T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
hivi waislamu mbona hawafikirii vizuri?
kapige mswaki mdomo wako unanuka
hivi waislamu mbona hawafikirii vizuri?
Kabisa mkuu. mi naona hawa jamaa waisilamu wanadhani wakristu kukaa kimya ni wajinga, nafikiri sasa na sisi tuanze kupigania imani yetu kwa gharama yoyote ile; Mijitu haiendi shule imeng'ang'ania wanakandamizwa na mfumo kristo! pumbaf!
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..
Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.
Oh my God. Mkandara na wewe unaamini huo waraka umeandikwa makusudi kuupaka matope uislamu? Au unaamini una ukweli? Je, ile mihadhara inayogeuzwa kukashifu CDM na kumlinda JK kwamba watu wanamkataa kwa kuwa ni muislamu na zenyewe zinahutubiws na wakristo kuuchafua uislamu?Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..
Kabisa mkuu. mi naona hawa jamaa waisilamu wanadhani wakristu kukaa kimya ni wajinga, nafikiri sasa na sisi tuanze kupigania imani yetu kwa gharama yoyote ile; Mijitu haiendi shule imeng'ang'ania wanakandamizwa na mfumo kristo! pumbaf!
Umemficha chumbani!! anatafutwa aliwe ngede pamoja nawe!! kilaza mkubwa usiyefuatilia mambo &$%#@* nitaku@#$f8ra miye ku@&&m@unag.o.n,g.w.a na huyo jamaa?au unamuhitaji
Mkuu wangu kwanza niseme tu ya kwamba huo waraka unaouweka hapa haukuandikwa na Muislaam kama unavyodai kwa sababu kuna makosa mengi sana ya kimaandishi hasa ktk nukuu ya maneno ya Utangulizi ambayo muislaam hawezi kuyafanya. Halafu ukiusoma kwa makini utajua fika kwamba huyu mtu aloandika hii kitu ameandika sio official hakuna address, jina wala Jumuiya gani isipokuwa tu katumia maneno anayojua yeye kwa kuficha ID yake.
Halafu jamani kuweni wakweli, hizi propaganda zenu za kuupiga vita Uislaam mtaacha lini? Hivi kweli kwa kuweka huu waraka unataka mimi niamini kwamba humchukii JK kwa sababu ni Muislaam au ndio unanipa mashaka zaidi na dhumuni lako..Sasa nakuomba wewe fikiria kwamba waraka huu haukuandikwa na Sheikh wala kiongozi wa kiislaam, jiulize kama sio kaandika nani na huyu mtu alikuwa na lengo gani?.. Kisha nikuulize wewe mbona hukuuweka waraka huu wa kanisa na wala hujamuona Muislaam akiuweka hapa.
Inanibidi niuweke Bofya usoma, kisha jiulize unawahusu nini wananchi wapiga kura kama sio agizo la kanisa kwa wakristu wanadai nchi yetu haina dini.
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Ukisoma nyaraka zote utagundua jambo moja tu. Siasa chafu za majitaka!!Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
na kamwe tusipo shindwa kuitoa hi sumu ni waazi kwamba nchi imeshafikia pabaya. ukabila umeibuka na sasa udini
ukweli unauma.jinsi mnavopandikiza chuki ndo mnavozidi kukwama,waislam ni watu wazuri sema mnawachokoza.yani we ukojolee kitabu kitakatifu halafu uchekewe tu,kwani we nani.mkuki kwa nguruwe ee?
Achana na Mkandara a guy who pretends to be wise but concealing his evil plans!!be wareOh my God. Mkandara na wewe unaamini huo waraka umeandikwa makusudi kuupaka matope uislamu? Au unaamini una ukweli? Je, ile mihadhara inayogeuzwa kukashifu CDM na kumlinda JK kwamba watu wanamkataa kwa kuwa ni muislamu na zenyewe zinahutubiws na wakristo kuuchafua uislamu?
Ni kweli huo waraka hauna jina wala muhuri kwa sabu wslouandika wanajificha lakini una malengo yake.
Una uhakika gani kwamba imeandikwa na wakristo? Je, hizi sizo issue zinazotawsla kwenye redio na tv za waislamu. Kama wanazihubiri hadharani washindwe vipi kuziandika?
Mkuu najua wewe ni mtu makini unayejitahidi kuwa neutra. Ni watu kama wewe wanaoweza kuwang'oa ndugu zenu wanaozamishwa kwenye tope la machafuko. Tanzania inahitaji watu kama wewe hivo ni vizuri ukabaki hivo ni vizuri ukawa msaada kwa ndugu zako badala ya kuungana nao katika maangamizi yao na taifa kwa ujumla.
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..