Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

Nimependa title ya hii thread. Ama kweli haya ni matokeo ya mbegu aliyopanda Kiwete hasa 2010. Sasa propaganda hizi zimeota mizizi la "Wajinga Ndiyo Waliwao". Wakati CDM wakishambuliwa na kupakaziwa, wao wanazidi kuchanja mbuga na M4C. Wakati wakristo wakichokozwa makusudi na kushambuliwa kwa maneno, wao wako "busy" wanajenga shule na hospitali. Mkimaliza propaganda zenu mwende mkasome na kutibiwa.

Umeona ehhhh!!!!!! Nimeipenda hii
 
asante Kikwete kwa mbengu hii ila mimi naamini Mungu wangu atakuadhibu kwa maana na wewe ni mwanadamu tu wa kawaida ila tu ni cheo ambacho ipo siku kitakoma. Sure sasa naamini kunabaadhi ya Waisilaam ni vichaa na hawana akili. Mnapambana na giza na hamtashinda
 
Hivi ni mungu gani huyo wanayemwabudu anayewaagiza wamtetee kwa vurugu, mapanga, mashoka n.k. Lazima huyo mungu wao atakuwa tofauti na Mungu wa wakristo. Haiwezekani mungu huyohuyo ahimize vurugu na kwingine ahimize amani na upendo.
 
Wenine hatuwezi kuufungua. Kuna mtu anaweza kuutandaza hapa?
Lakini kwa vyovyote Watanzania wajiepushe na vita ya dini- mbaya sana na haiishi- angalia Iraq, Phillipens n.k.
 
Ukisoma huu waraka unaweza kuamini ni waraka wa vichaa fulani wanaotegemea kuwasomea vichaa wenzao. lakini cha kusikitisha ndizo waraka wanazoandika ndugu zetu hawa na kuzigawa misikitini tena zikifurahiwa na kugombaniwa.

Ndio maana huwezi kushangaa kwanini katika nchi nyingi za kiislamu kuna vurugu au nchi zile ambazo sina waislamu wanaochangamana na dini nyingine kuna vurugu zinazoongozwa na waislamu wenye siasa kali. Kwa muislamu kuukimbia huu ujinga ni kwamba awe na uelewa na kisomo kidogo kichwani pamoja na kichwa kinachouliza kila kitu. Bahati mbaya si wengi wana sifa hizo hivo wanaenda na maji.

Huu waraka wa kijinga kabisa unamfagilia na kuulinda utawala wa Rais Kikwete. Ndio maana tunasema Kikwete ndiye anayelea huu upumbavu. Kama angekuwa kiongozi makini angekemea hawa wapumbavu na kuwaagiza mara moja waache kumchafulia jina lake lakini kakaa kimya tu.

Waraka kama hizi wamezunguka na kuzihadhiri hadharani karibia nchini kote mara baada ya Kikwete kushinda uongozi na kuonekana watu wamemkataa kwa kuwa hakuwa chaguo lao. Hapa kama kiongozi wa nchi ingetakiwa ajitokeze na kukemea hii mihadhara inayohatarisha umoja wa kitaifa. Kiongozi wa nchi anashindwa nini kutamka kuwa ni haramu kuongelea mambo ya siasa kwenye mikutano ya kidini iwe msikitini au makanisani na kwamba watakaofanya hivyo watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na sheria zikaanza kuchukua mkondo wake. Kama hatua ndogo kama hiyo ingechukuliwa makanisa yangefikikia kuchomwa moto?

Hawa ndugu zetu wanaopalilia hizi chuki hata akili zao haziwazi mbali hivi ni mawaziri wa kiislamu tu ndio walioandamwa walipopata kashfa kujiuzulu? Vipi chenge hakuwa waziri? Vipi, Ezekiel Maige hakuwa waziri? Vipi Emmanuel Nchimbi anayetakiwa kujiuzulu kwa mauaji ya Mwangosi pamoja na Kamanda Michael Kamuhanda nao ni waislamu kama Mwema? Ndugu zetu waislamu mkikubali huu waraka na kuifanyia kazi mtakuwa watu wenye akili ndogo kuliko watoto wadogo wanaoweza kudanganywa tu. Najua wengi mna akili na uwezo mzuri wa kufikiri kukataa huu uzushi?

Mbona CDM wamempinga Lowasa mpaka kajiuzulu, hizo kashfa hazikuanza na Dr. Slaa huyo mnayemwita padri ili kunogesha uongo wenu wa waraka huu? Mbona ni mkristo? Mbona bado wanampinga huyo Lowasa kama wanavyompinga Kikwete? Kwa hiyo kama Kikwete anapingwa kwa kuwa ni muislamu, Lowasa je?
 
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Mkuu wangu kwanza niseme tu ya kwamba huo waraka unaouweka hapa haukuandikwa na Muislaam kama unavyodai kwa sababu kuna makosa mengi sana ya kimaandishi hasa ktk nukuu ya maneno ya Utangulizi ambayo muislaam hawezi kuyafanya. Halafu ukiusoma kwa makini utajua fika kwamba huyu mtu aloandika hii kitu ameandika sio official hakuna address, jina wala Jumuiya gani isipokuwa tu katumia maneno anayojua yeye kwa kuficha ID yake.

Halafu jamani kuweni wakweli, hizi propaganda zenu za kuupiga vita Uislaam mtaacha lini? Hivi kweli kwa kuweka huu waraka unataka mimi niamini kwamba humchukii JK kwa sababu ni Muislaam au ndio unanipa mashaka zaidi na dhumuni lako..Sasa nakuomba wewe fikiria kwamba waraka huu haukuandikwa na Sheikh wala kiongozi wa kiislaam, jiulize kama sio kaandika nani na huyu mtu alikuwa na lengo gani?.. Kisha nikuulize wewe mbona hukuuweka waraka huu wa kanisa na wala hujamuona Muislaam akiuweka hapa.
Inanibidi niuweke Bofya usoma, kisha jiulize unawahusu nini wananchi wapiga kura kama sio agizo la kanisa kwa wakristu wanadai nchi yetu haina dini.
 
Pamoja na ujinga wote wa huu waraka, jambo moja ambalo umenifungua macho ni kwamba JK alipoingia madarakani alifanya strategic appointments katika taasisi za usalama na zile nyeti kuwaweka Waislamu, na JWTZ ambalo alijua halina mwingilio sana katika mambo ya ndani ya nchi ndio akamuweka mkristo. Angalia alivyokuwa amewapanga - Waziri Mambo ya Ndani, Mkuu wa Polisi, Mkurugenzi Usalama wa Taifa, Waziri wa Fedha, nk!

Tuawashukuru sana kwa kutufungua macho na waraka wenu huu.
 
Jk ni janga tusikubali tena kutawaliwa na raisi mwenye hihi dini yashetani

Kabisa mkuu. mi naona hawa jamaa waisilamu wanadhani wakristu kukaa kimya ni wajinga, nafikiri sasa na sisi tuanze kupigania imani yetu kwa gharama yoyote ile; Mijitu haiendi shule imeng'ang'ania wanakandamizwa na mfumo kristo! pumbaf!
 
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..
 
Kwa nini huu wakara unalenga zaidi kufananisha CHADEMA na mamabo mabaya?
Nani ambaye angependa CHADEMA kife kwa gharama yoyote?
nani anapandikiza mbegu ya chuki kwa CHADEMA?
Nani ni mpinzani mkubwa wa CHADEMA?
Kifo cha Mwandosya ni bahati mbaya?
Ni nani angependa watanzania waamini hivyo?
Na kwa maslai ya nani?
Ukipata jibu utajua huu waraka unatoka wapi???

wana JF, ndugu zangu waislamu wanatumiwa tu hapa....

Mkuu Mzee wangu Mwandosya Hajafa, nafikiri ulimaanisha , MWANGOSI
 
Ukisoma huu waraka unaweza kuamini ni waraka wa vichaa fulani wanaotegemea kuwasomea vichaa wenzao. lakini cha kusikitisha ndizo waraka wanazoandika ndugu zetu hawa na kuzigawa misikitini tena zikifurahiwa na kugombaniwa. Ndio maana huwezi kushangaa kwanini katika nchi nyingi za kiislamu kuna vurugu au nchi zile ambazo sina waislamu wanaochangamana na dini nyingine kuna vurugu zinazoongozwa na waislamu wenye siasa kali. Kwa muislamu kuukimbia huu ujinga ni kwamba awe na uelewa na kisomo kidogo kichwani pamoja na kichwa kinachouliza kila kitu. Bahati mbaya si wengi wana sifa hizo hivo wanaenda na maji.
Huu waraka wa kijinga kabisa unamfagilia na kuulinda utawala wa Rais Kikwete. Ndio maana tunasema Kikwete ndiye anayelea huu upumbavu. Kama angekuwa kiongozi makini angekemea hawa wapumbavu na kuwaagiza mara moja waache kumchafulia jina lake lakini kakaa kimya tu. Waraka kama hizi wamezunguka na kuzihadhiri hadharani karibia nchini kote mara baada ya Kikwete kushinda uongozi na kuonekana watu wamemkataa kwa kuwa hakuwa chaguo lao. Hapa kama kiongozi wa nchi ingetakiwa ajitokeze na kukemea hii mihadhara inayohatarisha umoja wa kitaifa. Kiongozi wa nchi anashindwa nini kutamka kuwa ni haramu kuongelea mambo ya siasa kwenye mikutano ya kidini iwe msikitini au makanisani na kwamba watakaofanya hivyo watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na sheria zikaanza kuchukua mkondo wake. Kama hatua ndogo kama hiyo ingechukuliwa makanisa yangefikikia kuchomwa moto?
Hawa ndugu zetu wanaopalilia hizi chuki hata akili zao haziwazi mbali hivi ni mawaziri wa kiislamu tu ndio walioandamwa walipopata kashfa kujiuzulu? Vipi chenge hakuwa waziri? Vipi, Ezekiel Maige hakuwa waziri? Vipi Emmanuel Nchimbi anayetakiwa kujiuzulu kwa mauaji ya Mwangosi pamoja na Kamanda Michael Kamuhanda nao ni waislamu kama Mwema? Ndugu zetu waislamu mkikubali huu waraka na kuifanyia kazi mtakuwa watu wenye akili ndogo kuliko watoto wadogo wanaoweza kudanganywa tu. Najua wengi mna akili na uwezo mzuri wa kufikiri kukataa huu uzushi?
Mbona CDM wamempinga Lowasa mpaka kajiuzulu, hizo kashfa hazikuanza na Dr. Slaa huyo mnayemwita padri ili kunogesha uongo wenu wa waraka huu? Mbona ni mkristo? Mbona bado wanampinga huyo Lowasa kama wanavyompinga Kikwete? Kwa hiyo kama Kikwete anapingwa kwa kuwa ni muislamu, Lowasa je?
Kama nimekuelewa vizuri, hapo kwenye red: tambua kwamba elimu haimbadilishi muislam, awe professor awe hajagusa shule atafuata misingi ile ile ya dini yake kwa sababu ndio njia yake ambayo anaamini itamfikisha mbinguni.Sitaki kuandika mengi, lakini kama tu ungejua wanafundishwa nini tangu wadogo kuhusu watu wa dini nyingine wala usingeshangaa wanayoyafanya sasa hivi. Angalia kipengele cha 13 kwenye waraka huo, yeyote asiye muislamu wanamuita kafiri na ana-deserve chochote kibaya. Na usishangae kusikia hao aliowatuhumu kwenye kipengele hicho wakadhuriwa, maana yake ni kama anawaamrisha kiaina wakawafanyizie.
 
hivi waislamu mbona hawafikirii vizuri?
Nani amekwambia waislamu hawafikirii vizuri? Hao wanafuata maandiko ya vitabu vyao, hivyo ndivyo vinavyowaagiza. Kwa hiyo hamtaweza kuelewana katika suala hilo.
 
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..

Mkuu wangu nakuheshimu sana kwa nguvu ya hoja zako hapa jukwaani. Waislamu wa Tanzania ambao najua wengi ni wapenda amani na haki wajitenge na matendo mabaya yanayowachafua,yakiongozwa na watu aina ya Ponda. Mkuu wangu,Waislamu wanatukanwa humu kwasababu ya ukimya wao wa kuwaacha wahuni wachache wafanye uchochezi,wajenge chuki ktk jamii na mwisho wake ni mapambano! Wahanga wakubwa wa uchochezi huu watakua wananchi masikini bila kujali dini ya wahusika.
 
Mkuu wangu nakuheshimu sana kwa nguvu ya hoja zako hapa jukwaani. Waislamu wa Tanzania ambao najua wengi ni wapenda amani na haki wajitenge na matendo mabaya yanayowachafua,yakiongozwa na watu aina ya Ponda. Mkuu wangu,Waislamu wanatukanwa humu kwasababu ya ukimya wao wa kuwaacha wahuni wachache wafanye uchochezi,wajenge chuki ktk jamii na mwisho wake ni mapambano! Wahanga wakubwa wa uchochezi huu watakua wananchi masikini bila kujali dini ya wahusika.
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..

Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.
 
mashahara wa zambi ni mauti..sasa yanawarudia walyokuwa wakihubir kwny kampen zao 2010 kuwa cdm ni chama cha wakristo...ccm ni janga jamani..
 
Back
Top Bottom