Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Ipi sababu iliyomfanya asogeze mda hadi saa 10? au kina njemba imegoma kuteuliwa anabembeleza?
 
Waziri Nchimbi amesema jana kwamba kikwete alikuwa busy anakamilisha :first eleven" yake.

Kwa jinsi navyomfahamu kikwete, tutarajie "first eleven" kama ya Arsenal(samahani kwa wanazi wa arsenal, lakini huu ndio mtazamo wangu).

Timu haichukui vikombe lakini wamiliki/wanahisa wa klabu wanapata faida kubwa kila mwaka!! Hii ni sawa na hapa kwetu maendeleo kwa wananchi hayaonekani lakini vigogo wa serikali(first eleven) wanaatamia mabilioni ya fedha kwenye akaunti zao huku wakinunua hisa katika makampuni mbalimbali na kujenga majumba ya kifahari mahali mahali.
Mkuu, yaani u made my day!....huu mfano uliouongelea hapo juu ni mwisho wa reli. Binafsi sitarajii chochote
kutoka kwa hao wasanii wanaopokezana vijiti kwa manufaa ya matumbo yao na familia zao. CCM NI JANGA LA KITAIFA
 
Basi tuache ubishi, Serikali iliyopo madarakani ni ya Chadema na kiongozi mkuu/amiri jeshi mkuu na mwenye mamlaka yote anatokea Chadema/kaskazini!

Acheni bangi ninyi ongeeni mambo ya maana!
 
Mh. Rais anaweza kunikumbuka kunipa wizara ngoja nikikilize Press conference yake Mbona mbatia kateuliwa kuwa mbunge tena kutoka upinzani sembuse mimi ngoja nisubiri.
 
Ipi sababu iliyomfanya asogeze mda hadi saa 10? au kina njemba imegoma kuteuliwa anabembeleza?

atakuwa mganga kamwambia hivo ..maana huyo anapenda kweli mambo ya uganga
 
Niwepo au nisiwepo, shida yenu ni nini? Nani anayelia lia hapa JF kila siku maisha magumu? Jinasueni kwanza kwenye state mliyonayo ndio mje kwa rejao!!

hizi ndio kauli za CCM. yaani ukifuatilia sana majigambo na Dharau za Rejao ndio utaijui CCM vizuri. Yaani Rejao represent a complete CCM image.

Umimi-- Uchami- na Dharau nyingi kwa walalahoi. kama kuna anayeona nina danganya afuatilie mijadala ya Rejao.

Tunashukuru sana Rejao.
 
Una uhakika kuwa amewaita wahariri kwa ajili ya kutangaza baraza?
Je asipotangaza?
Mh. Rais anaweza kunikumbuka kunipa wizara ngoja nikikilize Press conference yake Mbona mbatia kateuliwa kuwa mbungw sembuse mimi ngoja nisubiri.
 
Tutarajie Serikali ya UMOJA wa KITAIFA kwa kumuingiza Mbatia, Zitto humo kwenye Cabinet?
 
JK ameteua Mbunge mwingine; anaitwa Bi Saada Mkuya Salum
 
Wana Bodi
Yeyote atakayeweza kupenya na simu Ikulu awe anatupa updates hapa za uteuzi wa mawaziri. pia wale mnaotazama kwa runinga mnaweza kutujuza tulioko madongo poromoka
 
hahaha ikitokea hivi naanza kuprocess viza ya kuondoka kwenye hii nchi.

kiraia, nadhani haitasaidia kukimbia nchi ni kujiunga tu na kuuondoa huu uongozi.
 
Last edited by a moderator:
yaaani usikute amewaita anataka kuwasomea mafanikio yake ya ziara ya brazil plus kukutana na maximo na hasa hasa amba kutembelea mashamba ya nyanya
 
kune thread imeanzishwa kule watu wapo ikulu wengi tu wanatu updates ..fuatilia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom