Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

Huu ni upuuzi na upumbavu mkubwa. Baada ya kuharibu hali ya hewa kwa kuvamia na kuharibu makanisa mnatafuta pa kushika. This is stupid and pathetic. You have useless minds!! Shame on you and whoever is behind this story.
 
Mimi nashauri tusisome vitu kama hivi maana tutachukiana sana.
Binafsi hawa nimeshawaweka mbali kabisa...
 
huu ni upuuzi na upumbavu mkubwa. Baada ya kuharibu hali ya hewa kwa kuvamia na kuharibu makanisa mnatafuta pa kushika. This is stupid and pathetic. You have useless minds!! Shame on you and whoever is behind this story.

waraka wa kihuni tu huu
sidhani waislam wote wanaamini upuuzi huu
waraka gani hauna kichwa wala miguu..
Hauna anuani wala kitambulisho chochote cha taasis
binafsi nimeona hawa wachochezi ni wajinga wanaokesha vijiweni
na siku hizi kwa vile kuna internet cafe za shilingi miatano
basi wanashinda wakiandika ujinga na kusambaza.
Kama serikali au rais anaweza kupokea waraka kama huu basi serikli yetu ina matatizo makubwa sana
 
NIMEUSOMA waraka huu. umeandikwa na mtu anae jua kusoma na kuandika na anjua LUGHA vizuri.kifupi hajavuka zaidi ya darasa la saba la zamani.haja karabatiwa kiakili,kisaikolojia na hata dini yenyewe haifahamu.ni mfitini na nadhani hata waislamu wenyewe hawata muunga mkono kwa hayo anayo yasema.kumbe alkaida wameshaingia Tanzania!!!
 
hata mimi najiuliza hivyo hivyo!!!..hawa walioandika waraka huu wanataka kuwaaminisha waislam mambo ya ajabu sana..

Cha ajabu hata waliosoma huwa hawatumii elimu zao kutafakari wanayoletewa na hawa wapuuzi. Ingalikuwa wanawahoji nyaraka kama hizi zinapopelekwa wasingekuwa na pa kupeleka ujinga wao huu.
 
waislam kwa wakristo hii ndio njia ya mwisho waliyonayo ccm kukwamisha maendeleo ya kweli tulizeni akili zenu mimi naamini mwiislam wa kweli na nia ya kuona nchi hii inabadilika awezi kutilia maanani walaka huu wa kipuuzi nawaomba tushikamane kipindi hiki kigumu cha mpito tuachane na imani zetu tuangalie nchi yetu
 
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..

Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.
Huyo jamaa nilimwambia nitamdecode akabisha muda si mrefu nikamuonyesha hana kitu zaidi ya kuwa islamist tuu.
 
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..

Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.
bado una nguvu za kueneza udini?Si ulikuwa ukijiiita mwana chadema?au umesahau uongo wako na hivyo kushindwa kuuavaa upande wa adui zako?
 
peleka mtoto shuleeeeeee apate elimuue atafaidikaaaaaaa kwa maisha yakeeeeeee!
 
Sitaki kuamini kwamba CCM ndio inataka kupandikiza chuki za kidini, lakini ni wakristu na waislam wangapi wapo CCM!!. Enyi nyie mnaojiita waislam wenye imani hizo endeleeni kuubiri chuki na vita lakini jueni tu mnaudhalilisha uislam wenu. Sisi wakristu tutaendelea kuubiri Amani. Ushauri wa bure kwenu hasa nyie waislam wa Tanzania (maana nchi nyingine hawana hizo imani mbovu kama za kwenu), jipangeni upya, hubirini misikitini umuhimu wa kusoma na kujituma kufanya kazi. Vitu vya dezo vitawatokea puani.
 
Sitaki kuamini kwamba CCM ndio inataka kupandikiza chuki za kidini, lakini ni wakristu na waislam wangapi wapo CCM!!. Enyi nyie mnaojiita waislam wenye imani hizo endeleeni kuubiri chuki na vita lakini jueni tu mnaudhalilisha uislam wenu. Sisi wakristu tutaendelea kuubiri Amani. Ushauri wa bure kwenu hasa nyie waislam wa Tanzania (maana nchi nyingine hawana hizo imani mbovu kama za kwenu), jipangeni upya, hubirini misikitini umuhimu wa kusoma na kujituma kufanya kazi. Vitu vya dezo vitawatokea puani.

