Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Hivi mbona yeye JK katoa fedha na Salma naye katoa za kwake , kila mtu alikua ananunua samaki zake au ndio lilikua pozi la picha ?
 
Mbona mnasema anafanya usanii wakuu?kwani kwenda sokoni iwe usanii?akienda nje mnalalamika,akienda magengeni mnalalamika pia,hata kama upinzani si wa kihivo bhana
 
Nakwambia ccm safari hii wataingia hata vyoo vya stend watapanda daladala za mbagala watakunywa mataptap ili tu watanzania wawaone kuwa wanawajali ili tatizo ni kuwa wamekumbuka shuka wakati usiku ushaisha watanzania washaamka hawadanganyiki tena na urafiki wa mara moja kila baada ya miaka mitano:A S 103::A S 103::sleep:

Katibu mkuu wao kisha panda treni akijidai yuko pamoja na wananchi. Kweli, kuna wananchi wanadanganyika ajabu ni kuona hata walioko JF wanadanganyika eti ni wa watu!

Si tulimuingiza ikulu tukidhani ni mwenzetu? kisa alikuwa akicheza disco uzeeni, baadaye imekuwaje? kasaidia nini? Katuokoa na nini? Tindikali, misikiti, makanisha kuchomwa moto, mabomu arusha, mabomu kwa waandishi habari, watu kung'olewa meno na kucha, wanafunzi kukalia ndoo, .........
 
Waganda mpaka kesho wanamkumbuka Idd Amin, fitna ya Nyerere a.k.a mchonga meno ndio iliomtoa, lakini kawasaidia sana waganda huyu. Mungu Amrehemu

Unaamini waganda ni woote? Hiyo ni kawaida kama uonavyo hapa na rais wetu. Wanafuata tuuuuu! Hata Hitler alikuwa na washikaji, Bokasa, Amini na akina Nguema wote walikuwa nao. Don't draw a regression from those washikaji na ukasema Waganda.

Unaijua Past life regression ?
 
Hobi! Hobi! NERT!
Anachofanya ni nini sasa? eleza ueleweke ili tukupe Dunia inavyokwenda. Sisi hatuishi kwa kubahatisha au kushabikia uozo.

Kama ni kutembea mitaani anamzidi Olof Palme? (google umujue huyu ni nani). Aliposikia Obama anaingia kwenye BBQ naye kaiga kununu ng'onda, wewe na wenzako munatoa meno! Shiiiiit!

Yaani alichofanya hukijui, we mtu wa pwani???!!! Acha kushabikia cultural traits kama huzielewi!!!!!
Yale ulotaja kwa Idd Amini yalikuwa nini au uliyasema ili iweje????!!!!
Ati google Olof Palme, we juha huyu Rais wa Tanzania acha kufananisha na wa nchi nyingine!!!!
Wewe na nani hamuishi kushabikia, maisha yenu yanaihusu vipi habari ya yeye kununua kitoweo chake? ??!!! Kweli hushabikii ila unanyegeka mbaya kabisa!!!
Kwa hiyo kabla Obama hajaingia BBQ Rais alikiwa hali vitoweo???!!! Hivi una akili wewe mtu???!!!

Kama ni kuiga mwisho mtasema hata uanaume pia aliiga kwa Obama, kuoa kaiga kwa Obama, kutembelea miguu kaiga kwa Obama, kuoga anaiga kwa Obama!!!!

Eti Patriot, this way????!!!!! Ndio maana mabadiliko hayawezi kuja mapema yaani upinzani wa kijinga mwanzo mwisho!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Katibu mkuu wao kisha panda treni akijidai yuko pamoja na wananchi. Kweli, kuna wananchi wanadanganyika ajabu ni kuona hata walioko JF wanadanganyika eti ni wa watu!

Si tulimuingiza ikulu tukidhani ni mwenzetu? kisa alikuwa akicheza disco uzeeni, baadaye imekuwaje? kasaidia nini? Katuokoa na nini? Tindikali, misikiti, makanisha kuchomwa moto, mabomu arusha, mabomu kwa waandishi habari, watu kung'olewa meno na kucha, wanafunzi kukalia ndoo, .........

Weka critique kwenye mambo ya maana achana na trivials kama kununua samaki, hata asingenunua kama uchumi mbaya pia usingeongezeka kwa yeye kutonunua samaki pale, by the way jamaa wa gengeni kapiga 60,000/= Tsh cash na yaweza kuwa ndio mauzo yake makubwa kwa siku na kwa mwaka huu so jamaa wa gengeni pale siku imeingia!!!!!!

Kama kweli wewe ni Patriot wa kiume anzisha uzi wa ku challenge utendaji wa Rais na hali ya nchi tuje tujadili huko sio kubana pia hapa kisa mwanaume mwenzio(kama kweli wewe mwanaume) kanunua ng'onda kwa matumizi yake!!!!!!

Hili pwani tunaita ghubu , wapi na wapi na tabia za kiume????!!!!
 
Last edited by a moderator:
Katibu mkuu wao kisha panda treni akijidai yuko pamoja na wananchi. Kweli, kuna wananchi wanadanganyika ajabu ni kuona hata walioko JF wanadanganyika eti ni wa watu!

Si tulimuingiza ikulu tukidhani ni mwenzetu? kisa alikuwa akicheza disco uzeeni, baadaye imekuwaje? kasaidia nini? Katuokoa na nini? Tindikali, misikiti, makanisha kuchomwa moto, mabomu arusha, mabomu kwa waandishi habari, watu kung'olewa meno na kucha, wanafunzi kukalia ndoo, .........

Weka critique kwenye mambo ya maana achana na trivials kama kununua samaki, hata asingenunua kama uchumi mbaya pia usingeongezeka kwa yeye kutonunua samaki pale, by the way jamaa wa gengeni kapiga 60,000/= Tsh cash na yaweza kuwa ndio mauzo yake makubwa kwa siku na kwa mwaka huu so jamaa wa gengeni pale siku imeingia!!!!!!

Kama kweli wewe ni Patriot wa kiume anzisha uzi wa ku challenge utendaji wa Rais na hali ya nchi tuje tujadili huko sio kubana pua hapa kisa mwanaume mwenzio(kama kweli wewe mwanaume) kanunua ng'onda kwa matumizi yake!!!!!!

Hili pwani tunaita ghubu , wapi na wapi na tabia za kiume????!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kikwete+kitoweo.JPG

RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).

Anampelekea Chodo akale.
 
Last edited by a moderator:
Unaamini waganda ni woote? Hiyo ni kawaida kama uonavyo hapa na rais wetu. Wanafuata tuuuuu! Hata Hitler alikuwa na washikaji, Bokasa, Amini na akina Nguema wote walikuwa nao. Don't draw a regression from those washikaji na ukasema Waganda.

Unaijua Past life regression ?

Hata wewe na ufataani wako wote huu una washikaji, same goes!!!!!!
 
Hivi mbona yeye JK katoa fedha na Salma naye katoa za kwake , kila mtu alikua ananunua samaki zake au ndio lilikua pozi la picha ?

Umeoa au kuolewa???!!!!
Kusaidiana na kuchangia matumizi ni vitu vya kawaida kwa wanandoa!!!!!

Kama umeoa au kuolewa na tindo badilikeni!!!!
 
Kitu nisichokifahamu: kweli hali hiyo inamridhisha? Binafsi nisingeweza kununua samaki pale!

Haya we nenda kanunue super market...huku kwetu uswazi tunaendelea kununua bidhaa magengeni.
 
Amemuiga Obama, mwezi uliopita alitembea mtaani akanunua hadi Burger na kulila kabisa

Unakumbuka 2006 jk alikua anatembelea masoko ya tandale na tandika kwa kushtukiza? nayo alikua ana muiga obama?
 
Mbona mnasema anafanya usanii wakuu?kwani kwenda sokoni iwe usanii?akienda nje mnalalamika,akienda magengeni mnalalamika pia,hata kama upinzani si wa kihivo bhana

waambie hao wana boa.
 
Unaamini waganda ni woote? Hiyo ni kawaida kama uonavyo hapa na rais wetu. Wanafuata tuuuuu! Hata Hitler alikuwa na washikaji, Bokasa, Amini na akina Nguema wote walikuwa nao. Don't draw a regression from those washikaji na ukasema Waganda.

Unaijua Past life regression ?
Kwahiyo unataka kusema nyerere ndio anapendwa na watanzania wote? Tatizo unakurupuka tu, umelishwa matango pori huko nawe unajiona msomi. Historia ya kutungwa na nyerere ndio unataka wote tuikubali? Nenda kwa waganda kule tena kuna vitabu vingi tu ambavyo wameandika wakimkumbuka huyu jamaa.
 
Katika vitu anavyo vimiss Jakaya ni pamoja Uhuru wa kula kile roho inapenda, kamsusa vile kangulu tudagaa twa Kugoma na vitu natural kama hivyo hamuoni mwenzenu u- HB umeisha shauli mavyakula ya mafrige mwanangu maliza haraka uwe na Uhuru wa kwenda kwenye nyama choma leaders scrub.
 
Back
Top Bottom