• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

E

engmtolera

Verified Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,150
Points
1,250
E

engmtolera

Verified Member
Joined Oct 21, 2010
5,150 1,250
Nadhani sasa tunako kwenda ni pabaya zaidi,kwani naogopa sana issue ya dini inapozungumziwa mahali hapa, pia uelewa wa watu ktk threads ziwekwazo ni mdogo sana,hivyo tujalibu kuweka threads ambazo watu watazielewa kiurahisi na kuzichangia, mimi ni mwisilamu tena imani yangu si haba, alichokiongelea mtoa mada ni kuwa ktk kampeni mh alitumia fimbo ya udini kuingia madarakani kitu ambacho kimemsaidia yeye ila bado kimeacha matatizo kwa jamii,mtoa maada anasema hata mwinyi hakutumia kauli za dini kuingia ikulu, swala la kubaguliwa kwa mkristo ama muislamu sijaliona kwa mtoa mada, hivyo tusitoe maana nyingine ya thread hii na ikazidi kuleta utata tuielewe kama alivyo hitaji mtowa mada.

Chuki ya dini ni mbaya kuliko chuki ya kuchukuliwa mke,ndio maana baadhi wapo tayari kujitowa mhanga kwa ajili ya dini,tuache haya, tuendeleze kile mtoa hoja alichokikusudia

mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaa
 
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
1,892
Points
1,225
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
1,892 1,225
CHANZO CHA UDIN TZ NI JK NA CCM YAKE. MWAKA 2005 ILANI YA CCM ILIYO MUWEKA MADARAKANI ILIKUWA NA KIPENGERE CHA MAHAKAMA YA KADHI AMBACHO MWAKA HUU AMETOA BAADA YA KUWAHUJUMU WAISLAM. SASA NI JAMBO LA AJABU KUONA KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI HAIKUKIUKA KATIBA MWAKA 2005 LAKINI 2010 PIUS MSEKWA ANASEMA IMEKIUKA KATIBA WAKATI HATA HIYO KATIBA HAIJABADILIKA.

JK NDIYE CHANZO CHA UDINI NCHIN KWANI AMEWAGAWA HATA WAISLAM NA KUWATENGA KTK MAKUNDI MAWILI ;SHURA YA MAIMUM NA BAKWATA. KATIKA SHEREHE ZAKE NA MIKUTANO HAJAWAHI KUWAITA SHURA YA MAIMAMU:nono:
 
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
1,892
Points
1,225
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
1,892 1,225
UDINI UPO CCM TANGU MWANZO NA NDIO MAANA , TEC,CCT, NA PCT WALIMUPA BENARD MEMBE KADI NYEKUNDU BAADA YA KUTANGAZA KUWA TZ IPO MBIONI KUJIUNGA NA OIC. MAAGIZO HAYO MEMBER ALIPEWA NA JK:nono:
 
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,935
Points
1,250
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,935 1,250
Nikweli chanzo cha udini ni huyu jamaa, yeye ndo aliyeleta mambo ya udini hata hivyo kwa sasa ni vigumu kufuta kwa kutumia magazeti labda apambane kwa dhati na ufisadi watanzania tunaweza kupunguza machungu yetu!
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
21,881
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
21,881 2,000
CHANZO CHA UDIN TZ NI JK NA CCM YAKE. MWAKA 2005 ILANI YA CCM ILIYO MUWEKA MADARAKANI ILIKUWA NA KIPENGERE CHA MAHAKAMA YA KADHI AMBACHO MWAKA HUU AMETOA BAADA YA KUWAHUJUMU WAISLAM. SASA NI JAMBO LA AJABU KUONA KWAMBA MAHAKAMA YA KADHI HAIKUKIUKA KATIBA MWAKA 2005 LAKINI 2010 PIUS MSEKWA ANASEMA IMEKIUKA KATIBA WAKATI HATA HIYO KATIBA HAIJABADILIKA.

JK NDIYE CHANZO CHA UDINI NCHIN KWANI AMEWAGAWA HATA WAISLAM NA KUWATENGA KTK MAKUNDI MAWILI ;SHURA YA MAIMUM NA BAKWATA. KATIKA SHEREHE ZAKE NA MIKUTANO HAJAWAHI KUWAITA SHURA YA MAIMAMU:nono:
Ule mmea aliootesha JK ulioamza kama mchicha sasa umekuwa mbuyu kamili, alijua anaiangamiza Chadema kumbe analiangamiza Taifa zima.Hivi sasa hata Waislamu wenzake wanataka kutoana roho wenyewe kwa wenyewe.
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,355
Points
2,000
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,355 2,000
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
18,139
Points
2,000
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
18,139 2,000
jamani nashindwa kuelewa jambo hapa labda tuwaze kwa mapana zaidi-

hivi Kikwete alipigia kura na waislamu peke yake? kama jibu ni hapana kwanini leo ionekane kama wakristo hawamtaki?

swala jingine ni hili hapa hivi tanzania niya wakristu tu ama waislamu tu? na je kwanini tunashindwa kuvumiliana as it was before?

je hizi hisia za kila kitu kinachofanyika kuonekana kana kwamba kina hisia za udini zinatoka wapi???? jamani ZZK anapaigwa vita na wanaCDM wenziewasio mjua na kumuelewa lakinai je hapa ukristo unaingiaje?