Hapo kwenye bold.
Vurugu hizi kama zile za miaka ya 90 ni matokeo ya watu wajanja wachache kupewa kitu kidogo ili wachochee chuki na kuharibu amani ya tanzania. Hao wachache wanapokea pesa na vitu vingine vidogovidogo kisha wanahadaa wale wengi ambao wanataabika kimaisha kwa kuwadanganya ati WAKRISTO ndio wanawasababishia taabu. Hao nao kwa hasira ya kupigika wanaingia kichwakichwa ila hata kufikiria. Naona huruma sana. Ndugu zetu waislam mnaopelekeshwa na wajanja, mmeshawahi kujiuliza ikiwa mtaharibu amani na kuleta chuki za kidini mtafaidika vipi? \Juzi mmechoma makanisa, je wakristo wameacha kusali au kuendelea na maisha yao? Wanawadanganya kuwa hii nchi itatawaliwa na SHARIA wanawadanganya sana.Anzeni kuwadodosa viongozi wenu hizo pesa wanzopokea kwa niaba yenu, zinawafaidisha vipi.Igeni mfano wa taasis ya wasomi wa kiislam - wao wameshaanza kufanya mambo ya maendeleo na kitendo chao cha kusaidia hospitali ya Muhimbili juzi kati kwa fedha zaidi ya milioni 100 binafsi kilinigusa sana.Hivi ndivyo mtakavyoweza kuislimisha Tanzania na siyo kwa kuonyesha chuki, inda na wivu na kuchomali mali za wenye imani tofauti na nyie.
 
Jk ni janga tusikubali tena kutawaliwa na raisi mwenye hihi dini yashetani


Edson
Ijadili hoja na si dini, unarahisha majibu ili iweje, kwa kuwa wewe unaelewa kinachoendelea? mimi ni Muislamu, nimefuatilia hoja za watu wengi lakini hii ya kwako, ni ya kipuuzi na unastahili kupuuzwa na hata na mchwa.
waraka huo umeandikwa na mtu ambaye "labda ni muislamu" lakini mrengo wa waraka huu ni wa kisiasa kabisa, sasa wewe kwa ufinyu wako wa kuchambua mambo unafikia hatua ya kutukana dini adhimu ya kiislam, sasa sijui una chuki na waislam(uislam) ama akili yako ndogo. Tanzania haina dini, na hata hayupo mtanzania yeyote anayeweza kuinua kichwa akasema chochote kuhusu dominance ya dini kwenye katiba wala sheria za nchi hii, vyote vinavyoelezwa na waraka ule ni propganda za kisiasa tuu na huenda ameandika NAPE, ambaye si muislam, ama hata Mukama, kwa kuwa anaona jahazi lake ninazama.
Sikufurahishwa hata kidogo na maandiko yako kwa kuwa umetoa kejeli kwa imani yangu isiyo na kosa. Waislam tunasema hivi, huwezi kukemea baya kwa kupeleka baya zaidi, unatakiwa kukemea baya na kuingiza zuri ili upate thawabu. haya ndiyo mafundisho ya mtume wetu Muhammad (SAW).
itakuwa busara sana kwako na kwa wanajamii kama utaomba msamaha humu.inasikitisha kusikia kwamba kuna watu wanasema maandiko haya ndiyo tunayofundishan msikitini, hapana, msikitini si uwanja wa siasa, na kama mtu wa aina hiyo atatokea basi huwa ni maoni yake kama mwanasiasa muslam kama alivyo kikwete, Shain, Safari, Prof. Lipumba na wengineo.
Uislam hauna uhusiano na mambo binafsi ya mtu, na wala haumzuii yeye kuwa na maoni yake kuhusu mambo ya kidunia, uislamu ni dini ambayo mwenye nayo ni allah kwa kupitia mafundisho ya mtume wetu Muhammad (SAW) uislam hauhamasihi kuua unahamasisha amani popote duniani.


