magufuli kipnd cha uchaguz 2015 ukiwa tabora ulihaid kuboresha maslah ya walimu lkn ulivyopata 2 madaraka umewageuka walimu na umewaweka kuwa n maadui wako na sasa umesitisha nyongeza ya mishahara na madaraja huon kama hyo n roho mbaya? haf ukasema hakuna mwanafunz atakae kaa chn ktk uongoz wako lkn watoto wakalia vitofal hasa sekondari,rais acha roho mbaya hyo mbona we2 huish haya maisha,ulizeeka lkn sasa umekuwa kijana kisa unakula vzr unalala pazur na wanao wanasoma shule nzr lkn walimu wanazalauliwa mpaka na wanavjj unajisikia faraja moyon mwako? ACHA ROHO MBAYA WE2 MZEE