ni rostam au ni yule anayetembea na lissu mikoani ? halafu kwanini hakamatwi ?lile deal ilikua ni mr roastam, lowasa alikua mwezeshaji,,,,,,,
hawezi maana magufuli ashasema chenge safi .....mahakama ya magufuli ni danganya toto
elewa maada iliyopo!! mmiliki wa richmond nani, mkuu amemtaja!!?
sasa huyo unayesema hafai anakujaje hapo!!? mwambieni baba yenu amtaje mmiliki wa richmond
Lowassa anafaa jamani tuache ushabiki wa kuishabikia ccm iliyotunyonya kwa miaka mingi.
Tanzania inamaliza miaka kumi bila kuwa na Rais,sasa malofa na wapumbavu wanataka kuongeza miaka mingine kumi tuishi bila rais.Ni wapi uliwahi ona kote duniani mtu weak akimpendekeza mtu strong arithi nafasi yake?Huyu rais dhaifu, never seen before, wauza unga anawajua, anawachekea tuu, rich mond aliwafunga kiungo naow kawaachia, escrow alisema si hela ya serikali, baadae akafukuza wezi wa escrow naow anawapigia kampeni kuwa ni wabunge mahiri sana na wachapakazi, richmond anamjua mwenyewe, hataki kuweka wazi, huyu ndio rais wa nchi huyu? hivi wakuu kuna noti yenye picha yake huyu jamaa, kama ipo baada ya huu uchaguzi iondolewe, na kama hakuna isije wekwa kabisa, afutike haraka machoni pa uma maana ni janga.
Huyu rais dhaifu, never seen before, wauza unga anawajua, anawachekea tuu, rich mond aliwafunga kiungo naow kawaachia, escrow alisema si hela ya serikali, baadae akafukuza wezi wa escrow naow anawapigia kampeni kuwa ni wabunge mahiri sana na wachapakazi, richmond anamjua mwenyewe, hataki kuweka wazi, huyu ndio rais wa nchi huyu? hivi wakuu kuna noti yenye picha yake huyu jamaa, kama ipo baada ya huu uchaguzi iondolewe, na kama hakuna isije wekwa kabisa, afutike haraka machoni pa uma maana ni janga.
Hii mahakama itatumia sheria zipi mkuu zilizoshindwa kutumiwa na mahakama zilizopo?Uchaguzi ukamilike mapema hii Mahakama ya mafisadi ianze kazi Kuna majitu yanatakiwa kunyongwa hapa.
Hawa watu wanachezea watu akili tuu hakuna lolote. Mwingine mara aseme amri ilitoka juu mbna hakuwa specific ni nani na huyu mwingine anajibu katika njia ile ile ya kusema ni mtu anayezunguka na lissu kama wako real kwann hawataji mtu. Hawa wanalindana kisela hilo dili lao hawa marafiki.
Umeambiwa lowasa hafai
Due TZ kuna vituko kweli.Yaani rais ashindwe kutumia vyombo vyake vyenye ujuzi na wataalam waliobobea katika kuchunguza issue mbalimbali then ategemee raia.Kweli watu wa nchi hii tunapaswa kuwa moja ya maajabu ya DuniaUnanyakanganya udhaifu na ukimya unachanganya ukimya na weakness unachanganya nadharia na utawala wa sheria sijui hata kama unauwezo wa kutofautisha kati ya mahakama na serikali ni vitu viwili tofauti unaweza kumuhisi mtu anakula rushwa lakini ikawa ngumu kuthibitisha mbele ya mahakama na yule mtu akadai fidia zaidi ya ile baada ya kesi in short rais kama taasisi anajua mengi zaidi yetu ila mara nyingi hana uwezo wa kuthibitisha thus why wanaomba msaada kwa raia kutoa taarifa ili serikali ipate nguvu kufanya haki itendeke kupitia mahakama.
HARAFU CCM wamefanikiwa sn kuifunika hoja ya katiba mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi. Upande wa UKAWA msilionee haya lengo kuu KATIBA MPYA ILIYO BORA hata kidogo lowass muelewa anayeenda na nyakati
Mie sijui...hebu nielezee kwa ushahidi ili na mie nielewe kama wewe!...kama huwezi basi huna tofauti na wambeya wengine km wale walosema simbachawene kafumaniwa na mke wa mtu kumbe uzushi tu!...rais wako anamtaka Lissu ndo aseme wakati Lissu kashasema muhusika JK anataka aseme nini tena?Hivi kweli kuna asiye jua Lowassa ndie Richmond au ndio kujitia upofu na kujipoteza akili na unayoyajua unajifanya huyajui! Wengi wanabisha alimradi ni ubishi tu ila ukweli kila mtu anaujua