Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
chanzo: ikulu
Ahutubie asihutubie it doesnt make any difference aiseeee, siku zote alizohutubia aliishia kucheka tu hata kwa issues ambazo ni serious. na ndio maana anaongea na wazee!! wazee?/ ili wampgie makofi kila anachokiongea...thanks, nitaangalia katuni
atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam ijumaa wiki hii alasiri.
Chanzo: Ikulu
Anataka kujikosha kiaina
Ushauri wako nini achague mabinti?Historia ya Jk sio nzuri anapochagua hadhara ya wazee