Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

everyting has a reason,mi nnachoona hapa ni kuwa huyu mswahili anataka tu kukwepa majukumu yake ya msingi hapa nyumbani,mnjua nchi hii na chama chake viko katika unprecented crisis tangu uhuru,utapeli na usanii mtupu.sasa jamaa kaona bora akapumzike kidogog huko kwa wale wanaojua utawala na uongozi ni nini.
hebu fikiria kuna mgomo unaonukia wa wafanyakazi,kuna waislamu na manji,kuna mwafaka na cuf,pia latest ni la zitto na reaction ya watu,isitoshe add crisis ya ndani ya ccm,kwa nini mswahili wetu asipagawe?

Mwl Nyerere alimkataa tangu zamani,hkusiskia,matokeo yake kabeba hela za magabachori kina Rostam kwa kushirikiana na matapeli wa elimu na maprofesa wa usanii kina Mukandara ma media house ya ovyo kabisa ya Habari Corp kupitia Rai wakaiteka nchi..haya sasa ngoma ipo uwanjani mswahili anapagawa... na bado 2010 tunamsubirir kwa utapeli wake aliotufanyia.
 
everyting has a reason,mi nnachoona hapa ni kuwa huyu mswahili anataka tu kukwepa majukumu yake ya msingi hapa nyumbani,mnjua nchi hii na chama chake viko katika unprecented crisis tangu uhuru,utapeli na usanii mtupu.sasa jamaa kaona bora akapumzike kidogog huko kwa wale wanaojua utawala na uongozi ni nini.
hebu fikiria kuna mgomo unaonukia wa wafanyakazi,kuna waislamu na manji,kuna mwafaka na cuf,pia latest ni la zitto na reaction ya watu,isitoshe add crisis ya ndani ya ccm,kwa nini mswahili wetu asipagawe?

Mwl Nyerere alimkataa tangu zamani,hkusiskia,matokeo yake kabeba hela za magabachori kina Rostam kwa kushirikiana na matapeli wa elimu na maprofesa wa usanii kina Mukandara ma media house ya ovyo kabisa ya Habari Corp kupitia Rai wakaiteka nchi..haya sasa ngoma ipo uwanjani mswahili anapagawa... na bado 2010 tunamsubirir kwa utapeli wake aliotufanyia na bado mpaka ajute ni kwa nini walimfanyia political massacre Mzee Salim.
 
Katika Hotuba yake aliyoitoa kwa watanzania waishio Japan, Kikwete amedai kuwa anatembea nje kujitambulisha, na kuwaonyesha Viongozi wa nchi hizo kwamba yeye ndio "Mkapa" wa sasa, amedai kuwa bado atafanya ziara nyingi za nje ili apate baraka za huko, (atakwenda Uk na Scandinavia Jan'2007) na baadaye june 2007 ataanza rasmi kuhimili kwenye kazi za ndani ya nchi. Tembeleeni tanzatl.org kuna clip ya hotuba yake ya huko Tokyo. Nimepata wasiwasi JK kujiita Mkapa, sijui kama alikuwa anafurahisha baraza au alimaanisha kwa dhati similarities zake na Mkapa. Sidhani kama ni jambo zuri kujifananisha na huyo Rais mstaafu, kauli hiyo itazua maneno mengi. Mzee BWM sio mwadilifu kwa kiwango cha kufananishwa na JK.AU nae JK anatueleza kuwa yupo kama BWM.Naomba kutoa Hoja!!

Mwawado said:
Kuna Taarifa kuwa Mkuu atarudi tena USA Mwishoni mwa mwaka huu, baada ya Mkutano wa Commonwealth - Kampala na ziara fupi ya Mashariki ya mbali.Kwa maneno ya Wasaidizi wake kipindi hicho atapata muda wa kuzungumza na Watanzania na baadhi ya vyombo vya Habari.

Kulikoni hizi safari?
 
Pamoja na kufurahi kumuona Raisi wetu akisafiri katika mikutano ya kimataifa, nimefuatilia na kuona kuwa raisi wetu anasafiri sana na kuhudhuria mikutano mingine ambayo ingeweza kuwakilishwa na makamu wake, waziri mkuu au mawaziri maalumu wa wizara husika. Mfano mkutano wa juzi wa afrika kusini kukutana na Bill gate angeweza kuhudhuria waziri anayehusika na technology. Hii itampa muda wa kutosha raisi kukaa ofisini kwake na kutoa mwongozo wa taifa.

Anyway ni small observation. Nahisi kuna baadhi ya watu huenda pia mmeiona.

nadhani haujaweka clear, kama suala si rais kwenda bali anaweza kwenda makamu au PM nadhani basi hata akienda rais hamna neno, kama ungesema asiende kwa ajili ya kubana matumizi ningekuelewa ! enewei ndio hivyo !
 
Acheni ushamba raisi kusafiri si vibaya kama analeta misaada ya biashara. Mkutano wa Kitaifa mlitaka nani aende? Je angeenda Vice ingepunguza nini kigharama?. USA ime promise $600m na kikwete juzi tu kapewa promise, ukiangalia vizuri asingekuja na kupiga simu isingekuwa sawa. Safari ni nzuri na inabidi afanye safari zaidi na kuleta biashara, kujenga uhusiano na foundations kama Bill gates na Clinton, Kama mawazo ni kukaa kijiweni na kujadili politics za kitoto nyumbani nchi yetu itakuwa inaenda nyuma.
 
Promise inaweza usipewe au vipi? Je hizo pesa anapewa bure?
 
