mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,846
Kuna mambo wala hutakiwi kwenda fom four kujua kuwa msela pale magogon pamemshinda anamda mzr sn kubadirisha wakuu w mikoa lkn c kusema kuhusu escrow anaweza sn kuongea na wanachama wachache wa ccm kwa kuwalipa lkn c kujua kwann watz ni maskini wenye hasra tulisha mchagulia gole la kati