TANZANIA NI YETU SOTE TUACHE CHOYO NA UBINAFSI, KWA KUWA HAKUNA SIKU TANZANIA ITAKUWA YA MKRISTU AMA MUISLAMU WALA YA MUHEHE AMA MMNYEMA, NI ZAWADI YETU KUTOKA KWA MUNGU. HATA TUKIUANA ITABAKI KUWA TANZANIA YA WATANZANIA.

GOD BLESS TANZANIA
 
Hivi hakuna muislamu mwenye busara azungumzie upuuzi huu?. Siamini na sitaki kuamini kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliungwa mkono Nchi nzima 2005 na hata huyo Kilaini kutamka kuwa ni chaguo la Mungu sasa atakuwa nyuma ya mambo ya kipuuzi na kishetani kama haya!!
Mufti toa tamko. Jakaya toa tamko! Ila kama kweli haya ndiyo mapishi yako basi naogopa hata hatima yako!! pole sana!!
mimi ni muislam.nimaupitia waraka huu kwa makini.ifahamike kuwa kwa kila msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani.walioandika waraka huu ni wapuuzi wachache ambao wakati wenzao wanafikiri wao wanaongozwa na emotion tu.waislaam waliostaarabika na wanaotumia akili ni watu ambao ni verry critical and rational.hawawezi kuandika upuzi huu au kufanya ule upuuzi wa mbagala.
 
Nimeshangaa, yaani hata Kijijini Nyololo kulikuwa na uisilama? Ripoti ya kijinga kweli kweli. Mbegu hii itakuwa na laana kwa aliyeanzisha na kuitekeleza
 
kwa hiyo ccm ni chenu waislam? tuambieni 2jue sasa
Chama ni ITIKADI, mimi nafuata mrengo wa kulia, naamini ktk Uhafidhina hivyo sipo Chadema kwa sababu ni cha wakristu au waislaam. Chama kinapoingiliwa na watu wenye mitazamo ya kidini inanibidi kuwaeleza ukweli na pengine ikibidi kuachana na siasa zake..Chadema sii mama yangu, na kwa hakika CDM kinatuhitaji sisi wananchi kuliko sisi tunavyokihitaji chama hiki..
 
Sitaki kuamini kwamba CCM ndio inataka kupandikiza chuki za kidini, lakini ni wakristu na waislam wangapi wapo CCM!!. Enyi nyie mnaojiita waislam wenye imani hizo endeleeni kuubiri chuki na vita lakini jueni tu mnaudhalilisha uislam wenu. Sisi wakristu tutaendelea kuubiri Amani. Ushauri wa bure kwenu hasa nyie waislam wa Tanzania (maana nchi nyingine hawana hizo imani mbovu kama za kwenu), jipangeni upya, hubirini misikitini umuhimu wa kusoma na kujituma kufanya kazi. Vitu vya dezo vitawatokea puani.
suala hapa si ccm wala chadema,suala hapa ni kuleta mambo ya udini halafu bila logical connection
 
Ninahisi kuna mtu ameiba ID yako....Siamini kama huyu ni wewe!

Nani muasisi wa kashfa za kidini nchini? Zilianza lini? Naona watu wamekuwa wasahaulifu kweli.....

Ile mihadhara ya kashfa ya miaka ya 80-90 je? Zile kanda za kukashifu biblia za kina Sheikh Mwaipopo, Mazinge na wenzao je? Au hawa utasema walitumwa na CHADEMA pia? Hivi kweli kuna nini kipya katika waraka huu? Radio Iman imelalamikiwa mara nyingi humu ndani kwa kueneza uchochezi nayo imetumwa na CHADEMA?

Mimi ninapoishi jirani kuna msikiti na kila asubuhi Imam anapoita watu kwa asla ya alfajiri huendeleza na mahubiri ya kukashifu biblia, serikali na mfumo kristo...na kila baad ya wiki kadhaa kunafanyika mhadhara wa kuchambua biblia kuwa Yesu sio mwana wa Mungu! Yaani mhadhara wa waislamu lakini wanachambua biblia!! Sasa hawa nao utasema wametumwa na CHADEMA kweli??

Kila yanapotokea matukio kama ya mbagala mnasema ni kundi la wahuni wanatumia jina la uislamu kufanya uhuni wao...lakini nani anawachochea? kwa nini hamuwaaniki hadharani na kuwakemea vikali? Kwa nini hamjitengi nao basi?

Hii mbegu mliyopandikiza na kuiacha imee na kukua sasa ndio tunaona matunda yake....mwisho wa siku najua hamtaishia makanisani mtachoma mpaka nyumba za wakristo!!

Mungu atusaidie sana!!!
Mkuu wangu pengine unataka kuanzisha ubishi usokuwa a maana kabisa. Kina Mazinge na Mwaipopo walikuwa chama gani, walishabikia chama gani kama sio CUF?. Hawa waliukashifu Ukristu kwa kutumia kisingizio cha kupingana na jinsi wachungaji walivyokuwa wakiitafsiri Biblia. Mkuu wangu binafsi sina tatizo kubwa sana na kuichambua Biblia au Kuruan kwa nia ya kuelemisha watu lakini sio kuitumia Biblia ama Kuruan kisiasa..Kuichambua Biblia ndiko kumetuletea tofauti ya madhehebu iwe Wakatoliki na Warutheri, Wasabato na kadhalika, ndio pia imetuletea tofauti ya dhehebu la Sunni na Shia japokuwa Mungu ni mmoja. Confusing? Yes but at least mwanadamu unapewa sura mbili tofauti na kisha ni juu yako kuchagua unaamini lipi.. Hulazimishwi..Lakini tunapotumia Biblia au Kuruan KISIASA hapo ndipo nisipokubaliana maana binafsi yangu naamini ktk separation ya Church na State.

Hakuna mtu aloniibia ID yangu, ni mimi Mkandara asiyependa kabisa kuona chama hiki kimeingiliwa na Wachungaji uchwara. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa watu wanaozungumza leo hii wanatumia mgongo wa CHADEMA badala ya kuwa wachungaji makanisani wakieleza uzuri wa imani yao.. hata wewe ukienda posa ama kumtongoza binti hutatumia mapungufu ya mwenzako kuelezea sifa zako bali utatumia sifa zako na binti atakupenda wewe kwa sifa zako sio udhaifu wa mwingne..

Chadema sii mama yangu wala sikuzaliwa nacho ni imani yangu Kisiasa inayonipeleka kuwa mwanachama kama walivyojiunga kina Zitto na Mbowe. Nimechagua kuwaunga mkono na wao ndio wananihitaji mimi..Na siku zote msema kweli kipenzi cha Mungu. Chadema imeingiliwa!.. Inanishangaza sana kuona siku hizi chama kinatumia wachungaji kugombea Ubunge? Kinatumia wachungaji ktk majukwaa ya siasa hii inatupeleka wapi haswa na kama siko ilikofika CUF. Hivi kweli mchungaji anayegombea Ubunge na kujiita mwanasiasa ama mwanaharakati huyu atafundisha nini akiwa kanisani?..Ukweli usemwe wazi..

Pamoja na yote hayo, siku zote humu JF nasisitiza watu kupendana, kuelewana na kikubwa zaidi kuto impose your belief to others, waache wengine waamini kile wanachoamini na usiwalazimishe watu wengine kuamini ama kufuata dini yako. Na nimesema wazi kwamba hata huyo Yesu na Muhammad waliwashawishi watu wasioamini na kuwavuta wakaamini, leo siye tuloikuta dini tena tumekuta makanisa na misikiti tayari imesha jengwa nchini kote kazi yetu ni kwenda kusali tu.. je ingekuwa hakuna misikiti na Makanisa si tungeuana vibaya sana...

Viongozi wa Chadema watch where mnakipeleka chama hiki na huu umaarufu wa Muda utakuja kutugeukia kwa sababu ya kuwapokea hawa watu wanafiki na wenye tamaa kubwa ya madaraka na pengine wametumwa kuja kivuruga chama na hakika leo hii mbegu za mbigiri tulizopanda zimeanza kutoa matunda inabidi tupalilie njia ya kutokea..
 
Back
Top Bottom