Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

theme hapo ni werema alitoa ushauri mzuri utekelezaji ulikuwa mzuri hela si za umma kuna watu wabaya wasotakia amani nchi yetu wanatumiwa kutugawa.Kuna vimakosa vidogo vidogo hatua za kinidhamu kuchukuliwa

Umelogwa?,unaongea nn hewa wew?,nyie ndo mtakuja kupigwa back,watu tuna uchungu na hii nchi,hukohuko kama wamekuhonga upumbavu tu!
 
Raisi anawezaje kuongea na wasomi/vijana wakt ana mapunguf mengi ktk utendaj,lakn asije yumbisha suala la escrow tutaanzisha sakata la kutokuwa na iman nae!
 
Ni bora ataarifiwe mapema kwamba Watanzania hatutapenda kusikia hadithi za tezi dume, tuliyoyasikia kuhusu tezi dume katika hotuba yake aliyoitoa JKN Airport yanatosha.

nimeshindwa kujizuia kucheka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umelogwa?,unaongea nn hewa wew?,nyie ndo mtakuja kupigwa back,watu tuna uchungu na hii nchi,hukohuko kama wamekuhonga upumbavu tu!

hiyo ni projection ya kitakachozungumzwa leo si mawazo yangu ndo wazee watachoambiwa kisha acha matusi mwakani unaingia formu two badilika sasa
 
Nazima kila kitu cku hiyo for all local channels...siangalii wala kusikiliza...ntacheki discovery chnl..!!!
 
Alipofika uwanja wa ndege siku ya jmoc akitokea amerca nilidham as a president atatoa kauli ya mwisho kuhusu sakata la escrow akaishia kuongelea tez dume ilikua boared sana hata hiyo ijumaa mtaona atakachoongelea m simo laaakin
 
na akahutubie wafu wenzake. A president with no political legitimacy, ameshapoteza reputation yake. Na huyu lazima aje ashitakiwe tu siku upinzani wakifanikiwa kuchukua nchi coz bila shaka hata yeye amehusika sana kwa wizi ya mali ya umma
 
Tatizo hawa wazee wakianza kuhutubiwa tu hazipiti dk 10 wote wanakuwa wamensinzia wanakuja kushituka tu pale madereva wa coaster wanapowapigia honi ili waingie kwenye hizo coaster wawarudishe Kariakoo na Buguruni,bazee ba Darisalaam banalala sana kwa mkutano wa presidaa bana,ukiwauliza watasema banasinzia ili kuvuta hisia za TANU lol!
 
Hivi kwa miaka kumi yote anahutubia tu wazee? Kwa nini hata siku moja asihutubie vijana wa mtaa wa Kongo, Nyamaghana ama Mwanjelwa?
 
Anahutubia wazee!!!!!! Wakati 60% ya watanzania ni vijana. Akae na vijana wamweleze uhalisia wa maisha
 
Si unamjua huyu Rais wetu Mkuu na longo longo zake kwenye hotuba muhimu kuanza kutupigia hadithi ambazo hazihusu kitu.

"Ndugu Watanzania wenzangu kama mlivyosikia nilikuwa nasumbuliwa na tezi dume kwa muda mrefu sasa. Niliona si vizuri kuondoka nchini wakati mchakato wa katiba ukiendelea kule Dodoma. Hivyo baada ya mchakato wa katiba nakumalizia kazi zangu muhimu kama Rais wa nchi yetu basi nikaamua kwenda Marekani kutibiwa.

Walinipokea kule vizuri sana na upasuaji ambao ulichukua masaa kadhaa ulienda vizuri sana. Sasa naendelea vizuri kabisa na nguvu zangu zimeanza kurejea kama awali. Juzi nilimpigia daktari wangu kumwambia naendelea vizuri kazi. Kama mnavyowajua hawa wenzetu wazungu hawezi kabisa kutamka majina yangu Jakaya au Kikwete hivyo hupenda kuniita Mr president. Tuliongea karibu masaa mawili kuhusu tezi dume na lini niende Marekani tena ili akaliangalie kama linaendelea vizuri na pia anipe dawa nyingine za kupunguza maumivu madogo madogo"

Blah Blah Blah Blah Blah Aaaaaaaarrrrrrrrrgggghhhhhhhhhhhhh, Khaaaaa hayatuhusu!!! hadithi za tezi dume kawapigie familia yako na wajukuu zako lol!!!.


nimeshindwa kujizuia kucheka
 
Alipofika uwanja wa ndege siku ya jmoc akitokea amerca nilidham as a president atatoa kauli ya mwisho kuhusu sakata la escrow akaishia kuongelea tez dume ilikua boared sana hata hiyo ijumaa mtaona atakachoongelea m simo laaakin

utasikia niliwaomba wajiuzuru lkn wamekataa, na kuhusu tezi dume kwa sasa naendelea vizuri. niliongea na daktari wangu akaniambia natakiwa kwenda tena marekani kwaajili ya upimaji ili kuona km ugonjwa umeisha kbs hivyo najiandaa wiki ijayo kurudi hosp tena.
 
Ukumbi wa Blue Pearls Ubungo Plaza, pale pale wahuni walipomfanyia fujo Mzee Warioba. Lakini si Wazee wa Dar es Salaam, bali baadhi ya Wanachama wa CCM wa Dar es Salaam.


Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
 
RAIS KUHUTUBIA TAIFA IJUMAA TAREHE 19/12/2014!

MDAU HUYU👇👇, KAAMUA KUITUNGIA SHAIRI KABISAAA SIKU HIYO MAALUMU!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
NA IFIKE-IJUMAA!

(1) Na ifike ijumaa, twaisubiri kwa hamu,Hatutaki kuzubaa, siku ya mashamushamu,Kusuka ama kunyoa, kwao wezi wa kalamu,Na ifike ijumaa, tuone hatima yao

(2.)Mmoja kakata kamba, kakimbia machinjio,
Imekuwa ni kasumba, wakikosa kimbilio,
Wengine wayumbayumba, kama siku ya gulio,
Na ifike ijumaa, tuone hatima yao.

(3)Ijumaa sio mbali, twangojea uamuzi,
Naona moshi kwa mbali,wafuka bila ajizi,
Walishaonja asali, mzinga hawauwezi,
Na ifike ijumaa, tuone hatima yao!

(4)Shoka limo shinani, kukata lipo tayari,Limeanza mitaani, kutanguliza habari,Laendelea mwakani, wakizidisha jeuri,Na ifike ijumaa, tuone hatima yao!

(5)Majizi yote pembeni, twaja mbio tupisheni,
Utani weka pembeni, ofisi zetu pisheni,
Fedha zetu rudisheni, vifungo ni haki yenu,
Na ifike ijumaa, tuone hatima yao!
 
Back
Top Bottom