Hii itabidi iwe thread ya kukeep count on JK's trips za 2008 maana mwaka jana tulishindwa kuweka count hivyo wengine tukakosa hoja. Mwisho wa 2008 kama tutakuwa wazima tutajua safari vipi zilikuwa na ulazima na zipi siyo za muhimu

Evaluation yetu itaangalia msafara wake huwa anachukua watu wangapi

Anafikia hoteli gani

Emuhimu wa hiyo safari

Estimation ya gharama za kila safari

Gharama ambazo ubalozi husika huzipata

KISHA

tutaoanisha na repoti ya PUBLIC ACCOUNTS COMMETEE

na auditing reports za Foreign na Ikulu

kisha tutajua kama IKULU iko fot for purpose

sioni sababu gani hili lisiwezekane afterall wana JF mnajua itinerary ya JK ya mwezi ujao kabla hata hao watu wake ikulu hawajaijua

safi ifanyike...ila safari za Ndani tuzifanyaje?its a progress or not?
 
Hii itabidi iwe thread ya kukeep count on JK's trips za 2008 maana mwaka jana tulishindwa kuweka count hivyo wengine tukakosa hoja. Mwisho wa 2008 kama tutakuwa wazima tutajua safari vipi zilikuwa na ulazima na zipi siyo za muhimu

Evaluation yetu itaangalia msafara wake huwa anachukua watu wangapi

Anafikia hoteli gani

Emuhimu wa hiyo safari

Estimation ya gharama za kila safari

Gharama ambazo ubalozi husika huzipata

KISHA

tutaoanisha na repoti ya PUBLIC ACCOUNTS COMMETEE

na auditing reports za Foreign na Ikulu

kisha tutajua kama IKULU iko fot for purpose

sioni sababu gani hili lisiwezekane afterall wana JF mnajua itinerary ya JK ya mwezi ujao kabla hata hao watu wake ikulu hawajaijua

Jamaa inasemekana anasafari ya Ujeruman February 14
 
Mbona Lowassa mnamwacha? Wekeni wote, kwa safari za ndani na nje. Halafu mwisho wa mwaka tathmini 'nani zaidi'.
 
Haya wale walio dhani JK ataishia Ujerumani sasa atakuwa Holland kwa siku 3 baada ya Ujerumani . Habari za Kibalozi ambazo ni chanzo changu cha habari kinasema sasa anataka kukutana wadanganyika wa gibande ile .

Kama kuna maswali tafadhali penyeza kwa PM yangu . Kuna mashujaa kama 4 wako pale niwape haya maswali watamuuliza Muungwana .Naomba maswali kwa pm nasisitiza na yataulizwa nina uhakika na wananchi wachache wa kule .
 
Lunyungu.
Na mimi nina nondo zangu nataka zipenyezwe ili muheshimiwa azijibu. inabidi apate surprise. Muheshimiwa akija nchi za America anaishia DC na hataki maswali. Kama huko atawapa chance ya kuuliza mtakuwa wenye bahati
 
mzee ngoja tukupenyezee tu,maana huyu bwana kawa mgumu sana kupatikana hapa nchini
 
Jamani mimi bado niko Kenya ila hizo habari ndiyo zinazo jiri .Kama kuna mwenye maswali leteni mimi nina watu wachache ambao najua watasimama na kuuliza .Nileteeni kwa PM

Salaam toka Kanya .
 
Na wale mlioko Japani, mzee atakuja tena kama kwenye Mwezi Mei hivi.. mambo yote yakitengemaa
 
HAKUNA HAJA YA KUTUMA SWALI HILI SIRINI NA KAMA YEYOTE ANASOMA HAPA NA YUKO KARIBU NA PREZO AU MAMBO YA NDANI AU UBALOZI (UBELGIJI) NAWASOGEZEA SWALI HILI AMBALO NDUGU ZANGU WA HUKO WANAULIZA KILA SIKU, LIULIZWE AU LISIULIZWE RAIS AJIANDAE KUWA NA MAJIBU AU MAELEZO YA SWALI LIFUATALO:

KWA NINI MSAIDIZI WA BALOZI (KONSULA) WA HUKO NETHERLANDS NI MDACHI BADALA YA KUWA MTANZANIA???? NA NI NANI ALIYEMTEUA NA ANAWAJIBIKA KWA NANI MAANA UBALOZI WA UBELGIJI HAUKO JUU YAKE.
 
Kwa kuksaidia kipengele kidogo tu . Mzungu yule anawajibika kwa Simon Mlay ambaye ni Balozi kule Ubelgiji japokuwa kuwa power struggle na matusi ya kuwaona wabongo ni masikini na hata serikali yao. Jamaa alipewa Ulaji na Mkapa na Mkapa aliombwa kumuondoa alishindwa kusema lolote mwaka 2005 August mbele ya umati wa watu .

Jamaa kesha penya kajikita kwenye siasa zetu na rasilimali zetu ni mfanya biashara mkubwa na hata JK anamtegemea kwa namna moja ama nyingine .
 
Lunyungu Endelea Kunisaidia:

Je Taratibu Zetu Za Utumishi Wa Umma Zinaruhusu Mtu Asiye Mtanzania Afanye Kazi Nyeti Kama Hiyo Ya Kuwa Konsula?

Kama Ni Hapana Je Huyo Simon Anashinikizwa Au Na Kwa Nini Jk Amtegemee Kwa Lipi?
 
[KWA NINI MSAIDIZI WA BALOZI (KONSULA) WA HUKO NETHERLANDS NI MDACHI BADALA YA KUWA MTANZANIA???? NA NI NANI ALIYEMTEUA NA ANAWAJIBIKA KWA NANI MAANA UBALOZI WA UBELGIJI HAUKO JUU YAKE. [/QUOTE]

Hivi Ni kweli kabisa kuwa Tz tumefikia hapo?
 
Back
Top Bottom