Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Mheshimiwa raisi siku nyengine njoo buguruni ununue wa buku 2 kweli tutakuona mwenzetu.Ahsanta
 
JK KWENYE MTO_thumb[3].jpg
Vipi hii ilipangwa ?
Picha KWA HISANI LINDI YA YETU
 
Nadhani huyu ndio rais wa kwanza Tanzania kutembea na cash mfukoni sijawahiona mwengine kabla!
 
Hat ukiwa Rais ifike mahali na ww uone huna tofauti na mfanyakaz wa kawaida anaepokea mshahara...This is very good Mr president
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kutoa sifa kwa
tabia isiyo na maana kama hii. Kama ni kuchangayika na wananchi hakuna
anayemzidi Idd Amin.

Idd Amini alicheza ngumi, alishindana kuogelea, alishiriki riadha, nk.
sema wewe mwenyewe aliishia wapi kichaa huyo?

ilikuwa wakati wa riadha ukimpita idi umekula risasi vile vile kwenye boxing na racing
 
Kwa ujuha uliotuona nao,wwmleta mada-kama hii nayo ni jambo la maana, unatuaminisha mheshimiwa alikuwa anahemea kwa maana halisi ya neno hilo?
 
chenji anayo kweli huyo mzee maana naona mama salma anatoa misimbazi tuu
 
Naona ni safi tu nimeipenda hii ya mkubwa wetu inamsaidia kupata first hand information
 
ilikuwa wakati wa riadha ukimpita idi umekula risasi vile vile kwenye boxing na racing

Amin Alishiriki hata mbio za magari ingawa kuna wakati safari ikaishia njiani baada ya kumpita binti mrembo. Ndio hawa jamaa zetu wanaotembea wakitoa mikono njiani na kupita kwa haraka, lakini akimpa mrembo anasimama na kubeba mtoto wake! 🙂)
 
Kwahiyo unataka kusema nyerere ndio anapendwa na watanzania wote? Tatizo unakurupuka tu, umelishwa matango pori huko nawe unajiona msomi. Historia ya kutungwa na nyerere ndio unataka wote tuikubali? Nenda kwa waganda kule tena kuna vitabu vingi tu ambavyo wameandika wakimkumbuka huyu jamaa.

Vitabu! wewe unajua maana ya vitabu wewe?

What is Nyerere to do with this debate? Hukuwahi kuona nyerere kapanda baiskeli mitaani? Hukuona Thomas Sankara akitembea mitaani? Hapa TZ hujui kwamba Karume alikuwa akicheza bao mitaani? Yamekusaidia nini unachoomba kidumu na matembezi ya mitaani watu wakinunua ng’onda? Mtu anakosa sifa unaamua kusifia hata akipenga kamasi mitaani. You seem a staunch supporter of stupidity, easily swayed by your poor organoleptic assessment JF should be a fact making blog. Come with figures and not narrative collective words like wengi, waganda, etc.

what do you mean by wengi? How many are they? If you cannot convert your measurements into numbers, immediately stop making nonsense! This is what the world confirms to be nonsense nuisance. Vipi ulikuwa Uganda, pale Kampala international nini?

Tunazungumzia Rais wetu, unaanza kujitetea kwa kutumia vijitabu ulivyoona Uganda. Wengine tumeishi nchi hizi zote kwa ufahamu mkubwa siyo kusoma sekondari baada ya kufeli Tanzania.
Why are you so low! When you get a thrd, pause a bit, be quick but don’t hurry.
 
Hata wewe na ufataani wako wote huu una washikaji, same goes!!!!!!

Same goes! Where? Nert! Unaulizwa swali unaandika mengine bila jibu hata moja.
Musihangaike kutoa compensation pasipostahili. Kama mtu hana la kumushangilia, basi!

Nakuuliza kama yule mpuuzi mwingine kwamba, Hukuona Nyerere akipanda baiskeli mitaani?, Thomas Sankara akitembea mitaani, Karume akicheza bao mitaani? Baada ya hayo yote, yalisaidia nini ktk nchi?

Tusipende kuchekelea kila kitu kinachofanywa na Rais. Au unadhani Rasi ni infallible? He is a normal organism, subjected to any stupid action like you can undergo. Eager to be upraised like you wish it happens to you, uncultured like you can be, etc. That means Your brain is important that anyone’s. Tatizo lako unadhani Rais ana akili kuliko wewe. Possibly, lakini siyo mimi Maana nina historia yake.
 
safi, lakini ingekuwa ubama hapa watu wangesifia mpaka basi...!
 
Weka critique kwenye mambo ya maana achana na trivials kama kununua samaki, hata asingenunua kama uchumi mbaya pia usingeongezeka kwa yeye kutonunua samaki pale, by the way jamaa wa gengeni kapiga 60,000/= Tsh cash na yaweza kuwa ndio mauzo yake makubwa kwa siku na kwa mwaka huu so jamaa wa gengeni pale siku imeingia!!!!!!

Kama kweli wewe ni Patriot wa kiume anzisha uzi wa ku challenge utendaji wa Rais na hali ya nchi tuje tujadili huko sio kubana pua hapa kisa mwanaume mwenzio(kama kweli wewe mwanaume) kanunua ng'onda kwa matumizi yake!!!!!!

Hili pwani tunaita ghubu , wapi na wapi na tabia za kiume????!!!!

Hiyo red font imenionyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri. How old are you in JF?
Nani kakwambia mimi ni mwanaume? very insesitive stupid poor-word selector!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom