Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Mind games....Akitegemea EL atajibu ili majibizano yaendelee na hivyo atumie muda wake kujibu hizo shutuma badala ya kushughulika na kampeni na mikakati ya ushindi, na pia ili asahau kufuatilia "mbinu chafu za adui".
 
Aseme aliyeutakatisha kuwa Symbion na Obama anaridhia ni nani??
 
Mbona jk analialia wakati dola kaishika yeye?na bado mijitu ipo tu inashabikia sisiemu wakati ina mwenyekiti dhaifu na kilaza asiyejua majukumu yake,

Tingatinga lipo mbioni,sasahivi tukisema kwamba jamaa hayupo vizur kiafya anajitetea kisa uraisi,subiri mahakama ya majizi yeye atakua wa kwanza kuwekwa ndani baada ya hapo atajitete mwenyewe kwamba ni mgonjwa
 
Jamani mwizi huwezi msahau. Ivi embu niambieni huyu jamaa alikaa kama waziri mkuu kwa Muda gani? Mbona Pesa alizo nazo ni Nyingi kuwashinda wote walio maliza muda wao? Nakwa hiyo afya yake yaku shikiliwa kweli tuta fika!!
Huyu kaanza wizi kabla hata ya kuwa waziri mkuu akiwa kwenye wizara mbalimbali alikuwa mwizi hata akiwa mbunge wa kawaida alikuwa mwizi hata mwalimu nyerere alimkataa kipindi kile cha 95 kwa hoja ya wizi.
 
Lowassa bonge la Genius ... Kila wakitaka kuhamisha mjadala yeye anajikita kwenye kumwaga sera zake tu .... anajua huu si muda wa kulumbana na kuhamisha Mjadala, anajua muda muafaka wa kuwachinjia baharini na kamwe hawataweza tena kumjibu kwani muda hautakuwepo ....
 
Aliye unda tume ni yeye,

TUME + Dr JK watupe= MAJIBU


Lissu :nono:
 
tusubiri kwanza tumalize uchaguzi lowasa akifika ikulu atamkamata mmiliki wa richmond na kumsukuma ndani. kinachonishangaza ni rais kupiga kimya na serikali yake kama anamjua mwenye richmond atuwekee ile ripoti hadharani manake samwel sitta ndio anayo ripoti ameikalia mpaka leo hataki kutumwagia uhondo sasa kwanini wafiche kama ni lowasa najua wangeshamwaga hadharani mbona miaka yote wapo kimya? mimi naamini DALALI WA RICHMONDI NI MWINGINE NA MMILIKI NI MWINGINE SASA MBWAGA MBOGA TUMWAGE UGALI MZEE.
 
Rais naye anamuogopa waziri mkuu wake,huu ndio udhaifu ulio wazi wazi

Sasa lisu amtaje mhusika kama nani ? Yeye rais ndio anatakiwa atoke hadharani na kutuambia nini kilijiri

mbona lissu anatembea na watu wengi sana. sisi tuknataka kujua mmiliki na sio mhusika

Acha kuishi ki mapokeo.

Hivi kweli kuna asiye jua Lowassa ndie Richmond au ndio kujitia upofu na kujipoteza akili na unayoyajua unajifanya huyajui! Wengi wanabisha alimradi ni ubishi tu ila ukweli kila mtu anaujua
 

Attachments

  • 1442310248276.jpg
    1442310248276.jpg
    95.6 KB · Views: 140
Tunataka ataje waliokura kipande kikubwa cha Stanbic cha Sethi HabindaSingh,utata uko pale kwa sasa
 
Back
Top Bottom