Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mbona dk 10 zimepita tangu sa 10 ipite?
Moderator, fungieni alieanzisha uzi
 
Ukute wahariri ndo waliomba kukutana naye kawakubalia.

Watu mna moyo
Hahahahaaa hapana kaka inasemekana waliitwa wakutane na mh saa tisa lakini ikasogezwa mbele mpaka saa kumi jioni hii kwahiyo tuendelee kusubiri kinachofuata
 
Hiyo ndiyo breaking news?Watu tunaisubiria wiki mbili ,ishapitwa na wakati.
 
TBC radio wanasema wakati wowote wanajiunga na ikulu kutuletea uteuzi wa mawaziri
 
watu wanaulizaga nini maana ya uswahili ... uswahili ndiyo huu ...unasema utafanya press conference saa kumi kamili lakini zimeshapita dakika kumi na kadhaa bado upo upo tuu ... time is money
 
humu ndani kuna camera kam ttu kubwa za TBC nadhani hii ya leo mtipata live TBC washeni TV zenu, waandishi wako wengi humu ndani sidhani kama wote wana ID kweli wamepitaje pale getini.
updates zinakuja
 
hawa wanaoteuliwa teuliwa wana maslahi au ni kuongeza tu gharama?
 
Tuna ka tv kadogo hapa ofisini ila kanashika tbc tu so sijui kuhusu tv nyingine ila naamini nazo zitakuwa zinarusha kitakachojiri
 
Mbona dk 10 zimepita tangu sa 10 ipite?
Moderator, fungieni alieanzisha uzi

Mkuu watajiunga muda si mrefu. nimesikia TBC radio wakisema hawana regular vipindi punde watajiunga na viwanja vya ikulu kutuletea uteuzi wa baraza la mawaziri.
 
Unafiki siku hizi umeamia kwenye keyboard.
 
you don't know the meaning of breaking news marksalewi?
 
Nipo mahali na watanzania wenzangu tukijadili atakachokisema mh Rais wa Jamhuri, lakini siwezi kusema kuwa nasikitika bali napata mshangao jinsi hawa watanzania walivochoka na Mh wetu, naomba nimnukuu mmoja wao alichokisema "tunamshangaa sana Rais wetu kwanza kuburuzwa na CC halafu hao mawaziri atakao wateua hawatatusaidia chochote nao watakula na kufuja mali vile vile, la msingi rais atuangalie wananchi na shida zetu maisha bora kwa kila mtanzania yapo wapi wakati mfumko wa bei unaongezeka" mwisho wa kunukuu, sasa nachojiuliza, je watanzania hawa nilionao hapa ni kweli hawajui umuhimu wa mawaziri au ni nini kinawatatiza.
 
TBC vituko vitumu ,.. nini hasa maana ya kuwa na TV ya taifa kama wanashindwa kwenda na muda au hata kutoa maelezo kama wameshindwa kuonyesha magogoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom