Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Ushauri wako nini achague mabinti?
Ushauri wako nini achague mabinti?
Muhongo kakomaa naye, akimwaga ugali lenyewe linamwaga mboga, athubutu kulitoa uwaziri aone!
Haya ndio madhara ya kufanyabiashara Ikulu; amekula 50% ya Simba Trust, sasa makina Muhongo na Maswi yamekomaa naye!! Inabidi apige domo na wazee ili upepo upite... lakini ndo anaua chama, CCM haitakaa imsahau huyu jamaa!
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Wewe ni ke au me?hakuna la maana hapo,ni mipasho kwenda mbele na hayo maccm ya daslam....muhongo kuendelea kupeta na bunge limedharauliwa..
Sio lazima wewe usikie, kwani huna umuhimu wwte na wewe ni mzigoHii idea ya kuongea na wazee wa CCM nani alileta? Sijawahi kusikia raisi yoyote duaniani anaongea na wazee.
Only in Tanzania
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu