GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
dar es salam hakuna wazee
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Na weweJuliana Shonza ni lini ulipewa jukumu la kuwa msemaji wa Ikulu?......
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Siyo kweli,Rais hahutubii leo
Kumekuwepo na utaratibu wa hovyo ambao umeanza kumea kwa kasi siku baada ya siku wa watu kutunga na kusambaza taarifa za uzushi na uongo kwa maslahi yao binafsi, na hili limefanywa kuwa jambo rahisi kwa kuwepo mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ambavyo havina weledi katika kazi zao.
NAOMBA NIJIBIWE NI LINI IKULU ILITANGAZA KUWA LEO IJUMAA, TAREHE 19, DEC 2014 MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATAZUNGUMZA NA WAZEE WA JIJI LA DAR ES SALAAM..?
Utaratibu na tabia ya baadhi ya watu kupata taarifa zisizo authenticated na kuanza kuzisambaza ni tabia ya KIMBEA na haina budi iachwe na itokomezwe mara moja.