Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Hivi hii nchi ni ya wazee tuuu? Make me najua unapokuwa baba kuna wakati utaongea na familia kwa ujumla cku ingine na kaka, dada, mjukuu na mama... Toka huyu apange Ikulu ni yy na wazee tuu tena wa Dodoma na Dar pekee... Songea hakuna wazee? Kweli kama baba tunae...