Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
wote wakristo na waislam sote ni ndugu,waislam waache chuki binafsi kwa christian,sote njia yetu ni moja
amebadilika zaidi ya nyoka, wewe unafikiri kwanini watu wanamsaka wamfanyie? na huwa anasakwa afanyiwe hiyo ndo maana halisi ya kuwa nyoka na siyo eti awe nyoka, kiroho amakuwa zaid ya nyoka, amebaki mwili tu ndo binadamu.Hivi Yule mtoto aliyekojelea kile kitabu amekwisha badirika kuwa nyoka?
mimi ni muislam.nimaupitia waraka huu kwa makini.ifahamike kuwa kwa kila msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani.walioandika waraka huu ni wapuuzi wachache ambao wakati wenzao wanafikiri wao wanaongozwa na emotion tu.waislaam waliostaarabika na wanaotumia akili ni watu ambao ni verry critical and rational.hawawezi kuandika upuzi huu au kufanya ule upuuzi wa mbagala.
amebadilika zaidi ya nyoka, wewe unafikiri kwanini watu wanamsaka wamfanyie? na huwa anasakwa afanyiwe hiyo ndo maana halisi ya kuwa nyoka na siyo eti awe nyoka, kiroho amakuwa zaid ya nyoka, amebaki mwili tu ndo binadamu.
halafu suala la msingi kuheshimiwa na mtu wa dini yoyote ni kufanya matendo ambayo anapenda na yeye atendewe hivyo sio kudhani yeye ana haki zaidi ya wenzake.I wish this was true!! Ukweli ni kuwa wengi wanaodhania wanaelewa vizuri uislamu hawajui. Nashauri watu warudi katika vitabu na hadithi. Kuna kanuni inaitwa naskh ambayo aya mpya hufuta za mwanzo. Hivyo unasikia aya fuatilia je kulikuwa na nyingine baada ya hiyo. Maana unaweze shikilia hiyo aya kumbe ilishafutwa na iliyoifuatia.
kweli na ukimuona mtu anaacha mabo yote anakimbilia udini ujue kafilisika. by mwalimuwote wakristo na waislam sote ni ndugu,waislam waache chuki binafsi kwa christian,sote njia yetu ni moja
Mkuu wangu pengine unataka kuanzisha ubishi usokuwa a maana kabisa. Kina Mazinge na Mwaipopo walikuwa chama gani, walishabikia chama gani kama sio CUF?. Hawa waliukashifu Ukristu kwa kutumia kisingizio cha kupingana na jinsi wachungaji walivyokuwa wakiitafsiri Biblia. Mkuu wangu binafsi sina tatizo kubwa sana na kuichambua Biblia au Kuruan kwa nia ya kuelemisha watu lakini sio kuitumia Biblia ama Kuruan kisiasa..Kuichambua Biblia ndiko kumetuletea tofauti ya madhehebu iwe Wakatoliki na Warutheri, Wasabato na kadhalika, ndio pia imetuletea tofauti ya dhehebu la Sunni na Shia japokuwa Mungu ni mmoja. Confusing? Yes but at least mwanadamu unapewa sura mbili tofauti na kisha ni juu yako kuchagua unaamini lipi.. Hulazimishwi..Lakini tunapotumia Biblia au Kuruan KISIASA hapo ndipo nisipokubaliana maana binafsi yangu naamini ktk separation ya Church na State.
Hakuna mtu aloniibia ID yangu, ni mimi Mkandara asiyependa kabisa kuona chama hiki kimeingiliwa na Wachungaji uchwara. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa watu wanaozungumza leo hii wanatumia mgongo wa CHADEMA badala ya kuwa wachungaji makanisani wakieleza uzuri wa imani yao.. hata wewe ukienda posa ama kumtongoza binti hutatumia mapungufu ya mwenzako kuelezea sifa zako bali utatumia sifa zako na binti atakupenda wewe kwa sifa zako sio udhaifu wa mwingne..
Chadema sii mama yangu wala sikuzaliwa nacho ni imani yangu Kisiasa inayonipeleka kuwa mwanachama kama walivyojiunga kina Zitto na Mbowe. Nimechagua kuwaunga mkono na wao ndio wananihitaji mimi..Na siku zote msema kweli kipenzi cha Mungu. Chadema imeingiliwa!.. Inanishangaza sana kuona siku hizi chama kinatumia wachungaji kugombea Ubunge? Kinatumia wachungaji ktk majukwaa ya siasa hii inatupeleka wapi haswa na kama siko ilikofika CUF. Hivi kweli mchungaji anayegombea Ubunge na kujiita mwanasiasa ama mwanaharakati huyu atafundisha nini akiwa kanisani?..Ukweli usemwe wazi..
