Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Amedhihirisha udhaifu wa serikali ya ccm. Kumbe anamfahamu ila serikali ya ccm haina uwezo wa kuwashtaki mafisadi. Sasa tutachagua serikali ya UKAWA ikiongozwa LOWASSA kipenzi cha watanzania yeye anaweza kuwakabili majizi wote.
Asante baba nmekupenda bure
 
Km mwenye mamlaka ya mwisho (Rais) anaogopa, je nani ataweza?. Rais unakuwa na kigugumizi kwenye maamuz yako, mbona shda sana!. Kweli ujasiri ni wito, na wanao wachache sana ktk dunia
 
Sijui hili ni taifa la aina gani? mtu anayetuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya umma yupo uraiani, tena anazunguka nchi nzima sio kama kajifungia chumbani, lakini wakati ndugu zetu vibaka wa kuku wakiozea segerea, lakini huyo wanayemtuhumu na richmond wamekuwa wakimsema kwa MAFUMBO kila kukicha, mpaka Amiri jeshi mkuu naye ameungana nao kumsema kwa mafumbo badala ya kuamuru achukuliwe hatua mara moja kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine. wanasiasa uchwara wa taifa hili tafadhali tunawaomba mkome kuendelea kuchezea akili za watanzani kwenye majukwaa ya siasa, siasa za vijembe hazina nafasi tena masikioni mwetu. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa kitaifa kwa kufwata criteria ya RICHMOND, kamwe richmond haitaamua ni nani anayefaa au asiyefaa kuliongoza taifa hil, ila yule mwenye dhamira ya dhati ya kutuvusha hapa tulipo ndiye tutakaye mpeleka magogoni
 
Rais Jakaya Kikwete amesema anashangazwa na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mwenye Richmond yupo na anatembea naye mikoani.

Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwaaga wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika na kumtaka Lissu amtaje mwenye Richmond.
“Endapo Tundu Lissu atashindwa kumtaja mwenye Richmond, nitatoka hadharani na kumtaja mwenyewe,” alisema Kikwete.

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amekuwa akienda mbali zaidi akisema akichaguliwa ataanzisha mahakama maalumu ya kushughulikia mafisadi wanaosababisha umaskini nchini.

Bashe ataka mahakama ya mafisadi mapema
Wakati Magufuli akiahidi mahakama hiyo, mgombea ubunge Jimbo la Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe alimtaka mgombea huyo jana kuiwahisha mapema iwezekanavyo akiingia Ikulu la sivyo atakuwa akihoji bungeni kila mara.

Bulembo amvaa Sumaye
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemvaa Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye na kumtaka aache kuchukua mshahara na kurudisha walinzi wanaomlinda iwapo ataendelea kukitusi chama hicho kwamba hakijafanya chochote tangu uhuru.

“...Analipwa asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani, Mizengo Pinda. Mpaka leo bado ana ulinzi na anahudumiwa na Serikali hii. Kwa kupitia jukwaa hili la Nzega hebu Sumaye aache mshahara huo, arudishe walinzi awe raia kama sisi,” alisema Bulembo.

Magufuli na michango ya shule
Dk Magufuli jana aliendelea na kampeni zake mkoani Tabora na kuahidi kuwa akiingia madarakani atafuta michango yote shuleni inayosababisha baadhi ya wazazi washindwe kuwapeleka watoto shule.

Alisema anatambua kuwa baada ya sera yake ya elimu bure kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha nne kuanza kutekelezwa iwapo atachaguliwa, kuna baadhi watu wataanzisha michango isiyo na maana na kwamba atawashughulikia.

“Kuna mambo ya kuwaambia wazazi peleka dawati, peleka dawati na hata kama mtoto wa kwanza akishamaliza shule, ukimpeleka mwingine lile dawati hulikuti. Ninafahamu haya yote nitayashughulikia lakini pia, hakuna sababu shule kukosa madawati au viti wakati ipo karibu na miti, mbao zipo, haya yote tutaangalia tukizingatia masilahi ya walimu wetu,” alisema Dk Magufuli.

Chanzo:
Mwananchi

Rais Kikwete aache kigugumizi kuhusu Richmond. yeye ni kiongozi wa Tanzania na siyo Lowasa, sasa anaochogopa ni nni kama siyo unafiki??? yeye ndiye muhusika wa Richmond ni ajabu anapomtaka Lissu ndiye amtaje, je kwani Lissu yupo serikalini au ni kutapatapa huku.

Ndio maana Kikwete tulimpa madaraka tukijua kuwa atuongoza sasa kama anataka kazi yake ifanywe na Lissu kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwa Rais??

The katika JMT huyu Lissu ni nani hata awe muongeaji wa Rais???

Kuhusu mahakama ya mafisadi:

Huyu Magufuli na hii sera yake ya mahakama ya mafisadi ni kama anadanganya umma wa Watanzania. Kwa sasa kuna mafisadi wengi na wanafahamika, kwa nini wasianze kuonyesha cheche kwa kuwapeleka mahakama zilizopo sasa kisha baadaye wafanye utaratibu wa hizo kesi kuhamishiwa mahakama maalumu?? Kwani ni lazima mtu ahukumiwe katika jengo moja je hawezi kuhamishiwa jengo lingine?? ANZA SASA TUKUKUBALI KUWA UNA MENO YA KUNG'ATA MAFISADI. NA KURA ZOTE ZA WATANZANIA TUNAKUPTIA HAKUNA HAJA YA KUZUNGUKA MIKOANI.

Bulembo amvaa Sumaye

KWani mshahara wa Sumaye na marupurupu ya Sumaye sisi Watanzania iatusaidia nini??

Sijawahi kumsikia Sumaye akisema kuwa Serikali yeye haijamfanyia kitu bali analalamika siku zote kuhusu Umaskini wa Watanzania wa hali ya chini. Na ndio tunaooumia. Usidhani haya makaelele yote ndani ya mitandao ni watu wenye matajiri au wale wa hali ya juu, sivyo ni sisi walalahoi na malofa ndio tunapoteza muda wetu kuandika madukuduku yetu napia usidhani kuwa wapiga kura ni watu matajiri sivyo ni sisi wa hali ya chini ndio wapiga kura.

Sasa tunapopata mshahara wa 150,000/= kwa mwezi, na tunaponunua sukari Tsh. 2,000/= na unga tsh. 1.000/= hiyo haitusaidii kitu ni maisha magumu kwetu.

Ndio maana wananchi wa hali ya chini tuna hasira na CCM iliyotuita sisi malofa kwakuwa tu maskini. Bulembo aelewe posho ya Lowasa na Sumaye kwetu sisi malofa hazina msaada wowote.

Magufuli na michango ya shule

Michango mashuleni, ni hadithi ya miaka nenda miaka rudi. MAgufuli anapojifanya kushangaa michango inakuwa ni sawa na kukishangaa kivuli chake mwenyewe. Yeye na timu yote wanayozunguka katika kampeni wapo ndani ya serikali iliyopo madarakan kwa kipindi cha miaka 10 sasa. Hivyo haya matatizo ya michango mashuleni hayajaanza leo. hivyo hawapaswi kushangaa vitu hivi inakuwa kichekesho.

Wanasiasa waache tabia ya kuwarubuni wananchi, waelewe kuwa Mtanzania wa mwaka 1992 siyo Mtanzania wa mwaka 2015. Watu wana uelewa ndio maana kumekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mabadiliko mwaka huu 2015 ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wamemchokonoa JK mpaka kaanza kusema, wamchokonoe tena atutajie na wezi wa escrow! Mwaka huu tutawajua wezi wetu wote.

Hivi mnaandika haya mambo mkiwa timamu kweli?
Umeona wapi duniani Rais akikwepa majukumu yake kama hapa kwetu.
Rais anapiga vijembe?
Rais hajui powers of the president?
Anasema anajua wahusika wa madawa ya kulevya,anajua mafisadi~ tulichagua rais au mpelelezi?
Sijui kwanini hamalizi muda wake,siku akimaliza nitafanya sherehe!
 
Sijui hili ni taifa la aina gani? mtu anayetuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya umma yupo uraiani, tena anazunguka nchi nzima sio kama kajifungia chumbani, lakini wakati ndugu zetu vibaka wa kuku wakiozea segerea, lakini huyo wanayemtuhumu na richmond wamekuwa wakimsema kwa MAFUMBO kila kukicha, mpaka Amiri jeshi mkuu naye ameungana nao kumsema kwa mafumbo badala ya kuamuru achukuliwe hatua mara moja kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine. wanasiasa uchwara wa taifa hili tafadhali tunawaomba mkome kuendelea kuchezea akili za watanzani kwenye majukwaa ya siasa, siasa za vijembe hazina nafasi tena masikioni mwetu. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa kitaifa kwa kufwata criteria ya RICHMOND, kamwe richmond haitaamua ni nani anayefaa au asiyefaa kuliongoza taifa hil, ila yule mwenye dhamira ya dhati ya kutuvusha hapa tulipo ndiye tutakaye mpeleka magogoni

Haw awanasiasa wasitake kututoa katika mada. Suala la Richmond lilitokea mwaka 2008 leo hii ni miaka 7 imeshapita.

Tunataka watueleze mambo mapya kwani hayo walishatudanganya kisiasa na sisi tulishasahau. Wanapoongelea suala la Richmond leo hii ni sawa na kwenda kaburini unataka kumfufua mtu aliyekufa miaka saba iliyopita kisha unadhani utaweza kuongea naye.

huu ni uongo wa kisiasa, watuondolee siasa uchwara tunataka watueleze sera zao zenye mashiko na siyo propaganda zisizo na maana kwetu Watanzania.

Tuna matatizo kibao yanayotuzunguuka katika jamii yetu. Tuna Raslimali nyingi lakini bado tuna mfumuko mkubwa wa bei katika bidhaa muhimu kwa mahitaji ya kila siku.

Watafute vitu vya kutueleza na siyo kutufanya watoto wadogo.

MIZAMBWA
INANIUMA SNA!!!
 
Train iko mbali na mwendo ni mkali,wezi wa richmond,epa,kagoda,walioiba twiga,wauza dawa za kulevya,majangiri ya tembo,walionunua fery mbovu,ndege ya raisi mbovu,vichwa na behewa feki za train,mafisadi ya escrow,chenji ya rada,dah!!!! na mengine maovu kibao,tutawafahamu baada ya ccm kuangushwa mapema baada ya vichinjio kufanya kazi yake,hawa walioko bado chooni hawana jipya,makamanda wanazidi kusonga mbele
 
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!
Mkuu watapelekwa wote mahakamani mkulu na mgombea na movie itakuwa imefika mwisho maana na wahusika wadogo wadogo watatajwa Tanzania yetu itakuwa shwari
 
wewe wewe!!!!! Heeeee dada yangu shosti , embu wajaribu kumkamata lowassa halafu waone. Nakwambia hii nchi haitakalika hata kwa nusu saa.
Na lazima watajuta kwa kufanya huo upumbavu.

Yani wameshindwa kumkamata miaka nane yote waje wamkamate leo??? Nakwambia kama wanataka kufa basi tutakufa wote

wajaribu kufanya lolote ovu waone moto wao. Watajuta kama wanavyojuta kumkata el
 
Sijui hili ni taifa la aina gani? mtu anayetuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya umma yupo uraiani, tena anazunguka nchi nzima sio kama kajifungia chumbani, lakini wakati ndugu zetu vibaka wa kuku wakiozea segerea, lakini huyo wanayemtuhumu na richmond wamekuwa wakimsema kwa MAFUMBO kila kukicha, mpaka Amiri jeshi mkuu naye ameungana nao kumsema kwa mafumbo badala ya kuamuru achukuliwe hatua mara moja kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine. wanasiasa uchwara wa taifa hili tafadhali tunawaomba mkome kuendelea kuchezea akili za watanzani kwenye majukwaa ya siasa, siasa za vijembe hazina nafasi tena masikioni mwetu. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa kitaifa kwa kufwata criteria ya RICHMOND, kamwe richmond haitaamua ni nani anayefaa au asiyefaa kuliongoza taifa hil, ila yule mwenye dhamira ya dhati ya kutuvusha hapa

Hapo mkuu wa nchi amediriki kuonyesha wazi kuwa mw/kiti wa ssem maana yake nn? lakn pia rais wa chama hicho anakuwa dhaifu ktk kufanya maamuz magumu. hata maguful hataweza kufanya lolo
 
"Ukweli siwajui wenye Dowans na wala kampuni hiyo siijui...wapo wanaosema sijasema kuhusu Dowans kwa sababu wanaohusika ni rafiki zangu....sijasema kwa sababu Chiligati na Pinda wamesema, waliyosema yamtokana na kikao changu cha kamati kuu...."