Hivi perfomance ya mtu inapimwa kwa imani ya dini ama uwajibikaji wake? je ulimboka ni kweli alitekwa na wana cdm? kama kweli kwaninia serikali isiwatie hatiani? imeshindikana vipi?

haya je askari aliye mwua MWANGOSI naye ni muislamu? je alitumwa na kilaini ama malasusa?

je hata wanaoibia nchi hii kwa wazi nao wametumwa na wakristo?

hakika huu ni ujinga na kamwe tusipo shindwa kuitoa hi sumu ni waazi kwamba nchi imeshafikia pabaya. ukabila umeibuka na sasa udini kisa tu ni huo urais wa 2015 ama ni nini?

nachelea kusema kwamba sasa naona harufu wa wafadhili wanao taka kuiua tanzania yenye amani. hivi nyie watu mnalipwa sh ngapi kuuza amani ya tanzania? mmeiuza kwa muungano mkatukana sana wabara tukaka kimya na wengi wao ni waislamu istoshe mkaamia kwenye ukabila mkaona hakuna sapoti sasa mmerudi kwenye udini poor you pple. siku zote kizuri kitajiuza chenyewe wala hakihitaj debe mnalopiga na sikujua kwamba kwa kaka yangu MWEMA kuwepo hapo nyie mnaona kama ndo amemaliza matatizo ya waislamu.

FYI Said MWEMA ,muulize machame Nkuu atakwambia vzr na matatizo ya familia hajayaweza kuyamaliza sembuse ya waislamu wote hawa?????????
 
Man 4 M4C

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
741
Points
195
Man 4 M4C

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
741 195
Roho kwatu itakumaliza wewe!!!!!!!!!!!!!
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,821
Points
2,000
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,821 2,000
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Hivi hakuna muislamu mwenye busara azungumzie upuuzi huu?. Siamini na sitaki kuamini kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliungwa mkono Nchi nzima 2005 na hata huyo Kilaini kutamka kuwa ni chaguo la Mungu sasa atakuwa nyuma ya mambo ya kipuuzi na kishetani kama haya!!
Mufti toa tamko. Jakaya toa tamko! Ila kama kweli haya ndiyo mapishi yako basi naogopa hata hatima yako!! pole sana!!
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,355
Points
2,000
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,355 2,000
Hivi hakuna muislamu mwenye busara azungumzie upuuzi huu?. Siamini na sitaki kuamini kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliungwa mkona Nchi nzima 2005 na hata huyo Kilaini kutamka kuwa ni chaguo la Mungu sasa atakuwa nyuma ya mambo ya kipuuzi na kishetani kama haya!!
Mufti toa tamko. Jakaya toa tamko! Ila kama kweli haya ndiyo mapishi yako basi naogopa hata hatima yako!! pole sana!!

hata mimi najiuliza hivyo hivyo!!!..hawa walioandika waraka huu wanataka kuwaaminisha waislam mambo ya ajabu sana..
 
Sumba-Wanga

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
5,379
Points
1,225
Sumba-Wanga

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
5,379 1,225
hata mimi najiuliza hivyo hivyo!!!..hawa walioandika waraka huu wanataka kuwaaminisha waislam mambo ya ajabu sana..
Kwa nini huu wakara unalenga zaidi kufananisha CHADEMA na mamabo mabaya?
Nani ambaye angependa CHADEMA kife kwa gharama yoyote?
nani anapandikiza mbegu ya chuki kwa CHADEMA?
Nani ni mpinzani mkubwa wa CHADEMA?
Kifo cha Mwandosya ni bahati mbaya?
Ni nani angependa watanzania waamini hivyo?
Na kwa maslai ya nani?
Ukipata jibu utajua huu waraka unatoka wapi???

wana JF, ndugu zangu waislamu wanatumiwa tu hapa....
 
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
1,804
Points
1,225
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
1,804 1,225
Dhaifu mchimba kisima,kaingia mwenyewe!
 
Isalia

Isalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
1,045
Points
1,250
Isalia

Isalia

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
1,045 1,250
Kwa nini huu wakara unalenga zaidi kufananisha CHADEMA na mamabo mabaya?
Nani ambaye angependa CHADEMA kife kwa gharama yoyote?
nani anapandikiza mbegu ya chuki kwa CHADEMA?
Nani ni mpinzani mkubwa wa CHADEMA?
Kifo cha Mwandosya ni bahati mbaya?
Ni nani angependa watanzania waamini hivyo?
Na kwa maslai ya nani?
Ukipata jibu utajua huu waraka unatoka wapi???

wana JF, ndugu zangu waislamu wanatumiwa tu hapa....
kama inavyotumiwa CDM na kanisa kama udini alianza kuupanda nyerere mkapa akaupalilia ila kwa upande wenu inawauma
 
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
239
Points
0
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
239 0
Hivi huu waraka ni kweli au ni mtu kauzusha. Kama ni kweli basi badhi ya waTZ wana ufinyo wa kufikiri.
 
M

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
1,325
Points
0
M

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
1,325 0
Kuna kila dalili sasa nchi inaelekea kwenye machafuko!!
 
Zipuwawa

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
3,050
Points
1,250
Zipuwawa

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
3,050 1,250
Mi nimechoka sana na huu wakala kwani ni wakijinga na wakipumbafu.............haiwezekani kusema mambo ya ushoga yanatetewa na Nkya wakati wengi wa mashoga ni waislamu nenda Tanga , Zanzibar na Pwani.............

Mteteeni JK lakini mwisho wake utafika na ujinga wenu itaisha.
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,821
Points
2,000
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,821 2,000
kama inavyotumiwa CDM na kanisa kama udini alianza kuupanda nyerere mkapa akaupalilia ila kwa upande wenu inawauma
TISS at work IGHONDU. yakichacha utatumia silaha zote za TISS.
 

Forum statistics

Threads 1,404,265
Members 531,541
Posts 34,449,068
Top