Mzozo unapozuka huwa vigumu sana kujua kiini hasa cha mzozo. Ni kama katika riwaya ya Mke na Mume kugombea kuku jike au dume visivokuwapo hadi wanachaniana mashati na blauzi.
Kuna mpango kuanza mradi wa kuku wa kienyeji. Mume na Mke kila mmoja anao mpango binafsi na vifaranga majike uzao wa kwanza. Asiingiliwe vikitotolewa. Mume wangu utaniachia vifaranga majike ya kwanza, we utachukua majogoo. Mume anakataa: chukua wewe majogoo wauzie wauza nyama ya kuku na hela ni zako. Mi nina shughuli na vifaranga tetea.
Mi sitaki jogoo. Ntachukua tetea. We mwanamke huna adabu. Nani kamuoa mwenzake hapa~! Uwezi ku elekeza nini cha kufanya na miradi hapa! Usintishe mwanamume gani anataka kuingilia hata mambo ya kuku. Unasemaje? Kofi...,
Ananiuaaaa! kucha usoni! ngwala, ngumi. Nakufaaaaa!!!!
Majirani wanakuja kuamulia. Kuna nini hapa? Mwanamke anajibu: si huyu hapa eti anataka tetea... Mi namwambia achukue jogoo hataki!
Jirani anauliza: Kuku wenyewe wapo wapi? mbona siwaoni? Mwanamke anajibu. Tulikuwa tunapanga mradi wa kuku. Hao kuku ni wale tutaowapata katika maradi. Mradi wenyewe upo wapi? Bado....
KESI YA MACHAFUKO YA KISIASA TANZANIA
Ninazo taarifa za kuaminika kuwa mtu wa kumlaumu ni Ali Hassan Mwinyi. Leo anayebebeshwa msala ni Kikwete. Ali Hassan Mwini ndiye alilazimisha Kikwete awe Rais.
Watu wa Usalama wa Taifa kabla ya mabadiliko yaliyofanywa kawenye taasis hiyo walifanya uchambuzi wa uwezo wa Kikwete na kushauri Asipewe nafasi ya Urais, lakini Ali Hassan Mwinyi alitumia hoja ya Uislam kulazimisha Kikwete kuwa rais--eti kwamba ni lazima baada ya Mkristo Mkapa, aliyekuwa anafuatia ilibidi lazima awe Muislam.
Kwa hiyo Mtu wa kubeba zigo la lawama za matatizo tuliyo nayo awe Ali Hassan Mwinyi. Na si Mwingine. Ni wazi hayupo peke yake, lakini kambi hiyo ya Mwinyi ni kambi ambayo inatekeleza agenda ya kueneza uislam Tanzania kwa maelekezo ya taifa la Iran. Kwa maana hii, Ali Hassan Mwinyi ndiye force behind haya matatizo tuliyo nayo.
Wakati huo huo, taarifa za uhakika zinasema Mchambuzi Mkuu wa Ripoti iliyoandikwa na Usalama wa Taifa kupinga Kikwete kupewa urais Alipewa Sumu---most likely ile sumu ya kina Mwakyembe. Afisa huyu wa Ngazi ya Juu alikuwa akijulikana kwa jina la Walingozi, Mfipa wa Sumbawanga.
Kwa hiyo tatizo tulilo nalo ni Agenda ya Iran kulazimishwa Tanzania. Ili agenda hiyo ifanikiwe ilikuwa lazima kuweka waislamu kila sehemu nyeti. Matokeo yake Rais, Usalama wa Taifa, Polisi, Mambo ya ndani palitakiwa kuwapo Muislam.
So? Tatizo letu ni Ali Hassan Mwinyi na Serikali ya Iran.
jamani nashindwa kuelewa jambo hapa labda tuwaze kwa mapana zaidi-
hivi Kikwete alipigia kura na waislamu peke yake? kama jibu ni hapana kwanini leo ionekane kama wakristo hawamtaki?
swala jingine ni hili hapa hivi tanzania ni ya wakristu tu ama waislamu tu? na je kwanini tunashindwa kuvumiliana as it was before?
je hizi hisia za kila kitu kinachofanyika kuonekana kana kwamba kina hisia za udini zinatoka wapi???? jamani ZZK anapaigwa vita na wanaCDM wenziewasio mjua na kumuelewa lakinai je hapa ukristo unaingiaje?
Hivi perfomance ya mtu inapimwa kwa imani ya dini ama uwajibikaji wake? je ulimboka ni kweli alitekwa na wana cdm? kama kweli kwaninia serikali isiwatie hatiani? imeshindikana vipi?
haya je askari aliye mwua MWANGOSI naye ni muislamu? je alitumwa na kilaini ama malasusa?
je hata wanaoibia nchi hii kwa wazi nao wametumwa na wakristo?
hakika huu ni ujinga na kamwe tusipo shindwa kuitoa hi sumu ni waazi kwamba nchi imeshafikia pabaya. ukabila umeibuka na sasa udini kisa tu ni huo urais wa 2015 ama ni nini?
nachelea kusema kwamba sasa naona harufu wa wafadhili wanao taka kuiua tanzania yenye amani. hivi nyie watu mnalipwa sh ngapi kuuza amani ya tanzania? mmeiuza kwa muungano mkatukana sana wabara tukaka kimya na wengi wao ni waislamu istoshe mkaamia kwenye ukabila mkaona hakuna sapoti sasa mmerudi kwenye udini poor you pple. siku zote kizuri kitajiuza chenyewe wala hakihitaj debe mnalopiga na sikujua kwamba kwa kaka yangu MWEMA kuwepo hapo nyie mnaona kama ndo amemaliza matatizo ya waislamu.
FYI Said MWEMA ,muulize machame Nkuu atakwambia vzr na matatizo ya familia hajayaweza kuyamaliza sembuse ya waislamu wote hawa?????????