Pamoja na yote hayo, siku zote humu JF nasisitiza watu kupendana, kuelewana na kikubwa zaidi kuto impose your belief to others, waache wengine waamini kile wanachoamini na usiwalazimishe watu wengine kuamini ama kufuata dini yako. Na nimesema wazi kwamba hata huyo Yesu na Muhammad waliwashawishi watu wasioamini na kuwavuta wakaamini, leo siye tuloikuta dini tena tumekuta makanisa na misikiti tayari imesha jengwa nchini kote kazi yetu ni kwenda kusali tu.. je ingekuwa hakuna misikiti na Makanisa si tungeuana vibaya sana...
Viongozi wa Chadema watch where mnakipeleka chama hiki na huu umaarufu wa Muda utakuja kutugeukia kwa sababu ya kuwapokea hawa watu wanafiki na wenye tamaa kubwa ya madaraka na pengine wametumwa kuja kivuruga chama na hakika leo hii mbegu za mbigiri tulizopanda zimeanza kutoa matunda inabidi tupalilie njia ya kutokea..
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Acha nipotelee kwenye kiza lakini binafsi yangu sikubaliani na hawa kina Mtikila, Rwakatale na wengineo kwa sababu nchi yangu haina dini. Ninaamini kabisa nataka kuijua elimu ya Zitto (mchumi) kwa sababu ndiyo itakuwa kishawishi kwangu ktk mchango wake kitaifa, nitamtazama kila mgombea kwa sifa na vigezo vyake vitanisaidia nini mimi mwananchi. Kama wanataka kuingia siasa kwani kuna tatizo gani kuacha Uchungaji, mbona Dr.Slaa aliacha na leo ni mwanasiasa tena yupo ktk nafasi nzuri sana ya kuwa rais wa Jamhuri ya Tanzania. Nielewe hapo maana sintamuunga mkono mchungaji yeyote wa Kiislaam kugombea Uongozi kwa sababu yeye ni mchungaji, kwa kufanya hivyo itatuletea kina Mullah na Ayatollah nchini.Mkuu Mkandara,
Naona unazidi kupotelea kwenye giza mkuu wangu hebu turudi kwenye mada...Labda nikuulize;
-Wachungaji uchwara wa CHADEMA ni kina nani na wanahusika vipi na migogoro inayoendelea? Kugombea nafasi ya kisiasa ni haki ya kila raia iwe mchungaji au shehe au mganga wa kienyeji(Maji Marefu) wote ni poa tu...Au akitoka chadema ndio inakuwa nongwa? Mbona Mch. Mtikila hasemwi? Mbona Mch. Getrude Lwakatare hasemwi? Au sababu wao sio CHADEMA? Hebu tuache chuki hizi jamani zinatupofua macho tunashindwa kuona kabisa...
-Nini kilichokusukuma kusema kuwa waraka huu umetungwa na CHADEMA? Chuki ya CHADEMA dhidi ya uislamu inatokea wapi na kwa nini? Kwa sababu wanampinga Rais muislamu? Kuna nini kipya katika waraka huu ambacho hakijasemwa na Radio Iman? Au nayo ni CHADEMA?
Una uhakika kuwa uchambuzi wa biblia unaofanywa ni kwa ajili ya kujifunza tu? Kuna faida gani hasa kwa waislamu kukusanyika kwenye mihadhara yao na kuanza kuchambua biblia kuwa Yesu sio mwana wa Mungu? Inawahusu nini wakati hicho sio kitabu cha dini yao? Kwa nini wasifundishane Quran kwa ufasaha zaidi?? Wewe mwenyewe umesema usilazimishe imani yako kwa mwingine....sasa hao wanaochambua biblia kwenye mihadhara wanafanya nini? Umewahi kusikia kwenye mikutano ya injili wanachambua Quran?
Kama una uthibitisho huu waraka ni fake au umeandikwa na CHADEMA umwage hapa jamvini tuwaanike wabaya wetu hadharani. Nje ya hapo tunazidi kuendeleza mbegu hizi hizi za chuki na uhasama ambazo hazitatusaidia chochote!
Pamoja sana!
Kwa nini huu wakara unalenga zaidi kufananisha CHADEMA na mamabo mabaya?
Nani ambaye angependa CHADEMA kife kwa gharama yoyote?
nani anapandikiza mbegu ya chuki kwa CHADEMA?
