Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Inamfaa hii wizara? As Magufuli abaki palepale...Live from Ikulu...
 
****** ndo anaendelea kutangaza baraza,Emmanueal ncimbi mambo ya ndani,
 
Nahodha-ulinzi
Mwinyi-afya
Komban-utumishi.
Chikawe-katiba na sheria
Nchmbi-mambo ya ndani
 
nahodha ulinzi na kujenga taifa mwinyi afya membe anaendelea. Mchimbi mambo ya ndani.
 
Wassira kapeta, duh! Godfather wa Nchimbi ana nguvu sana.....
 
nishati na madini...wizara ya fedhani...hapa ndiyo mabadiliko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom