC (Heavily Indebted Poor Countries) Initiative after learning that aides to Sassou-Nguesso had paid £100,000 in cash towards a September 2005 hotel bill totalling £169,000. The Congo-Brazzaville debt relief package was provided on the grounds that the Republic of Congo was too poor to meet its financial commitments.

As of June 2007, Nguesso, along with President Omar Bongo of Gabon, is being investigated by the French police due to claims that he has used millions of pounds of embezzled public funds to acquire lavish properties in France. He has been cited in recent years during French criminal inquiries into hundreds of millions of euros of illicit payments by Elf, the former French state-owned oil group.[1]

In July 2007, British NGO Global Witness published documents on its website that appear to show that the President's son, Denis Christel Sassou-Nguesso, may have spent hundreds of thousands of dollars of money that may derive from the country's oil sales on shopping sprees in Paris and Dubai.[4] The documents show that in August 2006 alone, Denis Christel, who is the head of Cotrade - the marketing branch of Congo's state oil firm SNPC - spent $35,000 on purchases from designers such as Louis Vuitton and Roberto Cavalli.[5]
 
Huyu Rais wetu inaelekea kuwa hajui kazi yake. Yeye anadhani kazi ya rais ni kuula tu, ndiyo maana alimaliza bajeti yake katika muda mfupi tu. Sasa pesa zimetolewa, naye ameanza safari. Business trip gani hiyo? Anafikiri wawekezaji wanaombwa? wanakuja wenyewe wakiona kuwa watapata faida. Hii ya kuwaomba wawezekazi ndiyo iliyoleta Mkataba wa Buzwagi.
 
Back
Top Bottom