Nani ni mpinzani mkubwa wa CHADEMA?
Kifo cha Mwandosya ni bahati mbaya?
Ni nani angependa watanzania waamini hivyo?
Na kwa maslai ya nani?
Ukipata jibu utajua huu waraka unatoka wapi???
wana JF, ndugu zangu waislamu wanatumiwa tu hapa....
Mkuu wangu pengine unataka kuanzisha ubishi usokuwa a maana kabisa. Kina Mazinge na Mwaipopo walikuwa chama gani, walishabikia chama gani kama sio CUF?. Hawa waliukashifu Ukristu kwa kutumia kisingizio cha kupingana na jinsi wachungaji walivyokuwa wakiitafsiri Biblia. Mkuu wangu binafsi sina tatizo kubwa sana na kuichambua Biblia au Kuruan kwa nia ya kuelemisha watu lakini sio kuitumia Biblia ama Kuruan kisiasa..Kuichambua Biblia ndiko kumetuletea tofauti ya madhehebu iwe Wakatoliki na Warutheri, Wasabato na kadhalika, ndio pia imetuletea tofauti ya dhehebu la Sunni na Shia japokuwa Mungu ni mmoja. Confusing? Yes but at least mwanadamu unapewa sura mbili tofauti na kisha ni juu yako kuchagua unaamini lipi.. Hulazimishwi..Lakini tunapotumia Biblia au Kuruan KISIASA hapo ndipo nisipokubaliana maana binafsi yangu naamini ktk separation ya Church na State.
Hakuna mtu aloniibia ID yangu, ni mimi Mkandara asiyependa kabisa kuona chama hiki kimeingiliwa na Wachungaji uchwara. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa watu wanaozungumza leo hii wanatumia mgongo wa CHADEMA badala ya kuwa wachungaji makanisani wakieleza uzuri wa imani yao.. hata wewe ukienda posa ama kumtongoza binti hutatumia mapungufu ya mwenzako kuelezea sifa zako bali utatumia sifa zako na binti atakupenda wewe kwa sifa zako sio udhaifu wa mwingne..
Chadema sii mama yangu wala sikuzaliwa nacho ni imani yangu Kisiasa inayonipeleka kuwa mwanachama kama walivyojiunga kina Zitto na Mbowe. Nimechagua kuwaunga mkono na wao ndio wananihitaji mimi..Na siku zote msema kweli kipenzi cha Mungu. Chadema imeingiliwa!.. Inanishangaza sana kuona siku hizi chama kinatumia wachungaji kugombea Ubunge? Kinatumia wachungaji ktk majukwaa ya siasa hii inatupeleka wapi haswa na kama siko ilikofika CUF. Hivi kweli mchungaji anayegombea Ubunge na kujiita mwanasiasa ama mwanaharakati huyu atafundisha nini akiwa kanisani?..Ukweli usemwe wazi..
Pamoja na yote hayo, siku zote humu JF nasisitiza watu kupendana, kuelewana na kikubwa zaidi kuto impose your belief to others, waache wengine waamini kile wanachoamini na usiwalazimishe watu wengine kuamini ama kufuata dini yako. Na nimesema wazi kwamba hata huyo Yesu na Muhammad waliwashawishi watu wasioamini na kuwavuta wakaamini, leo siye tuloikuta dini tena tumekuta makanisa na misikiti tayari imesha jengwa nchini kote kazi yetu ni kwenda kusali tu.. je ingekuwa hakuna misikiti na Makanisa si tungeuana vibaya sana...
Viongozi wa Chadema watch where mnakipeleka chama hiki na huu umaarufu wa Muda utakuja kutugeukia kwa sababu ya kuwapokea hawa watu wanafiki na wenye tamaa kubwa ya madaraka na pengine wametumwa kuja kivuruga chama na hakika leo hii mbegu za mbigiri tulizopanda zimeanza kutoa matunda inabidi tupalilie njia ya kutokea..
Kuna kila dalili sasa nchi inaelekea kwenye machafuko!!
Ukisoma nyaraka zote utagundua jambo moja tu. Siasa chafu za majitaka!!
Hawa ni wale TISS wala siyo waislamu nimejibishana na baadhi humu JF. Baada kuchomwa makanisa ya ZNZ tulishauriana kuwa wabaya wetu siyo waislamu/wakristo nina amini kwa dhati hao ni TISS katika juhudi za kulinda wezi wa MABWEPANDE wasipigwe chini 2015.