Hii ni kauli ya Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM. JK ameeleza kuwa Wakati waziri wa Nishati na Madini Salum Msabaha alipomfuata kudai kuwa wizara ya fedha imegoma kuwalipa Dowans, lakini yeye alimtahadharisha kuwa hii inaweza kuwa kampuni feki..... anaendelea kueleza
Kikwete ajisafisha Dowans

SOMA UZI HUU HAPA CHINI

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/108374-kikwete-ajisafisha-dowans.html
 
Sijui hili ni taifa la aina gani? mtu anayetuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya umma yupo uraiani, tena anazunguka nchi nzima sio kama kajifungia chumbani, lakini wakati ndugu zetu vibaka wa kuku wakiozea segerea, lakini huyo wanayemtuhumu na richmond wamekuwa wakimsema kwa MAFUMBO kila kukicha, mpaka Amiri jeshi mkuu naye ameungana nao kumsema kwa mafumbo badala ya kuamuru achukuliwe hatua mara moja kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine. wanasiasa uchwara wa taifa hili tafadhali tunawaomba mkome kuendelea kuchezea akili za watanzani kwenye majukwaa ya siasa, siasa za vijembe hazina nafasi tena masikioni mwetu. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa kitaifa kwa kufwata criteria ya RICHMOND, kamwe richmond haitaamua ni nani anayefaa au asiyefaa kuliongoza taifa hil, ila yule mwenye dhamira ya dhati ya kutuvusha hapa tulipo ndiye tutakaye mpeleka magogoni

Fisadi hatakwenda ikulu, endelea kujiandaa kisaikoloji.Huu ni wakati wa hapa ni kazi tu,watanzania wataongea kwa sauti kuu October 25.
 
Haw awanasiasa wasitake kututoa katika mada. Suala la Richmond lilitokea mwaka 2008 leo hii ni miaka 7 imeshapita.

Tunataka watueleze mambo mapya kwani hayo walishatudanganya kisiasa na sisi tulishasahau. Wanapoongelea suala la Richmond leo hii ni sawa na kwenda kaburini unataka kumfufua mtu aliyekufa miaka saba iliyopita kisha unadhani utaweza kuongea naye.

huu ni uongo wa kisiasa, watuondolee siasa uchwara tunataka watueleze sera zao zenye mashiko na siyo propaganda zisizo na maana kwetu Watanzania.

Tuna matatizo kibao yanayotuzunguuka katika jamii yetu. Tuna Raslimali nyingi lakini bado tuna mfumuko mkubwa wa bei katika bidhaa muhimu kwa mahitaji ya kila siku.

Watafute vitu vya kutueleza na siyo kutufanya watoto wadogo.

MIZAMBWA
INANIUMA SNA!!!

Ndio hasara ya kuwa na mgombea fisadi,lazima ufisadi uwafuate.

Mambo mapya yapo na yamejaa,mahakama ya mafisadi hawa kuanzishwa soon baada ya Magufuli kuingia ikulu.
 
Watz tuna kazi bado, mambo haya wengi hawaxajui, mkuu wa nchi anapoongea kama raia wa kawaida kuna jambn jimejhficha. kwa vynuxote iwavyo ccm haina nia ya dhati kupambana na rushwa, hili liko wazi ktk sekta zote. angakha traec, mahakama nk. tung'oe huu tupishe wengine. go ccm go
 
Ingekuwa RICHMOND (SYMBION) ni ya Lowassa, serikali ingeisha itaifisha zamani.
 
Hivi mnaandika haya mambo mkiwa timamu kweli?
Umeona wapi duniani Rais akikwepa majukumu yake kama hapa kwetu.
Rais anapiga vijembe?
Rais hajui powers of the president?
Anasema anajua wahusika wa madawa ya kulevya,anajua mafisadi~ tulichagua rais au mpelelezi?
Sijui kwanini hamalizi muda wake,siku akimaliza nitafanya sherehe!

Hujanielewa mkuu, nisome tena kwa utulivu.
 
Mzee wa madini makubwa makubwa na madogomadogo ahahahahahahaaaaaaaa!!ahahahaaaaa

Ila tuseme tu ukweli jamani LOWASSA kimeo!!sema watu wameichoka CM tu ndio maana ila Lowassa kiukweli ni Kimeoo

Nendeni instagram kwa mangekimambi mkacheke

Mkwere ndio kimeo zaidi yeye ni mipasho n taarab tu....haangalia maisha y watz kazi ni kupiga hela zetu tu escrow,mabehewa feki,richmond ni yake mkwere ilisajiliwa n samuel 6 akiwa T.I.C 2003......hivi kweli lowasa angekua amepiga richmond kipindi hiki wangemuacha.....huyu mange maisha y kuuza mitumba yamemshinda n stress ndio zinammaliza
 
Rais Kikwete aache kigugumizi kuhusu Richmond. yeye ni kiongozi wa Tanzania na siyo Lowasa, sasa anaochogopa ni nni kama siyo unafiki??? yeye ndiye muhusika wa Richmond ni ajabu anapomtaka Lissu ndiye amtaje, je kwani Lissu yupo serikalini au ni kutapatapa huku.

Ndio maana Kikwete tulimpa madaraka tukijua kuwa atuongoza sasa kama anataka kazi yake ifanywe na Lissu kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwa Rais??

The katika JMT huyu Lissu ni nani hata awe muongeaji wa Rais???

Kuhusu mahakama ya mafisadi:

Huyu Magufuli na hii sera yake ya mahakama ya mafisadi ni kama anadanganya umma wa Watanzania. Kwa sasa kuna mafisadi wengi na wanafahamika, kwa nini wasianze kuonyesha cheche kwa kuwapeleka mahakama zilizopo sasa kisha baadaye wafanye utaratibu wa hizo kesi kuhamishiwa mahakama maalumu?? Kwani ni lazima mtu ahukumiwe katika jengo moja je hawezi kuhamishiwa jengo lingine?? ANZA SASA TUKUKUBALI KUWA UNA MENO YA KUNG'ATA MAFISADI. NA KURA ZOTE ZA WATANZANIA TUNAKUPTIA HAKUNA HAJA YA KUZUNGUKA MIKOANI.

Bulembo amvaa Sumaye

KWani mshahara wa Sumaye na marupurupu ya Sumaye sisi Watanzania iatusaidia nini??

Sijawahi kumsikia Sumaye akisema kuwa Serikali yeye haijamfanyia kitu bali analalamika siku zote kuhusu Umaskini wa Watanzania wa hali ya chini. Na ndio tunaooumia. Usidhani haya makaelele yote ndani ya mitandao ni watu wenye matajiri au wale wa hali ya juu, sivyo ni sisi walalahoi na malofa ndio tunapoteza muda wetu kuandika madukuduku yetu napia usidhani kuwa wapiga kura ni watu matajiri sivyo ni sisi wa hali ya chini ndio wapiga kura.

Sasa tunapopata mshahara wa 150,000/= kwa mwezi, na tunaponunua sukari Tsh. 2,000/= na unga tsh. 1.000/= hiyo haitusaidii kitu ni maisha magumu kwetu.

Ndio maana wananchi wa hali ya chini tuna hasira na CCM iliyotuita sisi malofa kwakuwa tu maskini. Bulembo aelewe posho ya Lowasa na Sumaye kwetu sisi malofa hazina msaada wowote.

Magufuli na michango ya shule

Michango mashuleni, ni hadithi ya miaka nenda miaka rudi. MAgufuli anapojifanya kushangaa michango inakuwa ni sawa na kukishangaa kivuli chake mwenyewe. Yeye na timu yote wanayozunguka katika kampeni wapo ndani ya serikali iliyopo madarakan kwa kipindi cha miaka 10 sasa. Hivyo haya matatizo ya michango mashuleni hayajaanza leo. hivyo hawapaswi kushangaa vitu hivi inakuwa kichekesho.

Wanasiasa waache tabia ya kuwarubuni wananchi, waelewe kuwa Mtanzania wa mwaka 1992 siyo Mtanzania wa mwaka 2015. Watu wana uelewa ndio maana kumekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mabadiliko mwaka huu 2015 ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
1. Ahadi ya mahakama ya Mafisadi ni gia ya kuombea kura kama ilivyokuwa mahakama ya kadhi.
2. ccm wanatujua watz A to Z kwamba sisi ni malofa na wapumbavu-
3. Watz hasa wana ccm wanaipenda ccm zaidi kuliko hata wanavyojipenda wenyewe na wanavyopenda familia zao
4. Bulembo Muhurumia elimu yake unaijua Lakini?
Aksante kwa kuandika vizuri mkuu
 
Watz tuna kazi bado, mambo haya wengi hawaxajui, mkuu wa nchi anapoongea kama raia wa kawaida kuna jambn jimejhficha. kwa vynuxote iwavyo ccm haina nia ya dhati kupambana na rushwa, hili liko wazi ktk sekta zote. angakha traec, mahakama nk. tung'oe huu tupishe wengine. go ccm go
Ushahidi wa haya unayoyasema ni Bunge maalum la katiba
 
Back
Top Bottom