Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!
Uswahiba wa JK na fisadi Lowassa ndio umemfanya fisadi Lowassa aendelee kudunda, lakini JK anamaliza muda wake na tumeambiwa kesi ya fisadi Lowassa haina mwisho siku yoyote itaunguruma! Kwahiyo raia tukae mkao wa kula, Magufuli akiingia Ikulu lazima tuanze Lowassa.
Nakuuliza swali moja tu ukijibu naendelea na mengine.Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Tatizo ushabiki ulionao ndio unakufanya unashindwa kujua kuwa uswahiba ndio umelifikisha taifa hapa! Kwahiyo hata wewe huna sababu ya kuhoji kwanini fisadi Lowassa hajashtakiwa mpaka leo! Unachotakiwa kujua ni kwamba JK amewalinda mafisadi wengi ambao ni maswahiba wake akiwemo fisadi Lowassa. Sisi kina yahe tunashukuru kuona JK anamaliza muda wake, Rais anayekuja ni Pombe Magufuli, huyu anajua Watanzania tunataka nini...mafisadi kama Lowassa wajiandae kwenda Segerea!
Kulingana na List of shame Kikwete ni fisadi namba moja je hiyo mahakama itamuacha?Tatizo ushabiki ulionao ndio unakufanya unashindwa kujua kuwa uswahiba ndio umelifikisha taifa hapa! Kwahiyo hata wewe huna sababu ya kuhoji kwanini fisadi Lowassa hajashtakiwa mpaka leo! Unachotakiwa kujua ni kwamba JK amewalinda mafisadi wengi ambao ni maswahiba wake akiwemo fisadi Lowassa. Sisi kina yahe tunashukuru kuona JK anamaliza muda wake, Rais anayekuja ni Pombe Magufuli, huyu anajua Watanzania tunataka nini...mafisadi kama Lowassa wajiandae kwenda Segerea!
teh teh teh,na hapa ndio nakumbuka yale maneno makali lakini ya ukweli anayoyasema mtia nia ya urais kupitia republican anaesema ''WE NEED A PRESIDENT WHO HAS AGGRESSIVE TONE AND ENERGY AND WHO GET THINGS DONE,WE DONT NEED A PRESIDENT WITH LOW ENERGY.''Donald TRUMP.Sio rais anaesema kimajungu majungu kama yupo aliyehusika na RICHMOND mbona hajamkamata?? kifupi Hajiamini na ni mwoga.Mbona jk analialia wakati dola kaishika yeye?na bado mijitu ipo tu inashabikia sisiemu wakati ina mwenyekiti dhaifu na kilaza asiyejua majukumu yake,
hata mkapa alikuja na mkwara kama wa magufuli, tena yeye alikua hana makundi lakini alichokifanya unakijua wewe
Laowassa hafai jamani tuache ushabiki