Kwa sababu hata waislamu ukiwauliza waandishi wa nyaraka hizi hutampata yeyote. TISS limegeuka uhasama wa taifa!!
Bado yatajitokeza mengi kabla ya 2015!!
Miaka ya nyuma wakati TISS ikiwa usalama wa taifa. Nyaraka kama hizi zingefuatiliwa haraka na mwandishi angetiwa nghuvuni. Hata chanzo cha mifarakano na vurugu kingejulikana. Lakini kwa vile ni TISS wenyewe ushahidi utafichwa na chokochoko zitaendelea. TISS ni adui mkuu wa WATANZANIA.
Itakuwa ubaguzi gani? hana sifa za kumsimamisha maana nchi yetu hana dini na yeye kama anataka kugombea aache uchungaji. Mbona wakati wa Nyerere hawakusimama huyo Mtikila alikuwepo, Mama Rwakatale, Sheikh Hassan Amir na wengine wengi tu walikuwepo unafikiri hawa watu walipingana na Nyerere pembeni kwa sababu gani?..Ndugu Mkandara, huoni kwamba kwa chadema kuwakatalia wachungaji au hata masheikh kuwa wabunge (viongozi) itakuwa inafanya ubaguzi? Unataka kusema chadema ni mbaya kwa sababu ina Msigwa na Tsere, ila CCM ni nzuri kwa sababu ina Mheshimiwa Mchungaji Dr. mama Rwakatare na Asumpta Mshama wa Nkenge? Tena Rwakatare aliteuliwa na rais, wala si wakuchaguliwa kama Msigwa, Tsere na Asumpta! Kama tatizo ni balance of power kati ya dini hizi, basi utatuzi ni kwa kuwahamasisha masheikh nao kugombea kupitia CDM. By the way, kama kuna "damage" yeyote inayofanywa na Msigwa na Tsere kwa CDM, basi bila shaka imekuwa compesated na mihadhara ya chuki inayoendeshwa kila siku na masheihk dhidi ya CDM.
Let's face Mkandara, ktk hili wewe umeshachagua upande wa kushabikia-kama wengine wanavyofanya, tatizo ni wewe kujifanya uko neutral. Na ajabu ni kwamba inalaumiwa chadema na si serikali yenye uwezo (TISS) wa kumkamata anayesambaza waraka huu wa uchochezi. Kumbe TISS inafanya kazi gani? TISS tuliyoijua wakati tunakua haiwezi kushindwa na siamini kama imeshindwa. Ndiyo maana werevu tunaona watawala wanafaidika na uchochezi huu, maana la sivyo angetenguliwa mtu kiuno.
Hitimisho: Wanaolitakia mema taifa hili, popote walipo (hata TISS) wanapaswa kulikemea na kulishughulikia suala hili mara moja-hata kwa kujitoa mhanga. Taifa letu lina wajinga wengi na washirikina wa kutosha. Mtu mwenye vitu hivi viwili (ushirikina na ujinga), anaweza kuamini lolote kutoka kwa yeyote, wakati wowote. Ndiyo, hakuna anayeshinda ktk vita au machafuko-wote huwa wanajeruhiwa.
Mkuu wangu pengine unataka kuanzisha ubishi usokuwa a maana kabisa. Kina Mazinge na Mwaipopo walikuwa chama gani, walishabikia chama gani kama sio CUF?. Hawa waliukashifu Ukristu kwa kutumia kisingizio cha kupingana na jinsi wachungaji walivyokuwa wakiitafsiri Biblia. Mkuu wangu binafsi sina tatizo kubwa sana na kuichambua Biblia au Kuruan kwa nia ya kuelemisha watu lakini sio kuitumia Biblia ama Kuruan kisiasa..Kuichambua Biblia ndiko kumetuletea tofauti ya madhehebu iwe Wakatoliki na Warutheri, Wasabato na kadhalika, ndio pia imetuletea tofauti ya dhehebu la Sunni na Shia japokuwa Mungu ni mmoja. Confusing? Yes but at least mwanadamu unapewa sura mbili tofauti na kisha ni juu yako kuchagua unaamini lipi.. Hulazimishwi..Lakini tunapotumia Biblia au Kuruan KISIASA hapo ndipo nisipokubaliana maana binafsi yangu naamini ktk separation ya Church na State.
Hakuna mtu aloniibia ID yangu, ni mimi Mkandara asiyependa kabisa kuona chama hiki kimeingiliwa na Wachungaji uchwara. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa watu wanaozungumza leo hii wanatumia mgongo wa CHADEMA badala ya kuwa wachungaji makanisani wakieleza uzuri wa imani yao.. hata wewe ukienda posa ama kumtongoza binti hutatumia mapungufu ya mwenzako kuelezea sifa zako bali utatumia sifa zako na binti atakupenda wewe kwa sifa zako sio udhaifu wa mwingne..
Chadema sii mama yangu wala sikuzaliwa nacho ni imani yangu Kisiasa inayonipeleka kuwa mwanachama kama walivyojiunga kina Zitto na Mbowe. Nimechagua kuwaunga mkono na wao ndio wananihitaji mimi..Na siku zote msema kweli kipenzi cha Mungu. Chadema imeingiliwa!.. Inanishangaza sana kuona siku hizi chama kinatumia wachungaji kugombea Ubunge? Kinatumia wachungaji ktk majukwaa ya siasa hii inatupeleka wapi haswa na kama siko ilikofika CUF. Hivi kweli mchungaji anayegombea Ubunge na kujiita mwanasiasa ama mwanaharakati huyu atafundisha nini akiwa kanisani?..Ukweli usemwe wazi..
Pamoja na yote hayo, siku zote humu JF nasisitiza watu kupendana, kuelewana na kikubwa zaidi kuto impose your belief to others, waache wengine waamini kile wanachoamini na usiwalazimishe watu wengine kuamini ama kufuata dini yako. Na nimesema wazi kwamba hata huyo Yesu na Muhammad waliwashawishi watu wasioamini na kuwavuta wakaamini, leo siye tuloikuta dini tena tumekuta makanisa na misikiti tayari imesha jengwa nchini kote kazi yetu ni kwenda kusali tu.. je ingekuwa hakuna misikiti na Makanisa si tungeuana vibaya sana...
Viongozi wa Chadema watch where mnakipeleka chama hiki na huu umaarufu wa Muda utakuja kutugeukia kwa sababu ya kuwapokea hawa watu wanafiki na wenye tamaa kubwa ya madaraka na pengine wametumwa kuja kivuruga chama na hakika leo hii mbegu za mbigiri tulizopanda zimeanza kutoa matunda inabidi tupalilie njia ya kutokea..
1. Katiba inasema wazi nchi yetu haina dini wao wanaingia kugombea uongozi kwa sifa zipi? - Wachujwe kabla ya kugombea.1. Sheria gani ya chi inakataza Wachungaji/ Mashekh kujiunga na vyama vya siasa?
2. Je hawa Mashekh/ Wachungaji wape ndani ya CHADEMA peke yake?
3. Kwa wale mnaopenda kuunganisha udini na siasa, kwa nini huwa mnamlenga Dr. Slaa peke yake?
4.Dr. Slaa yupo kwenye siasa tangu mwanzoni mwa miaka 2000, na yuko CHADEMA tangu 2005, kwa nini muda wote hakuwa anaongelewa ki itikadi za udini mpaka hapo alipogombea uraisi mwaka 2010?
5.Kwa nini ***** ***** hizi zinavuma zaidi wakati huu ambao CCM ipo taabani kisiasa?
6. Kwa nini ***** ***** hizi zinavuma wakati kuna vuguvugu kubwa la kusaka uraisi 2015 kwa makundi mbalimbali ndani ya CCM
7. Lamwisho la kizushi, Je unausupport waraka huu?
Naomba majibu yaliojitosheleza ili kuniondolea imani nilionayo kwamba,
1. waraka huu uko nyuma ya mgongo wa CCM kujinusuru katika anguko lake kuu, tena ni njia hatari sana ya kuwagawa watanzia Kidini. Tena ni bora ya njia ile ya kwanza ya kuwagawa watanzania kikabila, maana athari zake si kubwa sana kulinganisha na hilii la kidini! kumbuka propaganda za CHADEMA ni chama cha kichaga... zilishidwa!, CHADEMA ni chama cha nkikanda... Zilishidwa! Sasa na hili nalo???
2. Waraka huu uko nyuma ya vikundi fulani fulani vya kusaka uraisi 2015, na hii ni njia mathubuti kwao kwa kudhoofisha nguvu za Dr. Slaa, ambao wanaamini ni mtu pekee ambae atakuwa kikwazo katika njia yao ya kuingia ikulu..
Zaidi ya yote, naumia sana kwako wewe kuona uko nyuma ya hili, maana naamini ni mmoja ya watu makini hapa JF, wenye kujenga hoja vizuri na kuvuta hisia za wengi hapa JF. Nachelea kusema, Je hujui athari za jambo hili??