Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
kwa nini wamemuacha agrey mwandry tamisemi?
 
ndo mana mahanga jana akashnda kesiee
 
Tamisemi kapewa H.Ghasia,utumishi kavuruga,sasa wizara nyrti kama hii si ni balaa jamani.
 
KIKWETOMICS: HUU NI UTARATIBU MPYA NCHINI WA UENDESHAJI UCHUMI ULIOBUNIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA HARAKATI ZAKE KULETA UCHUMI UNAOPAA ZAIDI ANGANI

Huku nyuma duniani tuliwahi kusikia utaratibu wa uchumi unaoitwa kama
REGANOMICS na leo hii hapa hapa nyumbani kwetu kumebuniwa aina mpya ya uendeshaji uchumi bila hata ya wataalam wa mchepuo huo kushtukia kitu: KIKWETOMICS.

Huu ni mfumo mpya wa kuhamisha rasilmali zote hai na mfu kwenda ng'ambo, kuendelea kufanya utafiti angani bila kutua na kualika maswahiba wa kila aina kushiriki kula zaidi huku ajira zikigandishwa kwenye friji, wanakijiji kuwa wakimbizi katika maeneo yao na wanafunzi vyuo vikuu kuendelea kutunishiwa mikopo hewa katika kila chuo nchini.

Kama hilo halitoshi; utaratibu huu mpya wa uchumi hivi sasa inaegemea zaidi kwenye ndoto za gesi, mafuta pamoja na madini huku ukulima wa matunda na maziwa tukiagiziwa mazao yake toka kule jangwani Ghuba ya Mbali kwa kuwa wakulima wetu nchini wameonekana kuongezeka ushamba na kutostahili kupewa pembejeo wala kuboreshewa masoko.

Hiyo ndio aina ya uchumi tunayoifuta; wakati ambapo serikali haina fedha za kuletea wananchi maendeleo hapo ndio muda mwafaka wakuongezea mzigo zaidi walipakodi kwa kuitana na maswahiba kwenye karamu kula pamoja. Na hiyo ndio aina ya uchumi inayojulikana kama KIKWETOMICS.

KIKWETOMICS ya kisasa; punguza garama ya kuagiza mafuta toka ng'ambo huku ukiongezea walipakodi mzigo 100 zaidi ya faida yanayotazamiwa kupatikana kwenye kuagiza mafuta kama shehen a moja kwa taifa zima. Nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya sasa ielekezwe zaidi kwenye kutandarua baraza kubwa zaidi la mawaziri maani hiki kipindi cha lala salama kila swahiba lazima ale kabla hatujaondoka ofisini.

Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti.


Rais JK amemteua Bi. Saada Mkuya Salum kuwa mbunge mpya leo hii
 
Mh! Malima ndani ya unaibu tena kazi ipo kashfa zote za wizara yake haya CCM wasafi kweli ni wachache
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom