Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Ukiwa na njaa,utauliza maswal? Mizee ming choka mbaya
Hasa ya dar,ikilambisho bukubuku inageuka kua bubu. She.......zi type hii
 
Watende sahihi,Chama ni Kizuri ila kuna baadhi ya watu matatizo,Ile Katiba ya Warioba walioiondoa maadali ya viongozi ili wazidi kutupiga haitawaacha salama
:msela:
 
Da kwanza anaanzaje!! mision nguvu ya rais kaisha itumia ktk nchi hii,jaman umefika wakat nibora kuwa na rais mvuta bang kuliko tulonae sasa
 
Hivi ile Ari Mpya, Nguvu mpya na kasi mpya iliishia wapi?

Maana sioni ari, nguvu wala kasi katika kuchukua hatua juu ya escrow saga.

Aliingia madarakani kwa mbwembwe nyiiiingi lakini sasa yuko taabani hana mvuto tena kwa jamii. Yaani anakera.

Hiyo nafasi ilikuwa atoke mzee Mkapa aingie Dr. Omary Ali Juma (RIP). Dah eti akafariki!!!!! Na mzee Nyerere naye eti akafariki!!!!! WAlimwengu kweli tamaa iko mbele sana. Yako wapi? Nchi imemshinda hali ya maisha mbaya, shilingi haina thamani yaani ili mradi siku zinaenda. Mawaziri wanabadilishwa kama nguo? Huoni shida hapo?
 
Acheni kudhalilisha wazee wengine wasiohusika.Ninyi kama waandishi wa habari wekeni ukweli sawa.

Atahutubia wa Wazee Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

Atawahutubia wazee wa CCM Maslahi! Hawa wakipewa chochote hata buku wanashangilia,wakirudi nyumbani kwao njaa pale pale! Siku ya ukombozi wasiombe wawe hai kwasababu watakufa kwa sukari,pressure na mawazo!
 
Kama raisi anaweza kupongeza majizi na mafisadi kwa kusema walifanya kazi kwa uadilifu na uaminifu basi ni hatari kwa mustakabali wa taifa.

Udhaifu wa Mr DHAIFU katika uwanja wa utawala na nafasi kama hya urais ni kutaka kumfurahisha kila mtu - awe muuza unga, mvuta bangi, fisadi, mwadilifu, mwizi, tumbili, nk. Hili ndilo limemfanya asiweze kutumia nguvu za ki-rais kupunguza madudu ya waziwazi katika utendaji wa serikali. Anataka kila mtu amwone ni mtu mzuri hence kuchekacheka sijui kutabasamu hata kwenye mambo mazito. NI DHAIFU in the real sense of the term.
 
Maskini wazee wenyewe hata nyama na maini hawawezi kula,hata ukiwauliza moja jumlisha moja ni ngapi hawajui sasa watahutubiwa kitu gani?maskini tanganyika sijui lini hii nchi itapata uhuru toka wakoloni ccm.but am sure ukawa tumaini letu watatukomboa 2015,viva ukawa,viva cdm,nld,cuf na nccr mageuzi.
 
Ni bora ataarifiwe mapema kwamba Watanzania hatutapenda kusikia hadithi za tezi dume, tuliyoyasikia kuhusu tezi dume katika hotuba yake aliyoitoa JKN Airport yanatosha.
 
Ni bora ataarifiwe mapema kwamba Watanzania hatutapenda kusikia hadithi za tezi dume, tuliyoyasikia kuhusu tezi dume katika hotuba yake aliyoitoa JKN Airport yanatosha.

Na kwamba tumechoshwa na hotuba za issues ndogo ndogo ambazo hazina tija kwa taifa. Hata bila kuhutubia angefanya maamuzi magumu sisi wote wenye akili tungemuelewa. Maamuzi magumu ingekuwa ni pamoja na kuamuru mashtaka kwa watu wake wa karibu walio gawana pesa zetu ktk Benki ya Stanbic.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maskini wazee wenyewe hata nyama na maini hawawezi kula,hata ukiwauliza moja jumlisha moja ni ngapi hawajui sasa watahutubiwa kitu gani?maskini tanganyika sijui lini hii nchi itapata uhuru toka wakoloni ccm.but am sure ukawa tumaini letu watatukomboa 2015,viva ukawa,viva cdm,nld,cuf na nccr mageuzi.

Na huwa anawatoa wapi? Na na anahakikisha vipi umri wao? Na je, wana uhuru wa kukataa wito? I mean, sijui protokoli ya hili!
 
Hivi ile Ari Mpya, Nguvu mpya na kasi mpya iliishia wapi?

Maana sioni ari, nguvu wala kasi katika kuchukua hatua juu ya escrow saga.

Aliingia madarakani kwa mbwembwe nyiiiingi lakini sasa yuko taabani hana mvuto tena kwa jamii. Yaani anakera.

Hiyo nafasi ilikuwa atoke mzee Mkapa aingie Dr. Omary Ali Juma (RIP). Dah eti akafariki!!!!! Na mzee Nyerere naye eti akafariki!!!!! WAlimwengu kweli tamaa iko mbele sana. Yako wapi? Nchi imemshinda hali ya maisha mbaya, shilingi haina thamani yaani ili mradi siku zinaenda. Mawaziri wanabadilishwa kama nguo? Huoni shida hapo?

Laana ya Salim Salim. Nimeamini, malipo yaanza hapa hapa!
 
Kikwete hana mapya..kazi yake akihutubia ni vijembe na mipasho.huyu baba hatumtaki amalize muda wake aende zake
 
Sitasahau siku ile niliyo
acha baadhi ya majukumu yangu ya kila siku na kutoa macho kwenye TV ili kumsikiliza baba atasema nini juu ya wezi na ukosefu wa madawa
kulikochangiwa na wazungu kutunyima misaada kisha nikaambulia hadith za
ndezi dume

Rais huzungumza baada ya kutafakari kwa kina na kauli zake hubebwa na facts na si kuropoka kwa mihemko. Hufanya maamuzi baada ya uchunguzi wa kina na si kwa jazba. Wewe ulikuwa na haraka lakini Rais hawezi kufanya maamuzi magumu kwa pupa kwa vile wewe una haraka. Sikukipata kipengele cha ndezi dume, alimzungumziaje mkuu?
 
Back
Top Bottom