Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

my presidaa lowasa iz like obama...like Jesus...like mtume m....anarushiwa misumari hata ambayo mrushaji mwenyewe anasutwa na roho yake...viva lowasa

Kazi ya Freemason mwaka huu lazima iangushwe tumpate rais aliyekusudiwa na Mungu
 
Kweli mzee bado tena baado sana anapenda mipasho. Sasa mafumbo ya kazi gani!!!! Si angesema tu.
 
Nasikia EL toka 1995 walimkataa eti ni kijana mdogo mwenye pesa ambazo akiwatajia alipo pata wanabisha,,,, sasa kwa nn washangae leo eti anapesa mingi kwanza '95 Richmond ilikuwepo, Ngashitukaaa nataka mabadiliko
 
Mzee wa madini makubwa makubwa na madogomadogo ahahahahahahaaaaaaaa!!ahahahaaaaa

Ila tuseme tu ukweli jamani LOWASSA kimeo!!sema watu wameichoka CM tu ndio maana ila Lowassa kiukweli ni Kimeoo

Nendeni instagram kwa mangekimambi mkacheke
 
Lowasa kama ni nguvu tu basi anayo, anastahili kuwa Commander in Chief
 
Kumchagua JK kama rais wao, ni kosa kubwa watanzania walifanya ambalo litawagharimu wa Tanzania kwa miaka mingi ijayo. JK is the most myopic president I had ever seen in all my life. SHAME ON HIM
 
Kama kweli wao ni wanaume na wanataka kuwajuwa watanzania vizuri wafanye hivyo!
 
Hahahaaaaa. Mtahangaika sana. Lowasa si lolote wala chochote hapa nchini. Anahangaika na siku zake tu nanyi mnapiga dili maisha yaende mbele ili baada ya uchaguzi muwe na kumbukumbu kwamba uchaguzi huu mlipata nini.

Nasi tunakuambia kikwete hana hati miliki ya nchi hii. Sasa ktk Jina la Yesu tunasema basi. Ndo mjue Mungu yupo upande wetu jaribuni uhuni wenu muone
 
baada ya mh Raisi kuweka bayana kuwa mhusika wa Richmond ni Lowasa sasa file linaandaliwa na ushahidi wa kutosha umepatikana na nndio maana raisi jk amejitokeza baada ya miaka 8 kulisemea hadharani.

tahadhari
hatutaki fujo wakati lowasa atakapokamatwa kujibu tuhuma. mahakama sasa ndio itasema nihusika ama la kwaio tuendelee kuitunza amani.

Hizi ni hujuma za wazi kwa Chama tawala
 
Nitapenda wamkamate kesi iende mahakamani tujue ukweli ila kura tutampa lowasa ili na wa escrow wakamatwe

Kwanza kayasema lini na wapi?
Pili watende wasiuze maneno.
Tatu wabonyeze hiyo button ili tuone reaction yake. Wanajua impact na reaction ya emergency shutdown button? Let Kiwete try, he must act instead of bla bla....,
 
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
waliipachika jina Rich-Monduli ili kuiinasibisha na EL.
Swali la msingi kwanini hamkumbamiza kipindi kile?
JK aliikalia kimya skandal wakat yupo madarakani iweje aibuke kipindi hiki kumtaja muhusika?
Hapa ni mabadiliko tu hadanganywi mtu
 
Kwanini hayuko jela au hata mahakamani huyo mhusika, anatajwa kimajungu majungu tu ndio maana raia wameamua kupuuza tu.

Hapa ndo nnapopata tabu mm.. Nategemea baada ya rais wangu kufunguka hatua za kisheria zitafuata.. Ngoja tusikilizie
 
Kasema 'Ni Anayetembea na Lissu kila siku kwenye mikutano'. Maandishi madogo kwa chini ya hilo gazeti!

Hata hiv

Hata hivyo ni argument isiyo na mashiko! Muhusika wa nini!?
 
Huyu ni rais wa nchi au? Kweli magogoni ipo kwenye auto pilot
 
Hili liko wazi...mtu anaweza kujiuliza, iweje mpaka leo (baada ya Lowassa kukimbia CCM) bado ana kigugumizi cha kuzungumzia mmiliki wa Richmond...kwa hali ya kawaida, huu ulipaswa kuwa muda wa kuweka kila kitu hadharani....

Mkuu kwani aliyempeleka raisi Obama pale ubungo kwenye ile mitambo ni nani?
 
Back
Top Bottom