Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Nchimbi mamboya ndani
chizakilimo

magembe maji

mwakembe uchukuzi

kagashe utali

kigoda-biashara
 
JK naona kabadilisha fomesheni ,wachezaji walewale
 
Lukuvi kabaki,ghasia tamisemi,6 e.a,nah0dha jkt na ulinz,magufur ujenz,mwiny afya,kawambwa elim,sofia jinsia,membe ya nje,chikawe katiba,nchmbi mambo ya ndani,matayo mifugo,kabaka amebak,tibaijuka kama kawa,kilimo chiza,magembe maji,mwakyembe uchukuzi,kagashek UTALI,KIG0DA VIWANDA,MUH0NGO NISHAT,MWANDOSYA HANA WIZARA
 
Hawa Ghasia Tawala za mikoa na serikali, Husein Mwiny wizara ya Afya, Benard Membe wizara ya mambo ya nnje, matius Chikawe katiba na Sheria, Gaudensia Kabaka wizara ya kaz, Maghembe wizaya ya maji, Prof mkangala michezo, Dk Wiliam Mgina wizara ya Fedha
 
  1. steven wasira-ofisi ya waziri
  2. selina -utumishi
  3. mkuchika-utawala bora
  4. samia-muungano
  5. teresia-mazingira
  6. mary nagu-uwekezaji
  7. lukuvi-uratibu
  8. ghasia-tamisemi
  9. sita-east afrika
  10. magufuli-ujenzi
  11. mwinyi-afya na ust wajamii-kawambwa-elimu
  12. simba-jamii
  13. membe-w ya nje
  14. chikawe-katba na sheria
  15. mchimbi-w ya ndani
  16. mathayo -mifugo
  17. kabaka-kazi
  18. mbarawa
  19. chiza-kilimo
  20. maghembe-maji
  21. mwakyembe-uchukuzi
  22. mkangara-habari
  23. kagasheki-utali
  24. kigoda-viwanda
  25. mgimwa-
  26. mhongwa-nishati
  27. mwandosya-hana wizara-ofisi ya rais
 
Tuseme pale ikulu kuna waandishi kama 50
Halafu tuseme kuna wananchi wako kwenye kompyuta wanfuatilia hii hoja kama 600
halafu kama wananchi wengine kwenye runinga kama 100,000
Jumla 100,650
Tukuzidisha kwa lisaa limoja hayo ni masa 100,650 ambayo mkuu wa nchi ameyapoteza. Sawa na siku karibu 4200 ambayo ni sawa na miaka 11.5

haya maesabu duuu!
 
Kagasheni - Maliasili na utalii
Nishati na madini - Pro. Mhongo
 
Nchimbi Mambo ya Ndani???? Hii kali..!
 
WTF....Tumerudi tena kwenye waziri asiye na wizara maalum? :becky:
 
wasira, marry nagu, lukuvi wanaendelea, hawa gasia serikali za mitaa. sitta anaendelea, vwai nahotha kwenye ulinzi, mwinyi afya, kawambwa anaendelea, simba anaendelea, membe anaendelea chikawe anaenda katiba, nchimbi mambo ya ndani, mathayo anaendelea, kabaka anaendelea, tibaijuka anaendelea, chiza anaenda kilimo, magembe anaenda maji, mwakyembe anaenda uchukuzi, mkangara anaenda habari, kagasheki anaenda utalii, mgimwa anaenda fedha, mwandosya hana wizara maalum.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom