Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Mhmm jamani wadanganyika! je si mheshimiwa Rais huyuhuyu aliyetuhutubia mchana kweupe kuwa lowasa hakuhusika na Richmond, na kwamba ni ajali tu ya kisiasa. Nachanganyikiwa! Niiamini kauli ya Rais ya sasa au ya wakati ule?!!!!!!!
Msaada tafadhari.
 
Mhmm jamani wadanganyika! je si mheshimiwa Rais huyuhuyu aliyetuhutubia mchana kweupe kuwa lowasa hakuhusika na Richmond, na kwamba ni ajali tu ya kisiasa. Nachanganyikiwa! Niiamini kauli ya Rais ya sasa au ya wakati ule?!!!!!!!
Msaada tafadhari.

Mkuu CCM imeshikwa sehemu mbaya kweli kweli. Naamini hili ndio anguko la heshima ya Rais kama ni maneno ya kweli. Vinginevyo gazeti hili lina leta habari za sistofahamu.
 
Hilo lipo wazi lowasa mwizi sana mahakama ya mafisadi ikija ataisoma namba fisadi huyu.
 
Siamini kama Kikwete anaweza kupungukiwa uwezo wa kufikiri kiasi hiki! Kwanza kuweka neno "anayetembea na Lissu kila siku kwenye kampeni" ni kumaanisha nini? Maana Lowassa kwenye kampeni zake wakina Lissu na wengine wanampokea kwenye kanda zao! Anayetembea na Lowassa aghalabu ni Sumaye! Hizi ndizo siasa wanazofanya viongozi wa nchi tena rais?

Huitaji kujiuliza kwa nini Tanzania ni masikini! Simply muangalie rais tu utaelewa!
We fisadi tulia dawa iingie mlizoea kula vya kuiba na kupora tutawafunga mwaka huu na hizo mlizokula lazima zirudi mafisadi papa nyie na huyo Lowasa wenu.
 
Richmond ni ya lowassa na rostam period

11986602_609927435811799_4036750105146469106_n.jpg
 
lowassa anaakili sana!! anajua mnateseka sana na ukimya wake, mwambie jk aje mzimamzima na sio kupindisha mambo
Tunasema sasa magufuli yako tayari mahakama ya mafisadi yaja Lowasa lazima afungwe kwa wizi na ufisadi wake.
 
Hatuingizi fisadi ikulu, hata kwa nguvu kijiko acha umma, Tanzania cyo shamba la bb
 
Back
Top Bottom