mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,294
- 345
Nyie Maccm Mnajifaya Ndio Mungu Watu Wa Nchi Hii, Mpaka Kuwa Na Mamlaka Ya Kutuchagulia Kiongozi?
Nimeamin MaNdondocha Wa CCM Kazi Ni Kulishwa Maneno Tu, Kwa Hvyo Sikulaum
Sema wewe mtanzania na sio maccm kwani mtanzania halisi atamkwepa lowasa.Ila mrundi atamfagilia.