Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Hilo lipo wazi lowasa mwizi sana mahakama ya mafisadi ikija ataisoma namba fisadi huyu.

Vyombo Vya dola kama Takukuru, Polisi, DPP, TISS na Mahakama vilivyopo sasa na ambavyo vinaendeshwa kwa pesa zetu nyingi tu za KODI vina kazi gani mpaka kusubiri eti Mahakama maalumu ya Mafisadi?
Kesi za Albino na Ujangili zimewashinda bado mna ujasiri tu wa kutaka kubaki Madarakani?
Muwe hata na aibu na hofu ya Mungu jamani, Watanzania wa sasa si wa zama zile!!.
 
Kwa sisi tufanyeje sasa! Virais vingine hadi kichefuchefu yaani! Commander in chief for nothing!
 
Walituambia wana majina ya Wauza Unga Na ya Wang'oa Meno ya Tembo Hakuna Action yoyote hadi Kesho.

Je Leo Hii Nani tena Ana waamini Watu wale wale tena.

Huku Ni Kutapatapa, CCM wasubiri tu Wanyolewe Kipara tarehe 25/10.

Watanzania wanaenda Kuonyesha Ulimwengu Kwamba Tanzania so Mali ya Kikundi Cha watu Wachache Ndani ya CCM Bali ni Mali ya watz.
 
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....

Mengi, Manji, Bakhresa, Karamagi, Dewji, Mkono nk wote wanapesa. Kwa nn usiwaulize na wao wamepataje ili nawe upate?
 
Mlizoea kula za ufisadi ndiyo mwisho mafisadi mtaenda kunyea debe ngoja magufuli aingie ofisini yule mzee wenu fisadi anayetembea kama kamwagiwa maji atakaa chini kabisa kwa ufisadi aliofanya.

Pole ndg simiyu uetu manake naona uko pekeako ktk kutetea hili jambo. Lakini wengi wape. Lakini tutambue kitu kimoja kua sis tumekuajili ww ili utuongoze na sheria umetunga ww. Sisi kama wananchi tulokupa ww mamlaka inatakiwa ukija kwetu utwambie kua umefanya moja, mbili tatu na hiki kimekushinda ili sis tulokupa dhamana tuamue chakufanya. Lakini mwanzoni mwahili jambo alisema hana kosa miaka 8 imepta lakin leo unakuja na sound nyingine tukweleweje. Hauko silias nakazi tulokupa. Niudhaifu kwawalokupa dhamana utuongoze. Ukweli umuweka mtu pazr kuweni wakweli ktk masilai yataifa msituyumbishe tunaoumia niss pamoja na kizazi kijacho.
 
vipi muhusika wa escrow anamtaja lini? je wa meremeta vip? kikwete ni zaidi ya msanii...
 
Baada ya Rais kuweka bayana kuwa mhusika wa Richmond ni Lowassa sasa file linaandaliwa na ushahidi wa kutosha umepatikana na ndio maana rais JK amejitokeza baada ya miaka 8 kulisemea hadharani.

Tahadhari
hatutaki fujo wakati Lowassa atakapokamatwa kujibu tuhuma.

Mahakama sasa ndio itasema nihusika ama la kwa hiyo tuendelee kuitunza amani.
 
Back
Top Bottom