Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

Naomba katika Hotuba yake Mh Mnyika amsisitizie lile neno alilosema Bungeni 'DHAIFU'
 
jamani kweli binadamu hawana shukrani. Mnalalamika sana kwamba raisi kazi yake ni kusafiri tu hafanyi kazi yoyote hapa tanzania, leo anafanya kazi yake ya kuongea na wananchi mnaanza kuzusha upumbavu wenu. Kweli kabisa shukrani ya punda ni mateke.

tatizo sio hilo dear, huwa anafanya yale asiyopaswa kufanya na yale anayopaswa hafanyi, ndio maana kelele mingi
 
Haisaidii kitu kuzomea kwao kwani hawajui wanalolifanya hao wametokea hapo kambi ya fisi na si ajabu ukiwauliza Rais wa Tanzania nani wanaweza kusema ni NYERERE.
 
Ndugu wadau bila shaka nyote ni wazima.

Nipo hapa Sinza Palestina ambapo Rais Kikwete atakuwepo katika kuzindua Hospitali ya Sinza, viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa kata ya Sinza na maeneo mengine ya Jiji la Dar.

Mheshimiwa Mnyika amewasili pamoja Na Diwani wa Sinza Ndugu Renatus Pamba.

Ndugu nitazidi kuwaletea yatakayojili.

Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
 
your political party general secretary is a poacher, right
 
Nafikiri ifike mahali watanzania tutangaze CCM ni janga la kitaifa na tuikatae kwenye ramani ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom